kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Kaka Ibrah

    JamiiForums Tanzania Bei ya mchele kwa kilo kwa sasa ikoje Dar es Salaam

    Habarini wanajukwaa? Nilikuwa naomba kufahamu bei ya mchele kwa kilo kwa sasa ikoje Dar es Salaam na ikoje pia Nairobi Kenya? Shukrani.
  2. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Wafanyabiashara wa Pombe waomba Poh, watangaza kupata hasara ya Tsh. Bilioni 309.5

    Wafanyabiashara wanaojihusisha na uuzaji wa vileo wameitaka Mamlaka ya Kodi (KRA) kusitisha marekebisho ya kodi yaliyopangwa kwaajili ya bidhaa ili kupisha mfumuko wa bei. Wafanyabiashara hao, ambao ni pamoja na Chama cha Vinywaji vya Pombe nchini (ABAK) na Baa, Burudani na Migahawa ya Kenya...
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunayo ya kujifunza kwa Raila, baba wa demokrasia Kenya

    Kenya ni taifa katika mazingira halisi tuliyomo sisi. Hata hivyo taifa hili limepiga hatua kubwa sana kidemokrasia zenye kustahili kupigiwa mfano. Hizi tantarira za eti kuwa IEBC ni sawa tu na NEC yetu, kwamba ya Kenya tuwaachie wakenya wenyewe, nk nk, zote ni kelele za vyura tu. Nia na...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kenya: Serikali yafuta Ruzuku ya Mafuta, bei yapanda zaidi

    Bei mpya kuanzia leo kwa Petroli inayotumiwa zaidi na magari mengi binafsi ni Tsh. 3,468,45 kwa lita kutoka Tsh. 3,100.29, huku Dizeli ambayo hutumiwa na wasafirishaji na viwanda ni Tsh. 3,197.17, Mafuta ya Taa ni Tsh. 2,867.77 Haya yanajiri baada ya Rais William Ruto kutangaza kuwa utawala...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Afisa wa tume: Tume yetu ya uchaguzi haina tofauti na ya Kenya

    Akiongea na kituo kimoja cha redio hapa nchini, mkurugenzi msaidizi wa elimu ya mpiga kura kuhusu tathimini yake ya uchaguzi uliomalizika hivi karibuni nchini Kenya, amesema hakuna tofauti kubwa ya namna tume ya uchaguzi ya Kenya inavyotekeleza hilo jukumu na tume yetu. Inaonekana huyu afisa...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania inahusudu uchaguzi wa Kenya

    Katika mfululizo wetu wa barua kutoka kwa waandishi wa Kiafrika, mwanahabari wa Tanzania Sammy Awami anapendekeza kwamba nchi yake inaweza kuiona Kenya kama mfano wake wa kuigwa kisiasa. Watanzania wamekuwa wakichungulia katika boma la jirani yao - Kenya - wakiwa na mchanganyiko wa kuvutiwa na...
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Rais Mh Rigathi Gachagua: Tunaingia ofisini Kenya ikiwa na serikali imefilisika kifedha na kiuchumi

    13 September 2022 Nairobi, Kenya HOTUBA MARA BAADA YA KUAPISHWA NAIBU RAIS MH. RIGATHI GACHAGUA Naibu wa Rais wa Kenya Mh. Geoffrey Rigathi Gachagua amewaelezea raia wa nchi hii ya Kenya kuwa hali si hali pamoja ya kuwa ni nchi inayohesabika ina uchumi mkubwa na utajiri katika eneo hili la...
  8. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Abiria afariki ndani ya ndege ya Kenya Airways kabla haijaruka

    Taarifa iliyotolewa na shirika hilo leo Septemba 14, 2022 ilisema abiria huyo alifariki alipokuwa akihudumiwa na wahudumu wa afya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) Imeelezwa abiria huyo alipata matatizo ya kupumua alipokuwa akiingia kwenye ndege ambayo ilikuwa...
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyoyasema Kenyatta juu ya Ruto tayari yanafukuta

    Alisema Uhuru, huyu anayejiita Hustler na apewe kama miezi mitatu tu, mambo atayakoroga. Huyu bwana aliahidi mbingu huko Kenya lakini tayari kwa mwendo huu kumekucha: 1. Ruto anaondoa ruzuku kwenye mafuta ya magari. "Petrol, Diesel na mafuta ya taa kupaa hadi juu ya 200 Ksh @ lita."...
  10. Kumbusho Dawson Kagine

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina cha kujifunza kutoka Kenya?

