Kenya wameichafua Toyota Probox Kimataifa!

Kenya wameichafua Toyota Probox Kimataifa!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
33,671
Reaction score
97,431
Probox ni gari maarufu sana East Africa, nadhani ni kwasababu ya durability, space kubwa ya kubeba mizigo na abiria etc.
IMG_7643.jpeg

Sasa ndugu zetu Wakenya sijui wanazitumia vibaya? Maana kwenye page ya Wikipedia imeonekana kama madereva wake ni reckless na hawafuati sheria, pia inatumiwa na corrupt polices kidnapping gang members!
IMG_7644.jpeg

Inawezekana Wikipedia imeeditiwa na mtu tu kwa nia mbaya ila lisemwalo lipo.
 
Chuma Hicho Probox Niliikuta Serengeti Kwenda Tarime Barabara Ya Vumbi Inateleza Kama Kambale
Miaka Nyuma Huko Kasulu Kwenda Manyovu
Monyovu Kwenda Kigoma Wakati Huo Vumbi Tele
Nilipanda uko Serengeti. Gari moja mnaingia watu zaidi ya 7 na bado mizigo. Njia ya Ifakara zamani wakati vumbi pia
 
Minimum abiria 7 na Dereva 8 hapo kama kwenye buti hajaweka abiria.
Nilipanda kutoka tarime kwenda shirati aisee ni mbele tulikuwa wanne, kati wanne kwenye buti wanne pamoja na mizigo full hadi kwenye carrier..

Chakushangaza tumebanana kwenye gari ikifika kwenye kijiji ambacho abiria anajuana na ndugu yake anaechunga ng'ombe barabarani anaomba gari isimane wapige stori
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom