Abiria afariki ndani ya ndege ya Kenya Airways kabla haijaruka

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
Taarifa iliyotolewa na shirika hilo leo Septemba 14, 2022 ilisema abiria huyo alifariki alipokuwa akihudumiwa na wahudumu wa afya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA)

Imeelezwa abiria huyo alipata matatizo ya kupumua alipokuwa akiingia kwenye ndege ambayo ilikuwa imepangwa kuondoka kuelekea Mombasa.

Kisa hicho kinatokea ikiwa ni takribani wiki mbili tangu abiria mwingine apoteze maisha akiwa ndani ya ndege ya KQ002 iliyokuwa ikielekea New York, Marekani.

===============================

Kenya Airways has confirmed the death of a passenger who had boarded one of its flights at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) on Wednesday, evening.
The passenger is said to have developed breathing complications while boarding the flight which was scheduled to depart for Mombasa.

A statement issued by the airline on Wednesday night said the passenger succumbed while being attended to by the medical personnel at Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) at around 7 pm.

“Kenya Airways PLC ("KO"), regrets to announce that a passenger developed breathing difficulties this evening while boarding KQ612 that was scheduled to depart for Mombasa at 1900hours," read the statement by KQ.

“The passenger was pronounced dead by medical personnel at JKIA while the aircraft was still on the ground.”

As the airline regrets the incident, it notes that its teams are probing the case.

“The JKIA Health and Security agencies are currently handling the issue. We convey our deepest condolences to the family and friends of the deceased during this difficult time,” stated Kenya Airways.

The incident comes barely two weeks since another person lost their life while onboard a flight KQ002 that was heading to New York City in the United States.
 
Back
Top Bottom