kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jaji aondolewa katika Kesi ya ' Ubakaji ' baada ya Kumuuliza ' Mbakwaji ' kama alisikia Utamu Kunoga na Kubana Miguu yake wakati akiingiliwa!

    Katika Kuonyesha kuwa Mahakama za Wenzetu hasa huko Marekani ( Mamtoni ) na Ulaya ( Majuu ) kuwa linapokuja Suala la Maadili kwa Watendaji wake pindi wawapo Kazini hawana Mzaha ( Masihara ) kabisa ni kwamba Jaji Mmoja aliyekuwa akisikiliza Kesi ya ' Ubakaji ' kwa Mwanamke Mmoja amejikuta...
  2. JamiiForums Tanzania Huyu mupe huyu munyime: Kesi ya Kangi Lugola imefikia wapi, mbona bado anadunda mitaani?

    Huu upendeleo unaoendelea nchini si mzuri unakusanya hasira ndani yetu mdogo mdogo. Huyu upelelezi ulishakamilika kwa mujibu wa Takukuru ila kwanini bado anadunda mtaani huku wengine wanasota rumande japo upelelezi haujakamilika.
  3. JamiiForums Tanzania WHO na kesi dhidi ya mila za Rwanda za kuongeza Kisimi

    VITA YA ‘WHO’ DHIDI YA RWANDA NA TAMADUNI YAO YA KUKUZA VISIMI KWA WANAWAKE. Nchini Rwanda na Burundi na baadhi ya nchi kama Zimbabwe, kuna mila ya wanawake au wasichana kuchua visimi (Labia minora) kwa mtindo wa kikuvuta mbele ili kiwe kirefu. Mila hii ni maarufu na kubwa sana nchi Rwanda...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure utakaokusaidia: Ukiona watu wanapigana mtaani pita kando, kushangaa shangaa unaweza kubambikiwa kesi ya mauaji

    Nina mifano mitatu ya kweli kabisa: 1. Nimewahi kuingia gerezani kwa usiku mmoja, huko nilikutana na mtu mmoja aliyepewa kesi ya mauaji kwa sababu hii. Alikuwa anapita njia akakuta jamaa kadhaa wanampiga mtu, akabaki hapo kama mshangaaji. Siku kadhaa zikapita aliyepigwa akafariki, polisi...
  5. JamiiForums Tanzania Kesi ya Felicien Kabuga anayetuhumiwa kufadhili mauaji ya kimbari ya Rwanda (1994) kusikilizwa Arusha, Tanzania

    Kesi ya Felicien Kabuga ambaye anashtakiwa kwa mauaji ya kimbari yaliyotokea Rwanda mwaka 1994 inatarajiwa kusikilizwa hapa nchini Mwendesha Mashtaka Mkuu wa MICT, Serge Brammertz amesema kesi hiyo inatarajiwa kusikilizwa jijini Arusha, mahali ambapo Mtuhumiwa huyo alishtakiwa kwa makosa saba...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

    Karibu Wageni wameshawasili katika sherehe hii ambayo wateule kadhaa wataapishwa akiwemo Naibu waziri wa afya, Katibu tawala mkoa wa Pwani Mkurugenzi wa Takukuru na mabalozi. Rais Magufuli ameshaingia ukumbini tayari kuanza kuwaapisha wateule wake. ===== Baadhi ya mambo yaliyozungumzwa...
  7. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai afunguliwa kesi ya kikatiba kwa kumtambua Mwambe kuwa Mbunge halali licha ya kujivua uanachama Chadema

    WAKILI wa Mahakama Kuu ya Tanzania amefungua kesi ya kikatiba dhidi ya Spika wa Bunge Job Ndugai (MB) na aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Ndanda kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Cecil Mwambe, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Katika kesi hiyo ya kikatiba namba 10 ya mwaka...
  8. JamiiForums Tanzania Ni nani alisajili "KESI INVESTMENT" Nchini Rwanda?

    Kampuni hii inaonekana kusajiliwa nchini Rwanda, Mara tu baada ya utawala wa awamu ya 5 kuingia madarakani mwaka 2016. Inatuhumiwa kukwapua pesa za umma zaidi ya bilion 400. Je, kuna mambo tunafichwa juu ya kampuni hii ya usafirishaji wa mizigo? Je, kwanini imesajiliwa Rwanda na imekwapua...
  9. JamiiForums Tanzania Je, ni Kauli ipi kati ya hizi zifuatazo ukiwa unamwambia Mtawala Mzukulu Mitandaoni atakuelewa na hatofikiria Kukudhuru au hata Kukubambikia Kesi?

