kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. SRC ya Kenya Yaondoa posho za vikao vya Wabunge.

    Wakuu Leo Tume ya mishahara Kenya (The Salaries And Remuneration Commission) imeondoa posho za vikao kwa wabunge 416 ili kuokoa Shs. 7.7 bilioni . . Wakati huo leo katika bunge la Tanzania, kuna wabunge 19 wasiokuwa wanachama wa chama siasa wamepokea posho na Per diem. . Wakenya Hii ikoje kwenu
  2. Waziri Mwigulu: Magari yetu ya Mizigo yanakwama sana Mpakani Horohoro, nitachukua hatua

    Nimekutana na ujumbe wa Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, aliouchapisha kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii nikaona niulete hapa kama taarifa. Ameandika: "Nikiwa safarini kuelekea Mombasa kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Fedha kutoka nchi za...
  3. Mke wa Idris Elba atembelea Kenya

    Sabrina Dhowre Elba, mke wa staa wa filamu za Hollywood, Idris Elba ametembelea Nchini Kenya. Amefika nchini humo akiwa katika majukumu ya masuala ya kilimo ya Umoja wa Mataifa (UN Fund for Agricultural Development) Mrembo huyo mwenye asili ya Somali-Canada ni mwanamitindo, alitembelea eneo la...
  4. Msanii Rihanna kuwekeza Kenya

    Tunaendelea vizuri, wanakuja wote. ======= Global pop star turned billionaire businesswoman Rihanna. PHOTO | COURTESY Global pop star turned billionaire businesswoman Rihanna has announced plans to open her new skincare and beauty products line in Kenya. The Kenya launch of the Fenty Beauty...
  5. Hii ndio Afrika tunayotaka

    Ukiiangalia hii video toka mwanzo hadi mwisho utakubaliana nami, huku ndo Africa tunafaa kuelekea, mambo ya kutegemea China kwa kila kitu tuache, imagine kitu rahisi kama router ya mtandao wa 4G ama decoder ya TV tunaagizia kutoka nje, je ushawahi kuifungua hapo ndani uangalie vile ni very...
  6. Peter Colmore: Mzungu Mswahili wa Kenya na Tanganyika

    PETER COLMORE MZUNGU MSWAHILI WA KENYA NA TANGANYIKA Nilipomaliza kuandika kitabu cha Abdul Sykes nikamwambia Bwana Ally tukae kitako anihadithie maisha yake tuandike kitabu. Ally Sykes akaniambia kuwa yeye hana umuhimu nishaandika historia ya Bwana Abdul (kama mwenyewe alivyopenda kumwita...
  7. Mwaka wa 2021 Uchumi wa Kenya ulikuwa kwa asilimia 7.5

    Uchumi wa Kenya ulikuwa kwa 7.5% mwaka wa 2021. Hii ni asilimia kubwa sana ya ukuaji wa uchumi katika East and Central Afrika na ni mojawapo ya asilimia kubwa ya ukuaji wa uchumi duniani katika mwaka wa 2021. ========= Economy grows fastest in 11 years on easing Covid curbs THURSDAY MAY 05 2022...
  8. Kenya: Mfuko wenye picha ya simba wazua taharuki kwa wakazi wa kijiji cha Mutiribu

    Wakaazi wa kijiji cha Mutiribu, kaunti ya Meru walipigia simu Huduma ya Wanyama Pori KWS kuja kumnasa ‘simba’ aliyekuwa amejificha kichakani karibu na makazi yao Ila maafisa hao walipofika mahali hapo waligundua kuwa ‘simba’ huyo alikuwa ni mfuko wa Supermarket ya Carrefour. =========...
  9. Petrol na diesel Tanzania ni ghali kuliko Kenya

    Uchunguzi wangu mdogo inaonyesha kwamba kwa mwezi huu wa Mei Dar ✅Petrol ni Sh. 3100+ ✅Diesel Sh 3200+ Nairobi ✅Petrol 144+ Ksh=2884Tsh ✅Diesel 125.5= 2503Tsh. Mombasa ✅Petrol Ksh. 142=2850Tsh ✅Diesel Ksh. 123=2463Tsh Bado sijaelewa sababu ya hii difference ilihali wote tunasingizia vita ya...
  10. M

    Hivi inakuwaje mwezi uandame Kenya halafu Tanzania usiandame?

