kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Watu watano wafariki kwa ajali ya gari wakiwa wanaelekea kwenye mazishi

    Watu watano wakiwamo wanawake wanne na mtoto mmoja wameripotiwa kufariki kwa ajali ya gari wakati wakiwa wanaelekea kwenye mazishi. Ajali hiyo ilihusisha Malori mawili pamoja na gari dogo aina ya Saloon. Ajali hiyo imetokea maeneo ya Murula yaliyopo katika njia panda ya Naivasha nchini Kenya...
  2. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya's falling economy: Kenyan companies are a huge source of Foreign Direct Investment (FDI) in the region (East Africa)

    Kenya firms invest Sh113bn in E. Africa Kenyan firms have invested at least Sh113.3 billion ($1.1 billion) in East African countries in the last four years, despite concerns that failure to enforce regional double tax treaty has raised the costs for firms. The cash deployed by Kenyan...
  3. Zigi Rizla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya's population stands at 47.6 million; Nairobi most populous county with 4.4 million people. A breakdown

    Kenya’s total population is 47, 564, 296 according to the National Population and Housing Census. Director-General of the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) Zachary Mwangi said, “The population has grown to 47.6 million in 2019 from 37.7 million in 2009 and the intersex population has...
  4. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya's Falling economy: Safaricom's half-year net profit up 14.4pc to Sh35.7bn

    Safaricom's half-year net profit up 14.4pc to Sh35.7bn FRIDAY, NOVEMBER 1, 2019 12:14A Safaricom Shop. FILE PHOTO | NMG Safaricom net profit for the six months through September this year jumped 14.4 percent to Sh35.65 billion on strong M-Pesa and mobile data revenue growth that offset a...
  5. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya's Falling economy:American tycoons jet into Kenya today in hunt for deals

    NEWS American tycoons jet into Kenya today in hunt for deals MONDAY, NOVEMBER 4, 2019 10:25A section of Nairobi. American officials, accompanied by business tycoons, will jet into Nairobi today to start a packed two-day meeting with government and private sector leaders in hunt for trade and...
  6. mwaswast

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Airways staff are Kenyans

    KQ Ni mojawapo ya mashirika makubwa ya Ndege hapa Afrika na pia ndio shirika kubwa katika jumuia ya Afrika Mashariki. Ni kitega uchumi na pia muajiri mkubwa hapa Nchini Kenya haswa kwa marubani na wahudumu Kama vile cabin crew na pia wapakiaji mizigo. Tumeaminishiwa na kina Geza Ulole na joto la...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Spika mstaafu wa Bunge la Kenya awaasa Wabunge na Spika Job Ndugai kuwa wasijisahau kwani kuna maisha baada ya siasa

    Spika mstaafu wa bunge la Kenya amewaambia wabunge wa Kenya mbele ya mgeni rasmi Spika wa Tanzania mh Job Ndugai kuwa waache kiburi na kujikweza kwani kuna maisha baada ya siasa. Spika huyo mstaafu amewakumbusha wabunge hao kuwa wafuasi wao wanaowashangilia leo ndio hao hao watakaowatukana...
  8. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Largest African Geothermal Plant Ready

    Unit II of Olkaria V geothermal power plant in Kenya fully operational By Dominic Mandela - Oct 24, 2019 The Unit II of the Olkaria V geothermal power plant is now fully operational. Italian group Steam, one of the companies in the SGC Geothermal consortium that worked on this project...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Live Citizen tv:Spika Ndugai kutoa uzoefu wake kuhusu umuhimu wa kamati za bunge kwa wabunge wa Kenya

    Spika wa bunge mh Job Ndugai amealikwa na bunge la Kenya kwenye kikao cha kuwasilisha ripoti za utendaji kazi wa kamati za bunge. Ndugai anatarajiwa kuwahutubia wabunge wa Kenya kuelezea umuhimu wa uwepo wa kamati za bunge na faida za matumizi ya lugha ya Kiswahili bungeni. Tukio liko...
  10. Sinister

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya to construct 117,000 affordable houses in Nairobi’s redevelopment plan.

