kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Kenya ina uwezo kuitetemesha Tanzania na ikatetemeka?

    Mpaka Bungeni kwetu hata hapa JF Watanzania wanalia kwamba Kenya inahusika na kuingilia mambo yao ya ndani, hilo linasema nini kuhusu nchi ya Kenya kwetu ? Tuseme labda ni kweli Kenya inaingilia mambo ya Tanzania, hii maana yake ni kwamba Kenya ni mkubwa wa Tanzania kwani Tanzania haina uwezo wa...
  2. Ngorongoro ni mali ya Maasai wa Tanzania na Kenya

    WATANZANIA hatuko tayari kupaza sauti kuwatetea wachache mnaopigania kuiharibu NGORONGORO kwa faida na ubinafsi wenu bila kuyatizama maslahi mapana ya TANZANIA leo na kesho Na badala yake tutawashaurini kuondoka ili maisha yaendelee kwanini mnatetea kuishi porini ambapo kuwepo kwenu...
  3. Kenya Airways sets up hub for training drone pilots

    Kenya Airways has launched the country's first-ever drone cage to be used for training Unmanned Aerial Vehicle pilots. Through its subsidiary, Fahari Aviation, the airline will use the facility for training and testing of drones and drone equipment. Fahari Aviation said it is positioning...
  4. R

    Mgogoro wa Ngorongoro tunawapa pointi za bure Kenya za kiplomasia. Tanzania tuna wasomi na viongozi wasio na Msaada kwa Taifa

    Habari JF, Kenya sio Muda wanaingia kwenye Uchaguzi mkuu hivyo sio rahisi kujihusisha kwenye huu mgogoro wa Ngorongoro labda wawe na mfumo imara sana katika Uongozi wa Nchi ambao hautegemei Rais anae kuwepo madarakani. Kinachofanyika Kenya ni kujizolea points za mezani kupitia huu mgogoro huu...
  5. B

    Five Reasons Kenya Funds Evil Scenes in Ngorongoro Crater

    Five Reasons Kenya Funds Evil Scenes in Ngorongoro Crater By James Mulaitu, Kenya June 13, 2022 Sponsored media and special tasks in my country (Kenya) are now busy misleading the world through false videos, pictures, and creating artificial scenes showing the Maasai in Ngorongoro crater badly...
  6. Tanzania Royal Tour ilivyoudumaza utalii wa Kenya

    Royal Tour itatupa faida gani ile movie ya kazi gani? Haya ndiyo maneno yaliyojaa kinywani kwa wanaharakati wa Tanzanaia kujaribu kufifisha Juhudi za Rais Samia suluhu Hassan. Sisi tuliozaliwa kwenye mazingira ya utalii tuliona na kufahamu kuwa sekta ya utalii ililala usingizi wa pono. Moja...
  7. Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

    Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Oleshangai Naomba kuthibitisha kuwa wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana kwenye zoezi la uwekaji wa beacons kwenye ardhi ya vijiji, Ngorongoro. Wananchi hao wanapatiwa huduma nchi ya jirani ya Kenya baada ya kunyimwa huduma zahanati ya Osero kata ya...
  8. Jaji Mkuu Kenya ataka Kenyatta aondolewe madarakani kwa kukiuka Katiba

    Martha Koome ambaye ni Jaji Mkuu Nchini Kenya anataka Mahakama ya Rufaa ya Kenya kuangiza Rais Uhuru Kenyatta kuondolewa madarakani kwa kukiuka Katiba baada ya kukataa kuwateua majaji sita miongoni mwa 40 walioidhinishwa na Tume ya Huduma za Mahakama (JSC) miaka mitatu iliyopita Pamoja na...
  9. J

    Maswali Tata Wamasai wa Loliondo kutibiwa Kenya

    MASWALI TATA WAMASAI WA LOLIONDO KUTIBIWA KENYA. Wakati kukiendelea na sintofahamu ya wanaharakati kutuhumiwa kutumika kushirikiana na viongozi wa eneo jirani linalopakana na Loliondo kuhamasisha vurugu kushambulia polisi waliokuwa wakilinda mpaka na kusimamia wanaoweka Beacons kiasi Cha...
  10. Benki Kuu ya Dunia yatambua mfumo mpya wa elimu Kenya kuwa bora kuliko yote ukanda wote huu

    Ni mfumo ambao utazalisha jamii inayoweza kujiendeleza na sio kujaza sokoni vijana wanaosaka ajira..... Kenya has come in for rare praise from the World Bank for the reforms in its education system, which has had its share of criticism for what some say is its demanding yet confusing scope...
  11. L

