Zaidi ya malori 600 yamekwama mpakani mwa Kenya na Tanzania kwa zaidi ya wiki moja

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,119
ITV wametangaza kuwepo kwa foleni ya malori inayofika kilomita 7 kule Namanga yakisubiri kuingia Kenya

Madereva wamelalamika sana na kusema hawaelewi sababu za msingi

Waziri wa Biashara Namanga kuna tatizo gani?

J5 ubarikiwe sana

====

Zaidi ya Malori 600 ya kusafirisha bidhaa kutoka Tanzania kwenda Kenya yamekwama mpakani Namanga kwa zaidi ya wiki moja.

Msururu wa malori umesababisha foleni kubwa na huku madereva wakilalamika kuwa wamekamilisha taratibu zote za kuingia nchini humo lakini magari yao hayajavukishwa kuingia hali inayowasababishia mateso na hasara kubwa.

"Toka jumatatu gari liko ndani lakini bado hawajafanya utaratibu wa kuivusha na kwenye foleni nimemaliza siku tatu upande wa Kenya lakini hadi leo bado sijajua kama gari itavukishwa ama lah,” Martine Mfinanga, dereva wa Lori.

Over 600 trucks ferrying goods from the neighbouring country of Tanzania are stuck at the Namanga border for more than a week causing a huge snarl-up at the border town.

Truck drivers are decrying what they term as a snail-paced clearance process from Kenya's side which they say has caused them untold suffering and huge losses.

Some have been stranded here for more than a week with a stream of trucks stretching over 5KM which one would think are parked.

“Toka jumatatu gari iko ndani lakini bado hawajafanya utaratibu wa kuivusha na kwenye foleni nimemaliza siku tatu upande wa Kenya lakini hadi leo bado sijajua kama gari itavukishwa ama bado,” Martine Mfinanga, a truck driver said.

Alex Sencha, clearance agent, said the challenge arises from the disharmony between the Tanzanian and Kenyan authorities on compliance with singles customs.

“There is a problem of full implementation of singles customs territory between Kenya and Tanzania, of which Tanzanians have complied...they have deployed their officers on the Kenyan side but on our Kenyan side we have not complied, they have not deployed our officers on the Tanzanian side hence clearing the smooth clearance of goods coming into Kenya,” Alex said.

The drivers are saying they have incurred huge losses and are calling on authorities to intervene.
“Gharama imekuwa juu juu lazima tuwaongezee mileage, tuwapatie upkeep ile ya kila siku. We normally spend around one day here lakini seven days lazima tuongeze pesa so imekuwa ni problem,” Abdi Salat, a travel agent noted.

Another truck driver Hussein Kassim added: “Kwanza tumeletwa kwa parking, parking ambayo ni ya vumbi, hamna choo hamna vyakula, halafu tunatakikana tulipe parking shilling elfu tano ya Tanzania.”

Authorities from both Kenya and Tanzania are also attributing the prevailing situation to an increase in the number of transit trucks which stretch the capacity of the Namanga One Stop Border Post

“Exports za Tanzania zimekuwa mingi lakini ukiangalia utendaji umesalia palepale, tuongeze muda wa kazi tuongeze utendaji tuongeze utumishi,” Transport Manager Abdi Salat says.

They are therefore calling on both the Kenyan and Tanzanian governments to expand the facility in a bid to cater for the growing demand but until that happens, the long wait for the transit truck drivers continues.
 
Waziri wa kilimo anazidiwa maarifa na wakulima.

Wao huuza kidogo na kuacha akiba ya mbegu na chakula, bt Yeye anaruhusu walanguzi na wafanyibiashara wauze vyote nje.

Baadae ataiomba Serikali pesa Ili tuletewe Mahindi yanayotumika kulisha ngombe wa USA kupoza njaa ya wananchi.

Eti wanachukia Kila alichofanya Magu bila kujali ni MAZURI au mabaya.

Muda utaongea.
 
Zaidi ya Malori 600 ya kusafirisha bidhaa kutoka Tanzania kwenda Kenya yamekwama mpakani Namanga kwa zaidi ya wiki moja.

Msururu wa malori umesababisha foleni kubwa na huku madereva wakilalamika kuwa wamekamilisha taratibu zote za kuingia nchini humo lakini magari yao hayajavukishwa kuingia hali inayowasababishia mateso na hasara kubwa.

Toka jumatatu gari liko ndani lakini bado hawajafanya utaratibu wa kuivusha na kwenye foleni nimemaliza siku tatu upande wa Kenya lakini hadi leo bado sijajua kama gari itavukishwa ama lah,” Martine Mfinanga, dereva wa Lori.

=======
Over 600 trucks ferrying goods from the neighbouring country of Tanzania are stuck at the Namanga border for more than a week causing a huge snarl-up at the border town.

Truck drivers are decrying what they term as a snail-paced clearance process from Kenya's side which they say has caused them untold suffering and huge losses.

Some have been stranded here for more than a week with a stream of trucks stretching over 5KM which one would think are parked.

“Toka jumatatu gari iko ndani lakini bado hawajafanya utaratibu wa kuivusha na kwenye foleni nimemaliza siku tatu upande wa Kenya lakini hadi leo bado sijajua kama gari itavukishwa ama bado,” Martine Mfinanga, a truck driver said.

