kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Tanzania Tungekuwa na Mahakama huru kama ya Kenya hata mikataba isiyofaa kama Dp World isingefanyika

    Mahakama ikiwa huru hata taifa linakuwa huru. Leo mahakama kuu ya Kenya imezuia kujengwa kituo cha kutunzia wagonjwa wa ebola huko Nanyuki Kenya. Mikataba ambayo inafungwa kwa ufiche kama ule wa Dp World ilipaswa kupingwa mahakamani na kisha kuzuiwa kabisa. Tunahitaji katiba mpya na mahakama...
  2. JamiiForums Tanzania Kenya haipaswi kuwa “eneo la kuzuia virusi vya Ebola” kwa Marekani

    Mwezi Juni kwa kawaida huwa ni msimu wa baridi na wa kupendeza katika maeneo ya uwanda wa juu wa Afrika Mashariki. Lakini wakazi wa Nanyuki katikati mwa Kenya siku hizi wana hasira kubwa. Wamekusanyika katika malango ya Kituo cha Anga cha Laikipia, wakifanya maandamano ili kupinga kuanzishwa kwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kenya imeajiri waalimu laki moja ndani ya miaka mitatu

    Kwa mujibu wa Taarifa ya habari ya Radio one ya saa mbili usiku wa leo Kenya imeajiri waalimu laki moja ndani ya miaka mitatu na inatarajia kuajiri wengine 20,000 kabla ya mwisho wa mwaka huu; kufanya iwe imeajiri waalimu takribani 40,000 kila mwaka kwa miaka mitatu mfululizo. Nafikiri hii...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Discipline As Core Foundation For Successful Kenya Police Officers And Institutions

    The outgoing RDU Commandant, Mr. AGGREY MMBOTO SHAMALA, MBS, HSC, AIG, said that discipline was the foundation of every successful officer and institution. He explained that discipline helps people to make the right decisions, respect others, and perform their duties with honesty and...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto: Mwaka huu tutaanza kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta (Oil Refinery)

    Rais William Ruto amesema kuwa kuna upinzani kutoka kwa wafanyabiashara wenye nguvu wanaoagiza mafuta dhidi ya mipango ya kuanzisha kiwanda cha kikanda cha kusafisha mafuta kwa ushirikiano na mfanyabiashara bilionea wa Nigeria Aliko Dangote, lakini amesisitiza kuwa mradi huo utaendelea kama...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "America inalinda wananchi wake, lakini Kenya ndiyo ibebe risk?"

    Wakenya wengi wamekasirishwa na taarifa za mpango wa kuweka Ebola quarantine na treatment facilities nchini Kenya. Kwa mujibu wa mjadala unaoendelea online, Marekani inasema priority yao ni kulinda raia wao dhidi ya Ebola kwa kuzuia ugonjwa huo kufika nchini humo. Lakini wananchi wengi...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya, Ebola Deal Sparks Anger as Kenyans Question Why Their Country Should Carry the Risk

    A photo circulating online has ignited heated debate among Kenyans after reports emerged that the United States is supporting the establishment of Ebola containment facilities in Kenya as part of efforts to prevent the deadly virus from reaching American soil. What has angered many wananchi is...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USA Government Deploys Ebola Specialists To Kenya

    The U.S. Public Health Service Commissioned Corps is deploying a team of highly trained officers to Kenya to support the care, monitoring, and quarantine of American citizens departing the Democratic Republic of the Congo as part of a coordinated interagency effort with the State Department and...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Reports Confirm U.S. Ebola Specialists En Route to Kenya Despite Court Order

    The United States Public Health Service Commissioned Corps has announced that it is deploying a specialised Ebola response team to Kenya to support the care, monitoring and quarantine of American citizens returning from the Democratic Republic of the Congo (DRC) amid a court suspension. In a...
  10. JamiiForums Tanzania SI KWELI Cambodia yaagiza Waafrika wote wakiwemo kutoka Kenya, Ghana, Cameroon na Uganda kuondoka nchini humo kabla ya Mei 31, 2026

    Serikali ya Cambodia imetoa tangazo linalowaagiza raia wote wa Afrika, wakiwemo kutoka Kenya, Ghana, Cameroon na Uganda kuondoka nchini humo kabla ya Mei 31, 2026, la sivyo watakamatwa na kushtakiwa kwa mujibu wa sheria za uhamiaji. Katika taarifa rasmi iliyotolewa na Idara Kuu ya Uhamiaji...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuwa kule Kenya kibamia kinaitwa Mobutu Jr? 🤔

    Mkuu Financial Analyst, kuna ukweli gani juu ya hili?
  12. JamiiForums Tanzania Kombe la Arsenal, EPL lapelekwa Kenya, bongo tunafeli wapi?