    Bila jazba Wala povu, nauliza? Nimeona Matangazo wenzetu Kenya wanasema wameuona Mwezi na Leo ni Idd ElFitri! Huku kwetu tunaambiwa mwezi haujaandama? Hii huwa inatokeaje, kijigrafia mbona tupo Ukanda mmoja, hili linawezekanaje? Na wala si mara ya kwanza utata huu kuwepo? Tatizo ni Nini! Ni...
  11. Harmonize ametiwa mbaroni hapa Kenya

    Harmonize ametiwa mbaroni na yuko jela hapa Kenya sasa hivi. Amekamatwa kwa utapeli. Inasemekana amelipwa pesa ila amekataa kufanya show. Ila kuna jambo limefanyika kati ya Eric Omondi na Harmonize ambalo hatuelewi.
  12. Plate number za Kenya zinafanya gari kali zionekane mbaya

    Gari kali lakini plate number mbaya...Wakenya hebu badilikeni bhana. Plate number kama zimechorwa na mkaa!!
  13. Kenya hawana Rais Mstaafu kwa sasa!

    Baada Mheshimiwa Kibaki kufariki jirni zetu hawana Rais Mstaafu wa kupata Nasaha, ushauri na uzoefu. Poleni Kenya.
  14. Wanawake wa Kenya wengi wao sio Romantic. They mostly talk, behave like men

    Hebu chukulia mfano huyu anavyoomba hela kwa mwanaume wake aliemzalisha. Mwanaume angekua karibu angepigwa makofi wallah😂😂😂
  15. Hyundai na Renault zitaanza kuassemble magari yao Kenya mwezi ujao

    Hyundai dealer to assemble locally THURSDAY APRIL 28 2022 Caetano, the local franchise holder of Hyundai and Renault cars, plans to start assembling the vehicles in the country from May, being the recent dealer moving to tap tax incentives in the automotive sector. The company said it is in...
  16. Sababu za makampuni makubwa ya kiteknolojia duniani yameichagua Kenya

    Ananias Edgar ambaye ni Mtanzania ambaye huwa namkubali kwa video zake nzuri anaeleza kwamba makampuni kubwa za kiteknolojia duniani kama Google, Visa na Microsoft zinakuja Kenya kwa sababu Kenya hakuna kukatika katika kwa umeme. Miundo mbinu ya umeme ni dhabiti.
  17. Gari aina ya Grenadier litaanza kuuzwa Kenya

    Magari ambazo wenzetu hawajawahi kusikia zinakuja Kenya. Grenadier nj British car ambayo inauzwa South Africa pekee sasa itafungua dealership Kenya. British car Grenadier enters Kenya market British billionaire Sir James Ratcliffe has entered the Kenyan car market with the appointment of a...
  18. Kenya ni ya nne Afrika kwa idadi ya dollar millionaires

    The population of Kenya’s dollar millionaires in the study is significantly higher than estimates in other reports, indicating the difficulty of tracking the wealthy in Africa. The latest Knight Frank Wealth Report put the number of Kenya dollar millionaires at 3,323. South Africa has the...
  19. Anaweza kuelezea faida za muungano aje atuambie. Je Tanganyika ingekosa fursa zipi Kama Zanzibar wangeungana na Kenya?

    Tumelishwa imani nisiyojua nini maana yake. Licha ya Tanzania kuungana na Zanzibar bado Mombasa wana maingiliano makubwa ya kitamaduni na Unguja na Pemba nadhani kuzidi hata Dar es Salaam. Je, Nani anaweza kufafanua manufaa ambayo Tanganyika imeyapata kutokea muungano ya kiuchumi, kisiasa na...
  20. Why is Kenya so rich?

    Sikiliza video kwa walio na bundle. Unaelezewa wazi ni kwa nini Kenya ni tajiri ikilinganishwa na nchi nyingi za Africa licha ya Kenya kukosa madini au mafuta.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…