Harmonize ametiwa mbaroni hapa Kenya

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,017
16,427
Harmonize ametiwa mbaroni na yuko jela hapa Kenya sasa hivi. Amekamatwa kwa utapeli. Inasemekana amelipwa pesa ila amekataa kufanya show. Ila kuna jambo limefanyika kati ya Eric Omondi na Harmonize ambalo hatuelewi.

Sijafungua hiyo video ila Omond ni team mondi
 
Huyu jamaa ni wa team ya Harmonise na anaeleza vizuri. Anasema Eric Omondi ndio tapeli. Eric Omondi alipewa pesa na club fulani lakini hakupatia Harmonise hio pesa. Sasa mwenye club ndio amefanya Harmonise akamatwe.
 
Harmonize ametiwa mbaroni na yuko jela hapa Kenya sasa hivi. Amekamatwa kwa utapeli. Inasemekana amelipwa pesa ila amekataa kufanya show. Ila kuna jambo limefanyika kati ya Eric Omondi na Harmonize ambalo hatuelewi.

Safi sana.
Leo wakenya mnifurahisha.
Hapo hapo endeleeni kushikiria.
Hawa wasanii matapeli na wajanja wa TZ hii ndio dawa yao. Wamezoea kudhulumu na kujifanya wana pesa za kuchezea kumbe ni njaa kali na wezi wakubwa.
 
Hii kesi inakanganya kweli. Tapeli ni nani kati ya Eric Omondi na Harmonize?
 
Harmonize ni mkora ata sura yake mbwaya inamuuza,lazima amalizie show na kama hataki arudishie kampuni ya Tusker pesa zake!Na alipe fidia kwa kuharibu sura ya Erik Omondi!ametoanisha lips zake na kidevu💩uku Kenya lazima sheria zifwatwe f***k na akicheza pia ngoma zake zitaboo hivo tuuh!Bure kabisa😬😬😬😬Alipe ama Aende jela Kamiti👌dimondi pia akuje na kihere hiyo ataona!
 
Safari ya ndege kutoka TZ ni madakika lakini Harmonize💩alipofika jana Kenya pia alialikwa CitizenTV,10over10 Program! Pamoja na artist wengine ambao walikuwa hosted!
Wao waliitupea kionjo na kutuburudisha lakini hamornize akatayarishiwa podium vizuri akaulizwa maswali vizuri!akaamua ajibu na kizungu mingi alafu ni kama mtu hataki kujibu!
Akaambiwa apige show ya kionjo kama wasanii wengine walivyofanya lakini akaanza zile zake😬😬eti,"well am tiredi nimetoka safari refu kutoka darrrr you know,sijui sijui this that this!is not easy my friend you know eheee!💩
Aende ndani kamiti straight akitoka kileleshwa policestation!😬
 
Back
Top Bottom