    Kuelekea juma tatu ambapo, parade Lita happen uingereza jijini London tayari losha Anza kizungushwa nchi tofauti, ambapo limepita Kenya na litaendelea kwingineko sidhani kama bongo litakuja. Jamaa yangu Mmoja kanijuza wakenya wana connection kubwa hapa duniani na ndo mana hawakuhitaji...
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania LSK President Charles Kanjama Opposes Proposed US Ebola Treatment Centre in Kenya

    Law Society of Kenya (LSK) President Charles Kanjama has called on Kenyans to reject a reported proposal by the United States to establish an Ebola treatment centre in the country. Speaking amid growing public debate, Kanjama questioned the transparency and public participation surrounding the...
  14. A

    JamiiForums Tanzania IGP wa Kenya: Askari Polisi tumieni akili, acheni matumizi ya nguvu kupita kiasi. Katiba inazuia

    Kauli ya IGP wa Kenya Kwa Askari wa Kenya "Now, enforcement officers najua mko na kazi ngumu, but I want to appeal to you that even as you carry out enforcement duties, let us do it with a human heart. Let us be human. We are dealing with human people—human beings, we are dealing with people...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya ushuru sifuri ya China yapiga jeki mnyororo wa thamani wa maparachichi nchini Kenya

    Katika eneo la mashambani lililotanda rangi ya kijani katika Kaunti ya Murang'a katikati mwa Kenya, Jeff Ngigi Mburu alifurahia sana miparachichi yake aina ya Hass, huku akistarehe kwa upepo mwanana wa alasiri. Mkulima huyo kijana alifurahia kuzungumza na wafanyakazi kadhaa kutoka vijiji jirani...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mkulima wa Kenya atumia teknolojia ya China kupambana na ugonjwa wa mnyauko wa nyanya

    Kwa karibu mwaka mmoja, Hellen Rono, mkulima kutoka Kaunti ya Bomet magharibi mwa Kenya, amefanikiwa kuzuia ugonjwa wa mnyauko wa nyanya kwa kutumia teknolojia ya kupandikiza iliyoanzishwa kupitia ushirikiano wa kilimo kati ya China na Kenya, baada ya miaka mingi ya kuona mazao yake yakiharibika...
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Kutengwa Kama Ebola Quarantine Hub ya Marekani

    Nchi ya Kenya sasa imeingia kwa mjadala mkubwa baada ya serikali ya Marekani chini ya rais Donald Trump kupendekeza Kenya iwe quarantine na treatment hub ya watu wa Marekani waliopatikana ama kushukiwa kuwa na Ebola. Mpango huo ukipita, Wamarekani waliotoka maeneo kama Democratic Republic of...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Deni la Tanzania sasa lapita la Kenya, ni la tatu Afrika

    Kwa mujibu wa Mfuko wa Fedha Duniani, IMF, DENI laTanzania limelipiku like LA Kenya na kushika nafasi ya TATU barani Afrika, baada ya Nigeria na Ethiopia. Tanzania SASA inadaiwa dola bilioni 14.4 wakati la Kenya limerudi nyuma na kufikia dola dilioni 13.2 Hii ni baada ya Kenya kufululiza...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania Imezipiku China na Kenya na kuwa Chagua namba Moja la Bidhaa ambazo Uganda inaagiza Kutoka Nje ya Nchi

    My Take Sgr ikifika Mwanza & Kigoma Tanzania ndio itakuwa Gulio Kuu la Nchi za Afrika. Hakuna tena kwenda China Wala Dubai Bali Tanzania. Hongera SSH Kwa kazi nzuri,pia soma Ndani ya Miaka 4 Tanzania yapindua meza,yateka soko na kuzigeuza nchi zote majirani kuwa gulio la bidhaa zetu |...
  20. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya kuwafidia waathirika wa maandamano ya Gen Z ya Juni 2024

    Wakati serikali ya Kenya ikiwafidia Gen Z, serikali ya Tanzania inaandaa mashtaka kwa Gen Z wa Tanzania walioshiriki maandamano ya Oktoba 29. Hii ndiyo tofati ya serikali zinazojali maisha ya uhai wake. ======================== Serikali ya Kenya imetenga shilingi bilioni mbili za Kenya kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…