kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A China Southern airlines with 239 passengers on board lands at the Jomo Kenyatta International airport in Nairobi

    February 27, 2020 Nairobi, Kenya A China Southern airlines with 239 passengers on board lands at the Jomo Kenyatta International airport in Nairobi, Kenya bringing with it a fresh concern about coronavirus. A whistleblower who took a video of this aeroplane from China said that there are no...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani Kenya watoa tahadhari ya kuwepo kwa shambulio la Kigaidi Jijini Nairobi wakati wowote kuanzia sasa

    Ubalozi wa Marekani nchini Kenya umetoa onyo kwamba magaidi huenda wakashambulioa hoteli moja kubwa nchini Nairobi. Kulingana na ubalozi huo, hoteli iliolengwa ni maarufu kwa kuwa hutemebelewa sana watalii na wanabiashara. ''Makundi ya kigaidi huenda yanapanga njama dhidi ya hoteli moja kubwa...
  3. JamiiForums Tanzania US military says it killed terrorist leader who planned attack that killed Americans in Kenya on a military airfield in Manda Bay

    Shambulio la Ndege lililofanywa na Marekani limemuua Kingozi wa Al-Shabaab anayehusishwa na kupanga mashambulio kadhaa likiwepo la kwenye Kambi Jeshi ya Manda Marekani imeeleza kuwa Kiongozi huyo anayehusishwa na kupanga mashambulio ya Mpakani mwa Kenya ameuawa pamoja na mke wake ambaye pia ni...
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali kuu ya Kenya yamnyang'anya Sonko jiji la Nairobi je jiji la DSM tunajifunza nini kufuatia sakata la Meya Mwita?

    Jiji la Nairobi limekumbwa na ufisadi uliotukuka hali iliyopelekea Gavana wa jiji hilo kuzuiwa kuingia ofisini na taasisi ya kupambana na rushwa nchini humo. Leo serikali kuu ya Kenya imetwaa uendeshaji wa jiji hilo ikiwemo usimamizi wa utoaji Huduma zote za kijamii ikiwemo elimu, afya, maji...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya mazungumzo na msomi Prof Patrick Loch Otieno Lumumba, msomi huyu ammwagia sifa lukuki Dr Magufuli

    Rais Magufuli leo amekutana na msomi mbobezi duniani Prof Patrick Lumumba Ikulu jijini Dsm. Rais Magufuli amempongeza Prof Lumumba kwa namna anavyojitahidi kuwashauri viongozi wa Afrika namna ya kuzifanya nchi zao zijitegemee. Nay Lumumba amempongeza Dr Magufuli kwa jinsi alivyoibadilisha...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania U.S. to Argue in Supreme Court on Behalf of 1998 Kenya Victims

    The Trump administration is poised to argue before the Supreme Court that victims of the 1998 bombing of the U.S. embassy in Nairobi should be compensated by Sudan, which at that time harbored the attack’s plotters, Osama bin Laden and other al Qaeda members. In a session scheduled for Monday...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Baba amuoa mwanae wa kufikia na kumuacha mkewe

    Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Grace, aliolewa zaidi ya miaka 18 iliyopita. Kama wanawake wengine, aliwaza kua na ndoa yenye Amani na furaha, lakini ndoa yake iliharibika baada ya mumewe kumuoa mtoto wao wa kwanza Grace alipata manyanyaso mengi. Baada ya changamoto nyingi mumewe...
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya still baba lao East-Central Africa

    Kenya regains position as region’s biggest economy  Dominic Omondi  23rd Feb 2020 07:00:00 GMT +0300 From left: President Uhuru Kenyatta, Rwanda’s Paul Kagame and Uganda’s Yoweri Museveni at last year’s East Africa Community Heads of State Summit in Arusha, Tanzania. [File, Standard] Kenya...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shujaa wazidi kupeperusha bendera ya Kenya: 'Pools' za Los Angeles 7s zatangazwa

    Kenya tupo kwenye Pool B, pamoja na S.Africa, Ireland na Canada. Sheria zimerejea kama zilivokuwa hapo awali, baada ya malalamishi kutoka kwa mashabiki kote duniani. Timu mbili zitakazo ongoza kwenye pool zao zitaingia moja kwa moja kwenye nane bora. Shujaa, timu ya Kenya Raga7s ilitua Kenya...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Construction plans for US $841m Isiolo-Mandera road project in Kenya released.

