The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,452
- 17,156
Hii sakata la wanafunzi wa Law School of Tanzania kushindwa kufaulu mitihani kwa kiwango kikubwa hivi imenikumbusha sakata kama hilo kwa LSK kwa mwaka 2020 ambapo zaidi ya 90% ya wanafunzi wali fail.
Baada ya matokeo kutoka na malalamiko kua makubwa, Serikali ikaamuru uchunguzi ufanyike na ikagundulika kwtamba wanafunzi hawakua na makosa bali chuo cha sheria.
Chuo cha sheria waligundulika kuwa chanzo cha kushindwa kwa wanafunzi kwa sababu walitunga mitihani ya masomo(topics) ambayo hawajafundisha kabisa na wao wakakiri kua hawakua wamefundisha lakini bado wakatunga mitihani yake kwa wanafunzi.
Na hii ni kawaida kwa mfumo wetu wa kielimu wa Tanzania pia walimu kutoa maswali kwa topic ambazo eitha zimefutwa ana hazipo kwenye mtaala.
Nakumbuka , kipindi nasoma elimu ya sekondari ya awali, kwenye somo la hesabu kulikua na maswali ya topic ya nyota(star) ila kwenye mtaala haikuwepo hiyo topic ilishafutwa lakini maswali yake lazima ulikua unakuta a nayo kwenye mitihani.
Hivyo basi tutegemee uchunguzi wa LST kuja na majibu ya chanzo cha hii mass failure.

AG weighs in on mass failure of School of Law students
Attorney General Kihara Kariuki has blamed mass failure of students at the Kenya School of Law (KSL) on being tested on legal work that has not been taught.
www.businessdailyafrica.com