KERO Kero ya umeme Kitongoji cha Kiharaka kata ya Mapinga, Bagamoyo

KERO Kero ya umeme Kitongoji cha Kiharaka kata ya Mapinga, Bagamoyo

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

mamsindo

Member
Joined
Jan 8, 2010
Posts
36
Reaction score
28
Wananchi wa Kiharaka Mikocheni, Mapinga ambapo tatizo hilo ni kubwa sana, wanaitaka
TANESCO kufanya marekebisho ikiwemo kuondoa watendaji wote waliopo sasa ili kuepukana na uzembe wa kukatikakatika kwa umeme katika kitongoji chao cha Kiharaka sambamba na shida ya kupata umeme mdogo(low Voltage) zaidi ya miezi miwili sasa.

Katakata hiyo ya umeme isiyo na mpango imesababisha kuunguza mali za wananchi zikiwemo friji n.k

Licha ya kuripoti tatizo hili mara kwa mara uongozi wa TANESCO umeendelea kuzembea katika kutatua kero hii. Je, tatizo ni nini?Tunaitaka TANESCO itatue kero hii
 
Back
Top Bottom