kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Messenger RNA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unyanyasaji waua mabinti 85 wa Kenya Uarabuni

    Grace Kuria Wasichana 85 wa Kenya wamepoteza maisha katika muda wa siku 90 zilizopita, na takriban 1,000 kurejeshwa makwao, hasa kutoka Saudi Arabia. Haya yalibainishwa na mteule wa Kenya katika nafasi ya Waziri wa Masuala ya Kigeni Dkt. Alfred Mutua, ambaye alisema wasichana hao walinyanyaswa...
  2. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto wa matajiri kulipa ada kubwa zaidi vyuo vikuu Kenya

    Kwa mujibu wa Bodi ya Ufadhili ya Vyuo Vikuu (UFB), lengo ni kupunguza Uhaba wa Fedha kwenye vyuo vya Umma, kuongeza ufadhili kwa wasiojiweza na kupunguza utegemezi kutoka Hazina. Bodi hiyo imesema itahakiki na kuwatambua wanafunzi wanaotoka familia za kitajiri, uhakiki huo utaathiri pia...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kenya: Mlinzi wa mke wa Raila Odinga auawa kwa kupigwa risasi

    Mlinzi huyo aliyefahamika kwa jina la Barrack Jaraha ameuawa leo Ijumaa Oktoba 14, 2022 nyumbani kwake huko Riat, Kaunti Ndogo ya Kisumu saa 11 alfajiri. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Nyanza, Karanja Muiruri amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, akisema uchunguzi unaendelea ili kubaini sababu za...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mwaka juzi 2020 zaidi 90% ya wanafunzi wa Law School of Kenya walifeli, mitihani, uchunguzi ukaonyesha LSK ndio wenye makosa

    Hii sakata la wanafunzi wa Law School of Tanzania kushindwa kufaulu mitihani kwa kiwango kikubwa hivi imenikumbusha sakata kama hilo kwa LSK kwa mwaka 2020 ambapo zaidi ya 90% ya wanafunzi wali fail. Baada ya matokeo kutoka na malalamiko kua makubwa, Serikali ikaamuru uchunguzi ufanyike na...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kupeleka gesi yetu Kenya tutafakari kwanza kuhusu haya yafuatayo

    Watanzania tuna ugoigoi katika kutekeleza na kufanikisha yale tunayoyafikiria, tunayoyapanga na hata yale tuliyoamua kuyatekeleza. Mfano, hata wimbo wa kuhamia dodoma uliimbwa kwa miaka mingi sana kabla ya kutekelezwa' Siku ambayo gesi yetu itafika Kenya, kesho yake tu asubuhi nishati ya gesi...
  6. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yapigwa faini Tsh. Bilioni 23.3 kwa kuchelewa kulipa mkopo wa SGR

    Uamuzi huo umechukuliwa baada ya Mfuko wa Hazina kushindwa kulipa Tsh. Bilioni 356.3 inazopaswa kulipa kila mwaka kupitia mkopo wa Tsh. Trilioni 7.4 ambao Serikali ilichukua kwaajili ya ujenzi wa SGR kutoka Mombasa hadi Naivasha. Wananchi wamelazimika kulipa mikopo hiyo kupitia kodi baada ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Tanzania ndio inauza zaidi bidhaa zake Kenya kuliko zile wanazouza Wakenya Tanzania

    Rais wa Kenya Dkt. Ruto amesema ukweli ni kwamba Tanzania ndio inauza zaidi bidhaa zake Kenya kuliko zile wanazouza Wakenya Tanzania Hivyo tutaondoa vikwazo ili biashara ifanyike kwa uzuri zaidi Chanzo: TBC
  8. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mnyororo wa thamani uko wapi; Malighafi za Tanzania au bidhaa zinazozalishwa Kenya?

    MNYORORO WA THAMANI UKO WAPI; MALIGHAFI ZA TANZANIA AU BIDHAA ZINAZOZALISHWA KENYA!? Je, ni kweli kilimo ni biashara kichaa!! Jibu ni hapana. Je, hakuna masoko ya Kilimo!? Jibu ni hapana, wapo watakaokushawishi kulima lakini mazao yakikomaa watakukwepa!! Hii ni sababu ya mnyororo wa thamani...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto aomba ahutubie kwa Kiingereza baadhi ya mawaziri waomba ahutubie kwa Kiswahili, Gesi ya Mtwara kufika Kenya!

