kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika amjibu Mrema: Ungetaka walipwe wote, ukirudi ofisini mshauri Boss wako mwanasheria Mkuu wa Serikali alipe pesa zetu zaidi ya Milioni 400

    Job Mrema: Ni sahihi ubaguzi ni kinyume na Katiba yetu ya Tanzania? Mnyika: Ni sahihi. Job Mrema: Yale makusanyo ya Tonetone kuna uamuzi ulifanyika kuwa kuna wachache wanufaike na wachache wasinufaike angali wengine wapo? Mnyika: Sio Ubaguzi. Na ungetaka walipwe wote ukirudi ofisini mshauri...
  2. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Sheikh Kishki afungua kesi akidai fidia ya bilioni 5 kutoka kwa Ostadh Juma na Musoma

    Sheikh Nurdin Kishki, kutoka Taasisi ya Al-Hikma, amefungua kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya Juma Ibrahim, maarufu kama Ostadh Juma na Musoma, akidai kuchafuliwa jina lake. Akizungumza na Waandishi wa habari kuhusu kesi hiyo, Wakili Mashaka Ngole, anayemwakilisha Sheikh Kishki...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa Elimu Secondary wilaya ya Bariadi DC hatujapewa hela ya kujikimu na tukiulizia tunatishiwa kupelekwa Shule za vijijini au tunasakiziwa kesi

    Tunaomba utupazie sauti walimu Ajira mpya Halmashauri ya Bariadi DC mkoa wa Simiyu tupewe hela zetu za kujikimu. Tumekuwa tukipeleka taharifa kwa uongozi wetu na majibu tunayopewa ni aidha hela zetu wamezitumia kulipa madeni ya likizo au hela zetu hazijatoka serikali kuu, wakati huo watumishi...
  4. Keynez

    JamiiForums Tanzania Collection ya kauli maarufu (quotables) katika kesi ya Uhaini ya "Jamhuri vs Tundu Lissu"

    Katika kufuatilia kesi hii ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu, kumetokea kauli nyingi ambazo zinaweza kusimama zenyewe kama zenyewe. Uzi huu ni wa kukusanya kauli hizi. Kama umefuatilia kesi hii toka mwanzo, tusaidiane katika kushare katika uzi huu. Mfano, wakati John Mnyika anahojiwa siku...
  5. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu Imeweka Wazi Uwezo wa Mawakili wa Serikali Ulivyo. Ndio Sababu Kesi Zote za Mikataba Nje Tunashindwa kwa Aibu Sana

    Nimeyasikia mahojiano ya Wakili wa serikali Said Katuga kwa shahidi wa utetezi John Mnyika mpaka nimefunika uso kwa aibu. Aina ya maswali, mpangilio wake na nia yake haiendani na kesi ya msingi hata kidogo na hana weledi kiasi kuwa kama hawa ndio watetezi wa kesi zinazofunguliwa dhidi ya...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kesi Dhidi ya Lisu: Wakili Mwenye Uwezo Mdogo, Katuga Aambiwa na Shahidi Mnyika, Asikilize Majibu Kama Mtu Mwenye Utimamu wa Akili

    Majibu ya John Mnyika yanadhihiridha uwezo mkubwa wa akili wa John Mnyika dhidi ya maswali yasiyo na weledi ya Katuga. Sijui kwa nini serikali inapendelea kuwa na mawakili matapeli wa taaluma!! Angalia maswali machache ya wakili duni wa serikali kwa shahidi mwenye akili kubwa John Mnyika...
  7. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Leo tarehe 01 September Mahakamani kesi ya Mh Tundu Lissu inaendelea

    HAYA MAHAKAMA INAAZA HAPA Majaji wanaingia Lissu naye ameingia muda mmoja pamoja na Majaji
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: John Mnyika Kuendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri kuendelea leo 1, Septemba 2026

    Mahakamani leo tena kesi inaendelea kwa Upande wa Mawakili wa Serikali kumuuliza Mswali ya Dodoso Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Pia soma: Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kutoa Ushahidi kumtetea Tundu Lissu Mahakamani leo Agosti 31, 2026. Kesi imeahirishwa hadi Kesho Leo September...
  9. Nexltshahda

    JamiiForums Tanzania A to Z kesi ya lissu siku ya leo

    Mwenendo wote wa leo, Agosti 31, 2026 SEHEMU YA PILI Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu [Majaji wanaingia Mahakamani.] [Mheshimiwa Mnyika na Mheshimiwa Lissu wapo Mahakamani.] WAKILI WA SERIKALI: Waheshimiwa Majaji, kwa upande wa Jamhuri tupo tayari. Shauri linakuja kwa ajili ya...
  10. Keynez

    JamiiForums Tanzania Hivi mnajua, baada ya hii kesi ya Uhaini, hawataweza tena kumkamata wala kumshitaki Tundu Lissu?

