Kesi mbili za Yanga kuhusu Morrison zimefikia wapi?

HPAUL

JF-Expert Member
Jan 18, 2011
410
567
Mwezi wa nane mwaka huu Yanga walituaminisha kuwa wamekata rufaa FIFA katika kiengo cha CAS kupinga kitendo cha kamati ya TFF kuamua kuwa mkataba wa miaka miwili na Morrison ni batili. Baadaye Yanga kupitia Mwakalebela ikaibuka na kesi mpya kudai usajili wa Morrison Simba haukukamilika.

Je, kesi zote hizo mbili zimefikia wapi? Mwenye updates anijuze.
 
TFF ndio wapo kimya kujihukumu!

Sawa na kushtaki serikali kushinda hiyo kesi kazi ipo aliweza Marehemu Mch. Christopher Mitikila.
 
kesi zote Yanga tumeshindwa.

Sasa hivi Mudi ndiyo anahangaika na Senzo polisi kwasababu Simba inafungwa hovyo.
 
TFF ndio wapo kimya kujihukumu!

Sawa na kushtaki serikali kushinda hiyo kesi kazi ipo aliweza Marehemu Mch. Christopher Mitikila.
Serikali inashindwa sana kesi ndugu yangu Fanya uchunguzi...japo kesi za Mtikila ni maarufu sababu ya uzito wake...they are landmark cases.
 
Back
Top Bottom