    Kauli #1. " Huyu Mtawala Mzukulu anatuongoza vyema na kiukweli anajitahidi sana ila kwa upande mwingine nae angalau awe anajaribu kupokea Mawazo ya Watanzania wenzake wote na siyo awe anayaamini tu Mawazo ya Chama cha Tawala cha MCC " Kauli #2. " Huyu Mtawala Mzukulu ni Mpumbavu kuwahi...
  10. JamiiForums Tanzania Nadharia 4 kuhusu kisa cha Mdude na dawa za kulevya

    Wiki jana ndugu Mpaluka Saidi Nyagali maarufu kama ‘Mdude Chadema’ alikamatwa na jeshi la polisi mkoani Mbeya bila kuwekwa wazi sababu za kukamatwa kwake. Hakupandishwa mahakamani kwa karibu juma zima, na baada ya shinikizo kutoka sehemu mbalimbali polisi wamempeleka mahakamani na kumshtaki kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: CHADEMA wajiandae kulipa gharama za kesi ya Tundu Lissu kuvuliwa Ubunge

    SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujiandaa kulipa gharama za kesi iliyofunguliwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu. Amesema amepewa nakala ya hukumu kutoka Mahakama Kuu iliyotupilia mbali rufaa yake namba 42 ya mwaka 2019...
  12. JamiiForums Tanzania Mwita Waitara: Apigilia msumari umeya Ubungo, asema Boniface Jacob siyo Meya tena

    Sent using Jamii Forums mobile app Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara amesema kwa mujibu wa Barua iliyodaiwa kuwa ni ya Chadema iliyoandikwa kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo na kueleza kuwa chama hicho kimemfuta uanachama Boniface Jacob, tayari amepoteza sifa za kuwa Diwani na Meya...
  13. JamiiForums Tanzania Sifa nyingine ya Augustine Mahiga: Yeye ndiye "Shahidi Y" kwenye kesi ya Uhaini ya mwaka 1982/83

    Je, Augustine Mahiga ndiye "Shahidi X" kwenye kesi maarufu ya uhaini ya mwaka 1983? Yasemekana alikuwa na kumbukumbu mujarab zilizowezesha kuwasambaratisha washtakiwa. Kitabu cha Kesi ya Uhaini kilitoka mwaka 1985 kilichokuwa kimeandikwa na Marehemu Mnenge S. Suluja. Mhusika mkuu wa...
  14. JamiiForums Tanzania Hizi ni nchi ambazo hazina kesi za Corona Virus

    Comoros Kiribati Lesotho Marshall Islands Micronesia Nauru North Korea Palau Samoa Solomon Islands Tajikistan Tonga Turkmenistan Tuvalu Vanuatu #CoronaVirus wametangazwa kuwa janga la dunia, lakini bado kuna baadhi ya nchi hazijaguswa na janga hilo Kwa mujibu wa Chuo Kikuu...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Bashir Yakub: Nitayashitaki makampuni manne ya simu

    NAYASHITAKI MAKAMPUNI MANNE YA SIMU. BASHIR YAKUB, Wakili. 0714047241 Naishitaki Tigo, Airtel, Vodacom na Halotel. Kwa mujibu ya Sheria Namba 12/2003 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania mashtaka ya aina hii natakiwa kuyaandikia makampuni hayo taarifa kuyataka yarekebishe ndani ya siku 30...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia imepima watu 842 kwa masaa ishirini na nne na kugundua kesi 4 za covid19 : 17th April

    96 cases total
  17. G

    JamiiForums Tanzania Nape amsaliti rasmi Benard Membe

    Salam Salam!. Kitendo cha Nape kwenda kumpigia magoti rais Magufuli, kilichukuliwa kama bahati mbaya lkn hivi karibuni tumeona na kusikia bwana Nape akimsaliti rasmi Mh Membe kwa kitendo chake cha kuwaomba wanaccm wampitishe Magufuli tena hata bila kufuata kanuni na taratibu za chama na nchi...
  18. JamiiForums Tanzania Ronaldinho Gaucho apata dhamana kutoka gerezani, kesi yake kuendelea

    MSHINDI wa Kombe la Dunia, Ronaldinho Gaucho ameachiwa kwa dhamana kutoka gerezani nchini Paraguay baada ya kukaa kwa siku 32 kwa kosa la kuingia nchini humo na pasipoti bandia. Pasipoti ya nyota huyo wa zamani wa Brazil ambaye majina yake Ronaldo de Assis Moreira aliyotumia kuingia nchini...
  19. JamiiForums Tanzania Kesi namba 456 ya 2016 JamiiForums vs Jamhuri, Kisutu: Maxence Melo ahukumiwa Mwaka jela au faini ya Tsh. Mil 3. Mwenzake aachiwa huru

    Kesi namba 456 ya mwaka 2016 inawakabili Mkurugenzi wa Jamii Media Ndg. Maxence Melo na mwana hisa mwenzake Micke William itasomwa leo Aprili 08, 2020 mbele ya Hakimu Thomas Simba kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam. Hukumu hii awali ilipangwa kutolewa Novemba 26, 2019...
  20. JamiiForums Tanzania Hukumu ya kesi namba 456 ya 2016 inayowakabili Wakurugenzi wa Jamii Media iliyokuwa itolewe leo, imeahirishwa kwa mara ya 5

    Kesi namba 456 (Jamhuri v Maxence Melo na mwenzake Mike William) ambapo Kampuni ya Oilcom iliandikwa katika mtandao wa JamiiForums ikidaiwa kukwepa kodi na kuchakachua mafuta bandarini Dar imeahirishwa tena leo Aprili 02, 2020 hadi Aprili 08, 2020. Hukumu hii awali ilipangwa kutolewa Novemba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…