kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Kenya aliyewekwa mateka Saudi Arabia aachiwa

    Mbunge wa Kimilili Didmus Barasa amesema Diana Chepkemoi, ambaye alikuwa amezuiliwa ndani kinyume na matakwa yake huko Riyadh, ameachiwa baada ya juhudi za viongozi na baadhi ya raia wa Kenya Aida ameongeza kuwa mwanafunzi huyo wa Chuo Kikuu ambaye alikuwa akifanya kazi za ndani amepelekwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Marekani yaitamani demokrasia ya Kenya

    Soma mwenyewe hapa. Lumumba kwa kuwa hamjui kiingereza mtafuatilia komenti ili kujua kilichoandikwa.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nashauri Kenya waache mavazi ya kikoloni mahakamani

    Sijaona sababu ya wakenya kuvaa mavani ya kikoloni mahakamani.
  4. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Shaban Robert mwandishi nguli aeinziwa Kenya na mawakili wa Dr. Ruto

    Wasalam wana JF Je ni kweli Raila anaifanya Kenya kuwa nchi ya Kusadikika? Si maneno yangu bali ya mawakili wa Ruto kama video inavyojieleza
  5. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yasitisha malipo ya Ruzuku za unga, madeni yazidi

    Wizara ya Kilimo imethibitisha uamuzi huo huku ikitaja sababu kuwa ni kuzidiwa na malimbikizo ya madeni yaliyopelekea wafanyabiashara wa kati kulipwa mamilioni ya pesa huku wauzaji reja reja wakikosa zabuni. Wasagishaji Unga wamelalamikia uamuzi huo unaoanza leo Septemba 2,2022 wakidai kuwa...
  6. comte

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa wajumbe wa tume ya uchaguzi ya Kenya

    The Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) commissioners remain a topic of discussion especially after their fallout over presidential election results. Away from their conduct and the chaotic scenes at the Bomas of Kenya, little is known about their education background...
  7. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchaguzi Kenya: Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari ya Usalama kwa raia wake

    Wakati Mahakama Kuu ikisubiriwa kutoa uamuzi wa kuidhinisha au kubatilisha Pingamizi la Matokeo ya Urais Jumatatu Septemba 5, 2022, Ubalozi Marekani umeweka vizuizi vya watu kusafiri kwenye mji wa Kisumu, eneo analotokea Raila Odinga Taarifa ya Ubalozi imenukuliwa ikisema mara kwa mara Kenya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Swali magumu uchaguzi Kenya

    Tarehe 5 ndiyo siku ya Ruling. Nakumbuka uchaguiz wa 2017 hukumu ilikuwa na page kama 500 hivi. sasa kuanzia kesho wata deliberate submissions za pande zote na kuandika hukumu ? Ku analyse ushahidi wote and make sense out of it, Just sense and not a matter of sense! Siku kama 3 hivi.....
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafuatilia uchaguzi Kenya: It seems baba will suffer again!

    Inaonekana wajibu maombi wanakazia kuwa Raila hajatoa ushahidi wa aliyoyasema kama mapungufdu katika uchaguzi. Mfano ametaja kuwa mifumo ya seva ya IEBC iliingiliwa lakini hajatoa ushahidi uliingiliwa vipi na kama kuingiliwa huko kulisabisha kura kwenda ndivyo sivyo na hivyo kumpa ushindi...
  10. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Chama Tawala chaitaka Tume ya Uchaguzi kuwasilisha vitu 14 kwa uchunguzi

    CHAMA cha Jubilee kimemwandikia Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati kikiomba kupata baadhi ya vifaa vilivyotumiwa katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9 kwa madhumuni ya ukaguzi wake wa ndani. Chama hicho katika taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Jeremiah Kioni...
  11. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uchaguzi Kenya: Masanduku 9 kati ya 15 ya Kura zilizoagizwa kuhesabiwa upya hayana hitilafu

    Uchunguzi wa kundi la kwanza la masanduku 9 kati ya 15 ya kura zilizoagizwa kuhesabiwa upya na Mahakama ya Juu haukuweza kuonesha hitilafu zozote za wazi katika matokeo ya uchaguzi wa Urais. Wakati wa kuchapisha, ni masanduku tisa pekee kati ya 15 ya kura yalikuwa yamefunguliwa, kuchunguzwa na...
  12. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Maswali na Majibu yote kutoka Mahakama Kuu kuhusu Pingamizi la Matokeo ya Urais

