Jaji Mkuu Kenya ataka Kenyatta aondolewe madarakani kwa kukiuka Katiba

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,314
5,475
Martha Koome ambaye ni Jaji Mkuu Nchini Kenya anataka Mahakama ya Rufaa ya Kenya kuangiza Rais Uhuru Kenyatta kuondolewa madarakani kwa kukiuka Katiba baada ya kukataa kuwateua majaji sita miongoni mwa 40 walioidhinishwa na Tume ya Huduma za Mahakama (JSC) miaka mitatu iliyopita

Pamoja na hivyo, mapendekezo yake hayo hayatafanyiwa kazi kwa kuwa Katiba inatoa njia mbili za kumuondoa Rais madarakani, kwanza kupitia mashtaka na pili kwa sababu ya kutokuwa na uwezo

Source: PO.co.ke

===========


Chief Justice Martha Koome wants President Uhuru Kenyatta impeached for failing to appoint six judges proposed by the Judicial Service Commission (JSC).

According to CJ Koome, the answer to President Kenyatta's refusal to appoint six out of the 40 judges nominated is his removal from office

"It is proposed that the court makes a declaration that the President… is in violation of Articles 3(1) and 166(1)(b) of the Constitution. A declaration that the appropriate remedy for the violation of Articles 3(1) and 166(1)(b) of the Constitution is the impeachment of the President or any other order that secures direct accountability of the President,"Koome's court papers read.

President Kenyatta refused to appoint the six judges citing a National Intelligence Service (NIS) report that had revealed that all the six are 'soiled'.

The six judges include; Justices, George Odunga, Prof Joel Ngugi, Weldon Korir, Aggrey Muchelule, Chief Magistrate Evans Makori and High Court deputy registrar Judith Omange.

Koome won't succeed in impeaching Uhuru
The Constitution provides for two ways to remove the President. First through impeachment and second on grounds of incapacity.
 
Back
Top Bottom