    ❝ I want to tell the people of Kenya that you are finally free. You don’t have to talk with each other through Whatsapp for fear of being recorded and persecuted by state agencies❝ - Hon. Rigathi Gachagua, VP-Kenya
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Udugu wa Kenya na Tanzania ni wa damu

  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Miguna Miguna athibitisha kurejea Kenya baada ya Rais Ruto kumpa kibali

    Wakili aliyehamishwa Miguna Miguna ana kila sababu ya kutabasamu baada ya Rais William Ruto kuondoa arifa nyekundu zilizotolewa dhidi yake. Katika taarifa yake mnamo Jumanne, Septemba 13, wakili huyo alibainisha kuwa alipokea hakikisho kutoka kwa Amiri Jeshi Mkuu kuhusu hali yake ya uhamishoni...
  13. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama ilivyo kwa Tanzania, CCM kushinda kila term ndivyo itavyokuwa kwa Kenya Rais kuwa Mkikuyu au Mkalenjin

    Big up kwa Kenya kuwa na Demokrasia kiwango cha juu kuzidi Tz lakini linapokuja swala la uraisi kuna utofauti mdogo sana kati ya Tz na Kenya . Kiti cha urais kina mamlaka makubwa sana, hii ni nafasi executive sio ya kuiletea masihara hata kidogo na kuna system tayari ipo kuhakikisha kiti hiki...
  14. Ali Nassor Px

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni ipi Lugha ya Taifa la Kenya? Kiingereza au Kiswahili?

    Muda huu natazama uapisho wa Rais mteule wa Kenya Dkt. William Ruto. Lakini pia kabla ya leo nimefuatilia sana kampeni zake na za mpinzani wake mkuu Mh. Raila Odinga ila katika kampeni zao wametumia sana lugha ya Kiswahhili kuliko Kiingereza Lakini katika hii shughuli ya kumuapisha Mh. William...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto: Tutatoa bajeti kubwa kwa Mahakama ili isimamie Demokrasia, Uhuru na Haki

    Kutoka uwanja wa Kasarani Septemba 13, 2022 Rigathi Gachagula - Naibu Rais Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagula amesema kuwa nchi hiyo haitaingilia uhuru wa watu katika kuwasiliana. Amewataka wakenya kuzungumza kwa uwazi pasipo kuogopa kuwa Serikali itaingilia mawasilano yao. Aidha...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhudhuria uapisho wa Rais Mteule William Ruto

    Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ataungana na Marais 17, Mawaziri Wakuu, Manaibu wa Rais 8 na Mawaziri 7 wa Mambo ya Nje waliothibitisha kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mteule William Ruto. Samia ataambatana na baadhi ya Viongozi wa Serikali akiwemo Balozi Liberata Mulamula, Waziri wa Mambo...
  17. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana Mzee Hafidh kuambatana na mama Samia kesho nchini Kenya

    Bila shaka nadhani kesho mama Samia aende na mzee Hafidhi katika sherehe za kuapishwa Rutto. Siti mbili zaidi kwenye ndege sio mzigo mkubwa Sana kwa taifa. Sio kwa sababu binafsi ila ni sababu za kidiplomasia zaidi. Uwepo wa Hafidhi utasaidia katika kufungua nchi.
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga aalikwa kuapishwa kwa Rais Mteule William Ruto, akataa mwaliko

    Kiongozi wa muungano wa Azimio La Umoja Raila Odinga hatahudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais mteule William Ruto siku ya Jumanne. Katika taarifa yake siku ya Jumatatu, Odinga alikiri kuwa Ruto alimwalika yeye binafsi kwenye hafla ya kuapishwa lakini akasema hataheshimu mwaliko huo kwa vile...
  19. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania Ruto kuiga mfumo wa CCM kuongoza Kenya, kuwapa madaraka ya chama wananchi

    Chama cha Rais mteule Nchini Kenya Dkt. William Ruto cha United Democratic Alliance, - #UDA kimeahidi kufuata Mfumo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika kuliongoza Taifa la #Kenya, Mwenyekiti wa Chama hicho JOHNSON MUTHAMA amethibitisha. ======== UDA Chairman Johnson Muthama has declared that...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda Kurusha Satellite yake ya kwanza Oktoba, 2022

    The launch of Uganda’s first-ever satellite, PearlAfricaSat-1, has been postponed to October 28 because of bad weather. The launch, which is supposed to be accomplished by America’s National Aeronautics and Space Administration (NASA), was initially scheduled for September 28. But in an...
Back
Top Bottom