    Githu Muigai: Waangalizi wote walirudi na hitimisho moja. Huu ulikuwa uchaguzi wa wazi na wazi. Githu Muigai: Ningekuhimiza uwaulize mawakili ikiwa wanafurahia uchaguzi wao wenyewe. Ikiwa wamefurahi, basi inakuwaje uchaguzi huu una dosari? Githu Muigai: Katika mahakama hii, kuna magavana...
  13. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Wabunge wanyimwa huduma za "Masaji" na Urembo kwenye Bima ya Afya

    Wabunge walitaka huduma za Urembo na "Massage" zijumuishwe kwenye Vifurushi vya Bima za Matibabu yao ambapo Tume ya Huduma za Bunge (PSC) imekataa na kuwataka kutumia fedha zao wenyewe kupata huduma hizo. Hata hivyo, Wabunge hao watapata Bima ya Tsh. Milioni 206 ikijumuisha na familia zao...
  14. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuanza kutumia namba za magari za Dijitali

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Fred Matiang’i amesema wananchi wamepewa miezi 18 kubadili Namba za zamani na kuweka mpya ambapo magari Milioni 4.8 yaliyosajiliwa yataingia kwenye utaratibu huo. Muda huo hautahusisha magari mapya ambayo yatatakiwa kusajiliwa na mfumo mpya wa Number Plates...
  15. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maparachichi mabichi kutoka Kenya hatimaye yafika China

    Kupitia juhudi za pamoja za nchi mbili, shehena ya kwanza ya maparachichi mabichi kutoka Kenya hatimaye yalifika China kwa wingi hivi karibuni. Mapema asubuhi ya Agosti 26, tani 45 za maparachichi mabichi ya Kenya yaliwasili katika bandari ya Waigaoqiao mjini Shanghai. Inatarajiwa kuwa wakazi wa...
  16. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Jaji Othman Chande kuongoza Majaji waangalizi wa Pingamizi la Urais

    Kundi la Majaji na Wanasheria mashuhuri ambao ni wanachama wa Jukwaa la Majaji na Wanasheria wa Afrika limewasili nchini Kenya kwa ajili ya kuangalia na kisha kutoa taarifa ya mchakato wa kesi ya Pingamizi la Urais katika Mahakama Kuu. Ujumbe huo unaongozwa na Mohammed Chande Othman, Jaji Mkuu...
  17. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kule Kenya mambo ni moto

    Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Kenya IEBC bwana Wafula Chabukati katika kiapo chake mbele ya Mahakama ya juu Kwenye kesi ya kupinga matokeo ya Urais yaliyompa bwana Ruto Ushindi alidai kwa alishinikizwa na deep state kubatislisha matokeo ya Urais. Hata hivyo hali ya hewa...
  18. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatua 10 zinazoweza kumuondoa Chebukati ndani ya Tume ya Uchaguzi

    Baadhi ya wanasiasa wa Azimio la Umoja one Kenya wanataka Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati, kujiuzulu baada ya kutokubaliana na Matokeo ya Urais, huu ndio mchakato pekee unaoweza kufuatwa. - Ibara ya 251(2) ya Katiba inatamka kwamba mtu anayetaka kumwondoa Mwenyekiti...
  19. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Video: Tathmini ya Tundu Lissu ya Uchaguzi mkuu Kenya Agost 9, 2022; Ausifu na kueleza aliyoyaona na ambayo hakuyaona yakifanywa na tume - IEBC

    Niseme nini hasa? Tundu Lissu ni miongoni mwa wanaharakati, wanasheria na wanasiasa brilliant wanaojua kuelezea jambo kwa lugha rahisi, iliyonyooka na kueleweka na yeyote... Ni wazi kuwa huyu jamaa kasoma kweli na ameelimika pia na anajua mambo mengi sana... Hapa anaeleza maoni na mtazamo...
  20. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mwanasheria Mkuu asema hapingani na Pingamizi la Raila Odinga

    Paul Kihara Kariuki amewasilisha andiko hilo Mahakama Kuu akionesha kwamba hatosimama kupinga na maombi 8 ya Pingamizi lililowekwa na Raila Odinga la kutaka kubatilishwa Matokeo wa Urais. Wakili Mkuu, Kennedy Ogeto, akizungumza kwa niaba ya Mwanasheria Mkuu, alithibitisha hatua hiyo katika...
Back
Top Bottom