    Construction of the Isiolo-Mandera road is set to commence soon after the Kenya National Highways Authority (KeNHA) released the building plans. The project represents the government’s plan to open up north eastern Kenya which has remained isolated economically from the rest of the country due...
  11. JamiiForums Tanzania Je, tunaweza kujenga Tanzania ya viwanda bila kutegemea mabeberu? Ukaribu beberu na 'next door' ni fimbo au biashara tu?

    Wanabodi, Wanabodi, Ijumaa ya leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikiulizia kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa? Bandiko hili ni la swali moja...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuige mfano toka Kenya

    Ni kuwanyamazisha tu kimafia mafia. Katiba mpya inafanya kazi. Geza Ulole pingli-nywee
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Al-Shabaab waendelea kuwa mfupa mgumu kwa serikali ya Kenya

    Kitendo cha serikali ya Kenya kuwahamisha waalimu wote ambao sio wazawa/waisilamu kutoka kaunti za Mandera na Wajir na kaskazini mashariki mwa Kenya kutokana na kushindwa kuwahakikishia usalama wao kwasababu ya kulengwa na Alshabaab, ni dalili za wazi kwamba GoK imesalimu amri mbele ya...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya to construct an agro-industrial park in Uasin Gishu County

    The government of Kenya has announced plans to construct an agro-industrial park in Uasin Gishu County, a move expected to boost farming. The project will be under the Alliance for Sustainable Urban Development in Africa (Dasuda) programme. It will sit on a 45 acre of land located in Moi’s...
  15. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa niliyoyashuhudia ibadani Kenya ni sahihi kabisa alichofanya Rais Magufuli kuzuia mikutano holela ya kisiasa hadi wakati wa kampeni

    Jana nimebahatika kuhudhuria ibada katika Kanisa moja pale Mtwapa katika pwani ya Kenya, ama kwa hakika ibada iligeuka kuwa " kama" mkusanyiko wa wanasiasa. Watu wanazungumzia nani awe Rais wa Kenya baada ya Uhuru kanisani wakibishana juu ya William Rutto, Raila Odinga na Gideon Moi...
  16. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkulima wa Tanzania avutia wanunuzi toka Kenya

    Mkulima wa kisasa Galus Msekwa anayeendesha kilimo kwa utaalamu wa juu avutia wanunuzi toka mbali kama miji ya Nairobi na Mombasa. Mtangazaji Captain Gadner Habash alifika katika shamba hilo la mkulima na kufanya naye mahojiano exclusive na kituo cha Televisheni cha Clouds cha jijini Dar es...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yaamuru Wachina wanne waliomchapa Mkenya warudishwe kwao

    Raia wanne wa Uchina waliokamatwa na Mkurugenzi wa idara ya upelelezi wa makosa ya jinai (DCI) wanatarajiwa kurudishwa kwao baada ya amri iliyotolewa na Waziri wa mambo ya ndani wa Kenya Fred Matiang'i. Agizo hilo lilisainiwa na Matiang'i Jumatano baada ya mahakama kuruhusu polisi kuwashikilia...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Robert Ouko siri ya kifo chake

    Wana bodi ndugu zangu wa JF naomba mwenye uelewa wowote kuhusu kifo cha huyu aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Kenya wakati wa utawala wa Rais Daniel Arap Moi hatujuze kuhusu kifo chake kilikuwaje maana mpka wapelelezi kutoka UK Scotland Yard walikuja kufanya upepelezi juu ya tukio hilo
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mwenye nyumba amuua mpangaji kwa kumdai takriban Tsh 57,000

    Mwenye nyumba Ngángá Gitau, amemchoma visu mpangaji wake hadi kufa Warren Jirongo (26) baada ya kushindwa kulipa kodi ya mwezi Januari Wakazi wa eneo hilo wamemzonga mwenye nyumba huyo kwa hasira na kuchoma nyumba zake moto baada ya yeye kumuua kijana huyo Kijana huyo ni yatima ambaye alikuwa...
  20. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiukweli Marais wastaafu wa Tanzania ni wanyonge wenzetu, utajiri aliouacha Moi Kenya unadhihirisha ubepari wa nchi hiyo!

    Nafuatilia shughuli ya mazishi ya mwenda zake Rais mstaafu Moi wa Kenya mubashara kupitia Citizen Tv. Kiukweli mwendazake Moi alikuwa ni tajiri wa kutosha, sasa nimewaelewa mabepari wa Tanzania Chadema wanaoamini kuwa Umaskini ni laana. Ila CCM ni Chama cha kistaarabu sana marais na mawaziri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…