    Ingekuwa enzi za mwendazake Maguful maneno yangekuwa mengi oooh hajui kiinglish.....oooh sijui nini lakin pale Ikulu leo waalikwa wamemuomba Rais Ruto azungumze kwa Kiswahili Ruto amesema Gesi ya Mtwara itapita Dar es salaam hadi Mombasa kisha Nairobi na hilo atalisimamia kikamilifu J3...
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya fails to strike oil in area claimed by Somalia

    Kenya has failed to strike oil and gas deposits in the coastal strip that has for years been at the centre of an international border dispute with neighbouring Somalia. Seismic surveys at Mlima-1 well, which is known as Block L11B in the Lamu Basin, revealed that the wells were dry, ending a...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya malori 600 yamekwama mpakani mwa Kenya na Tanzania kwa zaidi ya wiki moja

    ITV wametangaza kuwepo kwa foleni ya malori inayofika kilomita 7 kule Namanga yakisubiri kuingia Kenya Madereva wamelalamika sana na kusema hawaelewi sababu za msingi Waziri wa Biashara Namanga kuna tatizo gani? J5 ubarikiwe sana ==== Zaidi ya Malori 600 ya kusafirisha bidhaa kutoka...
  12. B

    JamiiForums Tanzania THE FALL THAT KILLED A CITY: How the death of Kenya Bus Service brought forth disorder in Nairobi.

    How powerful people brought down the once organised Nairobi city transport system and the mess that followed. Enock Sikolia reports. Source : Kenyan Historian
  13. Escrowseal1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni ukweli kiasi gani kwamba ukiigusa Kenya umemgusa Biden na EU

    Katika mahojiano VOA Swahili amesikika mkenya mmoja akidai kuwa ukiichokoza Kenya umemchokoza Biden na Europe kwa ujumla ni baada ya kijana wa Museveni kuandika kwenye Twitter utani wa kuivamia Kenya. Naombeni ufafanuzi wa madai haya ya mkenya bandugu .
  14. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni awaomba msamaha Wakenya kufuatia Tweets za uvamizi alizoweka mwanaye Jenerali Muhoozi

    Siku chache tu baada ya mtoto wake kuzua dhoruba kwa msururu wa ujumbe wa Twitter uliozusha mgawanyiko, Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameomba msamaha kwa Rais wa Kenya William Ruto. Akitishia kuivamia Kenya na kuiteka Nairobi, Jenerali Muhoozi Kainerugaba alidai operesheni hiyo ingechukua si...
  15. Rockefeller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenye daladala huko Kenya

    Habari wakuu, Leo nineona daladala imewekwa picha ya rais wa Kenya, William Ruto naamini Ruto ana ushawishi/supporters/fans/wannabes hapa Tanzania. Swali langu ni Je vipi Samia huko Kenya? Au Ni mwanasiasa gani wa Tanzania ana ushawishi huko?
  16. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya imejitosheleza kijeshi kukabiliana na mikwara ya jeshi la Uganda? Can KDF supress the Ugandan forces??

    Hatutaki vita na Wala si jambo jema Kwa stability ya East Africa. Lakini itakuwa vipi ngoma ikivuma sana na mwishowe kupasuka, Kenya itaweza kuuzima mziki wa Uganda ? Naona wazi kabisa huyu kijana wa Mu7 akiachiwa madaraka ananaweza kutesti mitambo. Tanzania walishamalizana nao mpaka leo hii...
  17. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua mawili matatu kuhusu biashara ya nafaka mpakani sirali (mpaka wa mara na kenya)

    Habari za muda huu wakuu, Swali kutoka kwa mwanetu yeye ana Account JF "Naomba kuuliza bei ya sasa ya maindi, maharagwe na mchele mpaka ni sirari" Mwisho wa nukuu
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa cha hoteli ya Treetops na Zulia la Blue kwenye kanisa la Mt. PHILLIP Kenya 🇰🇪

    Katikati ya mbuga ya wanyama ya Arbedare iliyopo nchini Kenya, kuna hoteli inayoitwa Treetops. (Pichani). Humo ndimo Eliza alitwaa kiti cha Umalkia wa Uingereza na kupata hadhi ya kuitwa Malkia Elizabeth II mnamo mwaka 1952 punde tu baada ya kupokea taarifa za kifo cha baba yake, King George...
  19. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Turns to Magufuli's Legacy Project to Revive BRT System

    KURA, on Friday, September 30, deployed a team of engineers to Tanzania to benchmark how the neighbouring country rolled out the project that improved their urban mobility. Led by engineer Jacinta Mwangi, KURA, which is tasked with developing city roads, toured the DART project to also learn...
  20. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtanzania asakwa nchini Kenya kwa kumuua mwenzake kisa ugali

    Polisi nchini Kenya wanamsaka Mtanzania anayeshukiwa kumchoma kisu mwenzake katika eneo la uchimbaji dhahabu huko Narok katika mzozo wa kugombea bakuli la ugali. Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Narok Kizito Mutoro alisema wanaume hao wawili walikuwa wakipata mlo wa jioni baada ya kutwa nzima...
Back
Top Bottom