    The government of Kenya has unveiled plans to construct 117,000 affordable houses to replace 15,000 old ones in an infrastructure development plan sprawling 3,000 acres in Eastlands estate, Nairobi. The multi-billion project dubbed ‘Eastlands Urban Renewal Plan’ unveiled by the Ministry of...
  11. deecarter

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Kenyan vs Tanzanian musicians

    Kama unaona Kenya au Tanzania ipo juu katika upande wa music and entertainment market, let us know with evidence na nchi gani musiki unalipa kati ya hizo nchi mbili.
  12. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya:Top US bank Goldman Sachs buys stake in Twiga Foods

    Top American investment bank Goldman Sachs is the latest to acquire a stake in Kenyan start-up Twiga Foods following a Sh2.44 billion ( $23.75 million) deal that will help the agro-based firm spread across the country and Africa. The US bank will provide funding to the start-up together with...
  13. Zitto

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bagamoyo: Hujuma Tanzania na ushindi kwa Kenya na Rwanda

    Nasubiri Bandari Kubwa ya Lamu izuie Bandari Ndogo za Dar na Mombasa: Namna Maarifa Madogo Yanavyoiua Bandari ya Bagamoyo na Kuifaidisha Kenya Kumekuwa na mijadala mikali kuhusu Mradi wa Eneo la Kiuchumi la Bagamoyo. Mjadala huo wenye malumbano ya kurushiana shutuma umekuwa mjadala mbovu sana...
  14. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Oil dealers now prefer Dar es Salaam over Mombasa port

    Oil dealers now prefer Dar es Salaam to Mombasa port By OTIATO GUGUYU The $60 tariff per 1,000 litres on transported fuel through Kenya Pipeline is costing Kenya revenue as landlocked countries turn to Tanzania’s Central Corridor. The value of Kenyan petroleum exports have dropped...
  15. Ileje

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa serikali Kenya kulazimika kuvaa nguo zilizotengenezwa Kenya kila ijumaa

    Ili kuinua uchumi na kukuza viwanda vya nguo vya Kenya serikali imeamuru wafanyakazi wote wa serikali na umma kuvaa nguo zilizotengenezwa Kenya kutokana na pamba iliyolimwa nchini humo kila ijumaa na siku za sikukuu. Kwa kufanya hivyo inategemewa kilimo cha pamba kukuzwa na pia kuvipatia soko...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya na Somalia zabadilishana watuhumiwa ugaidi

    Polisi wa Somalia wamewakabidhi watuhumiwa wawili wa ugaidi wa Kundi la Al-Shabaab kwa polisi wa Kenya, ikiwa ni sehemu ya juhudi za pamoja za kuzuia mashambulizi ya kuvuka mipaka. Kamanda wa polisi wa mkoa wa Kaskazini mashariki nchini Kenya Paul Soi amesema, watu hao wawili wanaaminika...
  17. kilam

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yafuata nyayo za Tanzania kwa wahujumu uchumi

    Graft suspects who return money can enter plea bargain — Haji 25 October 2019 - 00:00 Director of Public Prosecutions Noordin Haji has asked leaders and civil servants facing corruption allegations to return the stolen money threefold or face the consequences. Haji revealed that the move is...
  18. kilam

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaachana na mradi wa Nairobi-Mombasa expressway kutokana na kuelemewa na madeni

    Sh300bn road project put on hold over debt The government has suspended the construction of the Sh300 billion Nairobi-Mombasa expressway for two years over the country’s debt concerns. It would have been Kenya’s first expressway and the largest single-contract road project. The project...
  19. Gunther1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania South Africa, Mauritius & Kenya ranked Top in Absa #AFMIndex.

    Countries assessed according to 6 pillars: ~ market depth ~ access to foreign exchange ~ tax and regulatory environment ~ capacity of local investors ~ macroeconomic opportunity ~ enforceability of financial contracts
  20. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania American Chamber of Commerce to Hold Business Summit in Kenya

    American Chamber of Commerce to Hold Business Summit in Kenya by Annastacia Wairimu October 18, 2019 in Kenyan News The American Chamber of Commerce will hold a summit named AmCham Business Summit in Nairobi on the 4th and 5th of November. The summit aims to create a platform for business...
Back
Top Bottom