Mwanafunzi wa Kenya aliyewekwa mateka Saudi Arabia aachiwa

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,372
8,108
Mbunge wa Kimilili Didmus Barasa amesema Diana Chepkemoi, ambaye alikuwa amezuiliwa ndani kinyume na matakwa yake huko Riyadh, ameachiwa baada ya juhudi za viongozi na baadhi ya raia wa Kenya

Aida ameongeza kuwa mwanafunzi huyo wa Chuo Kikuu ambaye alikuwa akifanya kazi za ndani amepelekwa hospitali kwaajili ya uchunguzi wa Afya yake kutokana na hali yake kuwa mbaya

Ubalozi wa Kenya mjini Riyadh umetuma maafisa wake kwa ajili ya kutembelea hospitali hiyo huku Barasa akiitaka Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje kufanya uchunguzi wa mashirika ya ajira nchini humo ili kudhibiti matukio kama hayo.
================================

Kimilili Member of Parliament Didmus Barasa revealed that Kenyan national Diana Chepkemoi, who was stranded and held against her will in Riyadh, Saudi Arabia was rescued following efforts from leaders and a section of Kenyans.

The MP, on Saturday, September 3, stated that the university student who was working as a domestic worker in Riyadh was taken to hospital owing to her poor health.

Barasa added that Chepkemoi was assessed, and a preliminary report will be released prior to her release.

The Kenyan embassy in Riyadh also arranged for a delegation to visit the hospital. Kenya's commercial attached to Riyadh will further analyze her medical reports.

CITIZEN DIGITAL
 
Back
Top Bottom