Alex Sencha, clearance agent, said the challenge arises from the disharmony between the Tanzanian and Kenyan authorities on compliance with singles customs.

“There is a problem of full implementation of singles customs territory between Kenya and Tanzania, of which Tanzanians have complied...they have deployed their officers on the Kenyan side but on our Kenyan side we have not complied, they have not deployed our officers on the Tanzanian side hence clearing the smooth clearance of goods coming into Kenya,” Alex said.

The drivers are saying they have incurred huge losses and are calling on authorities to intervene.
“Gharama imekuwa juu juu lazima tuwaongezee mileage, tuwapatie upkeep ile ya kila siku. We normally spend around one day here lakini seven days lazima tuongeze pesa so imekuwa ni problem,” Abdi Salat, a travel agent noted.

Another truck driver Hussein Kassim added: “Kwanza tumeletwa kwa parking, parking ambayo ni ya vumbi, hamna choo hamna vyakula, halafu tunatakikana tulipe parking shilling elfu tano ya Tanzania.”

Authorities from both Kenya and Tanzania are also attributing the prevailing situation to an increase in the number of transit trucks which stretch the capacity of the Namanga One Stop Border Post

“Exports za Tanzania zimekuwa mingi lakini ukiangalia utendaji umesalia palepale, tuongeze muda wa kazi tuongeze utendaji tuongeze utumishi,” Transport Manager Abdi Salat says.

They are therefore calling on both the Kenyan and Tanzanian governments to expand the facility in a bid to cater for the growing demand but until that happens, the long wait for the transit truck drivers continues.
Serikali imelala kama mlevi,boss yupo arabuni analembua macho kwa binamu zake,Msaidizi wake sasa hv ameufyata baada ya kalipio la boss na tumbua ya boss kwa mawaziri.
Kilanja wake PM,yeye yupo kwenye misafara tu,huku chini kwa mawaziri,mambo yameachwa yajuendeshe yenyewe,watu wanataka kuamisha management ya bandari kwenda Dodoma!!wakati kule Dar wamejenga ofc kubwa tu!Kuna watu wanataka bandari isiwe na macho Mengi,Ili waupige mwingi!!
 
Tulimwonya samia juu ya kenya ila chuki za wasaidizi wake dhidi ya magufuli zikamfanya akafumba macho
Yaani wewe nadhani hata hujasoma kilichoandikwa, au uelewa wako mdogo. Sasa hapo tatizo umeshaambiwa ni processes tu za kutanua utendakazi wa border, lakini akili zako zinakutuma kueneza chuki kati ya Kenya na Tz. What a dump mentality! Hizi ni changamoto za kiutendaji wala hamna Cha bifu za kipuuzi kama akili zako zinavyokuambia
 
Jiwe ameharibu Sana akili za Hawa ndezi
 
Serikali imelala kama mlevi,boss yupo arabuni analembua macho kwa binamu zake,Msaidizi wake sasa hv ameufyata baada ya kalipio la boss na tumbua ya boss kwa mawaziri.
Kilanja wake PM,yeye yupo kwenye misafara tu,huku chini kwa mawaziri,mambo yameachwa yajuendeshe yenyewe,watu wanataka kuamisha management ya bandari kwenda Dodoma!!wakati kule Dar wamejenga ofc kubwa tu!Kuna watu wanataka bandari isiwe na macho Mengi,Ili waupige mwingi!!
Kuwa na heshima, mambo mengine yatakuja kuwapa shida baadaye, unayemuongelea upumbavu huu ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni Amiri Jeshi Mkuu, ni kiongozi wa Watanzania wote pamoja na Mama yako, ndio nembo na Dira ya Nchi. kujificha kwenye kichaka cha jina fake kusikupe kiburi cha kuongea maneno yasiyo na Staha kwa Rais.
 
Duh!
Huu uchawa umeanza uzeeni, au ulianza ukiwa mdogo?

Sasa kama huyo mtu wako hafanyi kazi vizuri asisemwe, kwa vile yeye ni Amiri Jeshi Mkuu?

Hiyo "nembo na dira ya nchi" kama ndiyo hii, basi nchi haina matumaini kabisa hii!
 
Unataka kumpangia mkulima pa kuuza mazao yake? Ww kuna anaekupangia jinsi ya kutumia mshahara wako?
Ni kweli huwezi kuwapangia wakulima wauze wapi lakini nchi inayojitambua inaongeza thamani ya mazao yake ndiyo yanauzwa.

Tunauza mahindi halafu tunaagiza sembe kutoka Kenya, hii ni akili au matope....!

Kuhusu mshahara hata sijui utamu wake, mi nalima zangu mihogo huku Kaliua.
 
Pale Tunduma mkoani Songwe RC Kindamba amesema atazungumza na mwenzake wa Zambia kutafuta Ufumbuzi

Nako Namanga foleni ya malori kuelekea Kenya ni kubwa sana hali iliyopelekea halmashauri ya Longido kuandaa Maegesho ya Kulipia

Hata hivyo Madereva wamegoma kupaki katika Maegesho hayo kwa sababu hakuna vyoo

Source ITV Habari
 
Back
Top Bottom