    Wahisani Wachina watoa matumaini kwa vijana wanafunzi kwenye makazi ya mabanda nchini Kenya

    Wahisani wachina wanaendelea kuwapa matumaini wanafunzi vijana wanaosoma kwenye shule ya Mcedo Beijing iliyopo kwenye eneo la makazi ya mabandaduni la Mathare mjini Nairobi. Watoto hao wanaotoka kwenye mazingira magumu wamejiunga na shule hiyo kutokana na hisani ya wachina na sasa wanaweza...
  12. Nyerere aliipaisha Tanzania Afrika Mashariki, Mwinyi akaporomosha; Mkapa akaipaisha tena, Kikwete akaiporomosha tena

    .
  13. UN: Takriban watu Milioni wakabiliwa na upungufu wa chakula nchini Kenya

    Idadi hii inatajwa kuongezeka kutoka zaidi ya watu milioni tatu mwaka jana huku zaidi ya watoto 900,000 walio chini ya umri wa miaka mitano wamegundulika kuwa na utapiamlo. Inaelezwa kuwa sehemu kubwa ya mikoa ya kaskazini-mashariki, inakabiliwa na uhaba wa chakula kutokana viwango vya chini...
  14. L

    Kazi ya ulezi wa wanyama Kenya: Fursa mpya ya ajira Kenya

    Kwa wale wanaopenda wanyama,nchini Kenya kuna fursa kubwa ya kulea wanyama kama paka na mbwa. Malipo ya kazi hii ni shilingi 1000 ya Kenya sawa na shilingi 18000 ya Tanzania kwa saa. Kazi ya mlezi wa mnyama ni kumpa chakula ,kucheza naye, kumsafisha na kumpeleka hospitali mnyama Kabla...
  15. Kenya2022 Kenya: Mtandao wa Tiktok washutumiwa kwa uchochezi kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Katika utafiti uliofanywa na Odanga Madung, mtafiti kutoka Taasisi ya Mozilla, ulibaini kuwa watumiaji wa TikTok nchini Kenya wanaonyeshwa video ambazo ni za matusi, zinazochochea vurugu au habari za uwongo za kisiasa Inaelezwa kuwa zaidi ya video 130 zilizohusishwa na akaunti 33 zilitazamwa...
  16. K

    Je, ni Kweli Tanzania tunaitegemea Kenya? Siyo Kweli

    Biashara kati ya Tanzania na Kenya imekuwa ikikuwa kwa kiwango flani kutokana na uwepo wa jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) iliyoanza mwanzoni mwa miaka ya 2000. Tangu kipindi cha kuundwa kwa jumuiya hiyo , biashara imekuwa ikikuwa na mpaka kufika 2021, biashara kati ya Tanzania na Kenya...
  17. Baada ya Kenya kupiga marufuku LPG kutoka Tanzania, kuna kitu cha kujifunza kama Taifa

    Mwaka jana mwezi wa tano mama yetu kipenzi alifunga safari kwenda huko kwa jirani kufuja pesa za umma kwa kisingizio cha kurudisha demokrasia na uhusiano wa biashara waliodhani uliharibiwa na mtangulizi wake. Moja ya vitu vilivyotumika kuonesha mafanikio ya ziara hiyo ni Ujenzi wa bomba la gesi...
  18. J

    Kafulila: Bei ya Umeme Kenya ni mara mbili ya Tanzania

    KAFULILA: BEI YA UMEME KENYA MARA MBILI YA TANZANIA Mkuu wa Mkoa Simiyu, David Kafulila amesema takwimu za ulinganisho wa bei ya Umeme Afrika mashariki zinaonesha kwa wastani watanzania wanatozwa bei chini ya umeme kuliko nchi zote Afrika mashariki na kusisitiza kuwa nafuu hiyo ya bei ni...
  19. Kenya2022 Raila On Vote Rigging Claims: 'Nitaiba Aje Kura Na Zote Ni Zangu?'

    Raila Odinga, the Azimio-One Kenya presidential candidate, has slammed his rivals for rigging claims in the race for the country's top seat in the August elections, claiming that his victory is a foregone conclusion. Speaking at a political rally in Bungoma on Sunday, the self-assured Odinga...
  20. Mwananchi Kenya ashambulia kituo cha Polisi kwa mawe akiwa amelewa

    Polisi wa Solai Kenya wanamshikilia Dennis Kibet kwa kuwashambulia kituo cha Polisi na Askari Polisi kwa mawe akiwa amelewa. . Ambapo baada ya kuhojiwa amesema alitaka kuona akirusha mawe kituo cha Polisi kutatokea kitu gani. . Kibet atafikishwa Mahakamani karibuni. ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…