Kenya kesho labda kwa busara za Museveni siyo za Gachagua

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
28,106
36,077
Kesho ni jumatatu nyingine:

Hili sasa ni lenye kuhitaji akili kubwa:

Wenye busara wapo:

Lakini siyo huyu bwana:

Kwetu wapigania haki au Uhuru kwa jina la ukombozi elimu haina mwisho.

Inafahamika elimu kama hii kutokuwa na maana kwa walamba asali, wahuni au wale vijana wa hovyo.

Makundi matatu haya hayana mchango wowote kwa taifa hili.
 
Kesho ni jumatatu nyingine:

View attachment 2573711

Hili sasa ni lenye kuhitaji akili kubwa:

View attachment 2573699

Wenye busara wapo:

View attachment 2573717

Lakini siyo huyu bwana:

View attachment 2573712

Kwetu wapigania haki au Uhuru kwa jina la ukombozi elimi haina mwisho.

Inafahamika elimu kama hii kutokuwa na maana kwa walamba asali, wahuni au wale vijana wa hovyo.

Makundi matatu haya hayana mchango wowote kwa taifa hili.
Wacha wapigane maana upinzani wa Afrika ni ushetani tu

USSR
 
Busara za Museveni, Mudavadi na wa namna hiyo zingalipo.

Watawala mashetani aina ya Gachagua nao wapo.

Wacha tuchukue masomo. Wasiofaa hata kwetu wa aina hiyo hawatufai.
 
Busara za Museveni, Mudavadi na wa namna hiyo zingalipo.

Watawala mashetani aina ya Gachagua nao wapo.

Wacha tuchukue masomo. Wasiofaa hata sisi hawatufai.
Kwani odinga anataka nini zaidi ya asali tu ,humo kwenye maisha magumu ni sanaa tu lengo ni kujiweka karibu na watawala kwa kupitia damu za wajinga ,baada ya hand shake maisha yalikuwaje

Ruto na Gachagua watakaa madarakani hqdi 2027 baada ya hapo wanachaguliwa tena na .waka 2032 Gachagua anachukua urais wakati huo Raila atakuwa kisha kufa.
 
Odinga hana njaa,asali anayo yakutosha,labda useme anataka power
Kwani odinga anataka nini zaidi ya asali tu ,humo kwenye maisha magumu ni sanaa tu lengo ni kujiweka karibu na watawala kwa kupitia damu za wajinga ,baada ya hand shake maisha yalikuwaje

USSR
 
Kwani odinga anataka nini zaidi ya asali tu ,humo kwenye maisha magumu ni sanaa tu lengo ni kujiweka karibu na watawala kwa kupitia damu za wajinga ,baada ya hand shake maisha yalikuwaje

USSR

Ni kawaida kwa wapigania haki, uhuru au ukombozi kuitwa majina.

"Kwamba nyomi yote hii ni wajinga ila wewe?"

Fsh2jMVWYAIJgJ0.jpeg

Utabiri: wewe utakuwa mtanzania. Kwa ujuaji huu SI bure.
 
Ruto na Gachagua watakaa madarakani hqdi 2027 baada ya hapo wanachaguliwa tena na .waka 2032 Gachagua anachukua urais wakati huo Raila atakuwa kisha kufa.

Kenya siyo Tanzania kiliko jihakikishia chama kimoja kutawala kwa miaka 100.
 
Ruto na Gachagua watakaa madarakani hqdi 2027 baada ya hapo wanachaguliwa tena na .waka 2032 Gachagua anachukua urais wakati huo Raila atakuwa kisha kufa.
Unawezaje kusema mwaka 2032 Raila atakuwa keshakufa. Hawo unaodhani wataendelea kuishi usishangae wakamwacha Raila.
 
Akili za kitanzania. Mtanzania ni mjuaji mno. Utadhani huongea na Mungu.
 
Upinzani umekosea approach kulikuwa hamna haja ya Mara 2 kwa wiki,ilitakiwa wakiwashe non stop
 
Ruto na Gachagua watakaa madarakani hqdi 2027 baada ya hapo wanachaguliwa tena na .waka 2032 Gachagua anachukua urais wakati huo Raila atakuwa kisha kufa.
Gachagua hana caliber ya uongozi,2032 Martha anabeba hicho kiti
 
Back
Top Bottom