    Kwa miaka mingi serikali kuanzia za Mkapa hadi Samia zilikuwa zinasumbuana na Tundu Lissu, kwa kumkamata na wakati mwingine kumshitaki kwa tuhuma mbalimbali na baadae kumuachia. Kitendo cha kufika kumkamata na kumshitaki kwa kesi ya Uhaini ambayo ni kesi kubwa zaidi katika Katiba ya JMT...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mange Kimambi dhidi ya Meta Platforms, Inc. (Case No. 26 CIV 06555) - undani wake

    Kesi ya madai ya umma iliyofunguliwa katika Mahakama Kuu ya San Mateo, California (Case No. 26 CIV 06555) na Mange Kimambi dhidi ya Meta Platforms, Inc. (imeambatanishwa kama attachment) imeweka msingi mpya wa kisheria katika utetezi wa haki za kidigitali. Shauri hili halilengi kudai fidia ya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Lissu hawezi kushinda kesi hii ambayo mzani wa kisheria umepokwa na mamlaka ya kisiasa

    Kama sheria zetu zingefanya kazi kesi ingetupiliwa mbali pale tu mahakama ilivyokataa ushahidi wa ile video Kungekuwa hakuna tena kesi ya kujibu kwasababu kielelezo kikuu cha mashitaka kilikataliwa lakini sasa kinachoendelea ni hadaa tuu ili kumchelewesha aweze kukiri na kupiga magoti kwa...
  13. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Je,ni lipi lengo la kufanyika Cross examination Kwenye Kesi Mahakamani

    Habari ya mjini sasa hivi ni kesi ya Mheshimiwa Lissu huko kwq pilato Wengi tunafuatilia hii kesi,na tunaona minyukano ya maswali,wakati mwingine unaweza hata kujiuliza hivi haya maswali yana maana gani au umuhimu wake ni upi Ebu tujielimishe sote kwa pamoja Cross-examination (mahojiano ya...
  14. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania META yakubali kulipa hadi Tril. 45.1/=, kesi ya watoto

    Meta, kampuni inayomiliki Facebook na Instagram, imekubali kulipa hadi $17.1B (Tsh. Trilioni 45.1/=) kumaliza kesi iliyohusisha madai kwamba mitandao hiyo iliundwa kwa namna inayoweza kuwafanya watoto na vijana kuwa na utegemezi wa matumizi ya mitandao. Kesi hiyo, iliyohusisha majimbo 29 nchini...
  15. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwenye kesi ya Lissu nimejifunza kuwa Ndugu wa Lissu wanaupendo mkubwa sana na Lissu

    Ukiangalia kaka yake na dada yake walivyoactive mahakamani na namna wanavyopambana hapo kisutu ni dhahiri familia yao ina upendo sana. CCM wengi hata undugu wao huwa wa mashaka angalia Polepole mpaka leo hajulikani alipo lakini siyo ndugu zake wala wanaccm wenzake waliofungua kesi na kudai haki...
  16. Idimulwa

    JamiiForums Tanzania Mwendelezo wa Kesi ya Tundu Lissu ukoje??

    Ya Kujiuzulu.... Taarifa zimeshatufikia.. -Tuwaacheni Wafu Wazikane Wenyewe kwa Wenyewe-.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kufatikia kesi ya mpigania haki kiki za akina nchimbi tuzipuuze.

    Wadau nawaomba tuendelee kufatilia defence evidence wa mh. Lissu hizi kiki za akina nchimbi na genge lake la wafiraji na watekaji huko ccm tuachane nao maana wote ni birds of the same feathers who flock together.
  18. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Vipi kesho tukaambiwa hana nia ya kuendelea na kesi ilikuzima hili la leo

    Hili haliwezi kupita hivi hivi,kuna mjadala wa mrithi unakuja, huko kwenye chama wanasema katibu nae ana unga tela, mrithi anaweza kutoka pasipo tarajiwa, sasa ili kuzima yule mjamaa akasema hana nia na kesi si mjadala utahama ?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Upi msimamo wa Mtume Muhammad katika kesi kubwa KAMA YA LISSU?

    Leo ni siku ya kuzaliwa mtume Muhammad S. A.W,kiongozi wa kiislamu. Tutaangazia kidogo kuhusu msimamo wa Mtume Muhammad ktk swala la kutoa haki ktk vyombo vya mahakama. Upi ulikuwa msimamo wake na vipi jamii ameiasa. Hapa siingilii mahakama maamuzi tunachambua jinsi ya mtume Muhammad...
Back
Top Bottom