kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya:Kshs 10 billion Konza University,Kenya Advanced Institute of Science and Technology (Kaist Kenya) To be ready in 24 months

    South Korea has provided a Sh9.6 billion loan for construction of a postgraduate studies university at Konza Technopolis. The Kenya Advanced Institute of Science and Technology (Kaist Kenya) to sit on 22 acres is modelled on the Korean Advanced Institute of Science and Technology whose emphasis...
  2. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Twiga weupe wa kipekee wauawa na majangili nchini Kenya

    Watunzaji wanyamapori nchini Kenya wameeleza kuwa Twiga wawili weupe jike na ndama wake wameuawa na Majangili siku ya Jumanne maeneo ya Gerrisa yaliyopo Mashariki mwa Kenya. Inaelezwa kuwa kutokana na twiga hao wa kipekee kuuawa imepelekea kubakia kwa twiga mweupe mmoja tu aliye hai duniani...
  3. Sinister

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Garden City housing project in Kenya approved.

    Nairobi County Government in Kenya has approved the US $65m Garden City housing project eight months after it was mooted. Mi Vida chief executive Chris Coulson confirmed the report and said construction of the first 208 units starts immediately. “We finally got our approval from the county...
  4. Cicero

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania leads Kenya in the list of dollar millionaires

    MWEEEH! Kama uongo vile. Mbona siiamini hii ripoti. Ngoja niwashushie data ntarudi baadae. ====== Inakadiriwa kuwa Mamilionea 499 kwa kiwango cha dola wamepungua nchini Kenya kutoka mwaka jana. Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka 2020 shirika linalofuatilia kiwango cha utajiri binafsi wa watu...
  5. beth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta atoa onyo kwa Somalia, ataka nchi hiyo kuacha kuichokoza Kenya

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ameionya serikali ya Somalia kuacha uchokozi wa mara kwa mara dhidi ya Kenya. Onyo lake linajiri siku moja baada ya wakazi wa Mandera kulazimishwa kutoroka makazi yao baada ya ghasia zilizozuka kati ya wanajeshi wa Somalia dhidi ya wanajeshi wa eneo la Jubaland...
  6. Cicero

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri mwanamama wa Kenya ashutumiwa kwa kupenda kuangalia video za ngono ofisini

    Wakenya mko wapi mtuambie ni nani huyu!
  7. Magonjwa Mtambuka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mauaji ya kimafia huko Kenya

    Ati nini? Nakala iwafikie pingli-nywee na nyang'au wengineo.
  8. beth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Jijini Nairobi yafuta uamuzi wa Kenya Airways kumsimamisha kazi Mfanyakazi aliyerekodi Ndege ya Wachina ikitua JKIA

    Kenya Airways’ decision to suspend employee Gire Ali has been voided by a Nairobi court after he moved to court to challenge the move. At the same time, the court also stopped the Office of the Director of Public Prosecutions (ODPP) from arresting and charging Mr. Gire. Gire, an Assistant...
  9. Influenza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya airways (KQ) suspends staffer who shared video of Chinese arrival at JKIA

    Kenya airways has suspended a staff indefinitely for sharing a video clip of 239 passengers aboard a Chinese flight that arrived in Kenya. "Following a report of video of China Southern flights arrival at JKIA and circulation of the video clip widely on social media and your alleged involvement...
  10. joto la jiwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alshabaab waaamuru watu wote ambao si wazawa kuondoka katika eneo lote la Kaskazini mashariki mwa Kenya

    https://www.operanewsapp.com/tz/en/share/detail?news_id=70f928da842b6242fda46a9898eb65fd&news_entry_id=32bb7f30200227en_tz&open_type=transcoded&request_id=RELATED_NEWS_6702ca75-024e-495d-91ba-90db839a964e&from=news Hii amri inafuatia baada ya Wizara ya elimu ya Kenya kuwaondoa waalimu wote ambao...
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A China Southern airlines with 239 passengers on board lands at the Jomo Kenyatta International airport in Nairobi

    February 27, 2020 Nairobi, Kenya A China Southern airlines with 239 passengers on board lands at the Jomo Kenyatta International airport in Nairobi, Kenya bringing with it a fresh concern about coronavirus. A whistleblower who took a video of this aeroplane from China said that there are no...
  12. joto la jiwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani Kenya watoa tahadhari ya kuwepo kwa shambulio la Kigaidi Jijini Nairobi wakati wowote kuanzia sasa

    Ubalozi wa Marekani nchini Kenya umetoa onyo kwamba magaidi huenda wakashambulioa hoteli moja kubwa nchini Nairobi. Kulingana na ubalozi huo, hoteli iliolengwa ni maarufu kwa kuwa hutemebelewa sana watalii na wanabiashara. ''Makundi ya kigaidi huenda yanapanga njama dhidi ya hoteli moja kubwa...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania US military says it killed terrorist leader who planned attack that killed Americans in Kenya on a military airfield in Manda Bay

    Shambulio la Ndege lililofanywa na Marekani limemuua Kingozi wa Al-Shabaab anayehusishwa na kupanga mashambulio kadhaa likiwepo la kwenye Kambi Jeshi ya Manda Marekani imeeleza kuwa Kiongozi huyo anayehusishwa na kupanga mashambulio ya Mpakani mwa Kenya ameuawa pamoja na mke wake ambaye pia ni...
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali kuu ya Kenya yamnyang'anya Sonko jiji la Nairobi je jiji la DSM tunajifunza nini kufuatia sakata la Meya Mwita?

    Jiji la Nairobi limekumbwa na ufisadi uliotukuka hali iliyopelekea Gavana wa jiji hilo kuzuiwa kuingia ofisini na taasisi ya kupambana na rushwa nchini humo. Leo serikali kuu ya Kenya imetwaa uendeshaji wa jiji hilo ikiwemo usimamizi wa utoaji Huduma zote za kijamii ikiwemo elimu, afya, maji...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya mazungumzo na msomi Prof Patrick Loch Otieno Lumumba, msomi huyu ammwagia sifa lukuki Dr Magufuli

    Rais Magufuli leo amekutana na msomi mbobezi duniani Prof Patrick Lumumba Ikulu jijini Dsm. Rais Magufuli amempongeza Prof Lumumba kwa namna anavyojitahidi kuwashauri viongozi wa Afrika namna ya kuzifanya nchi zao zijitegemee. Nay Lumumba amempongeza Dr Magufuli kwa jinsi alivyoibadilisha...
  16. babu M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania U.S. to Argue in Supreme Court on Behalf of 1998 Kenya Victims

    The Trump administration is poised to argue before the Supreme Court that victims of the 1998 bombing of the U.S. embassy in Nairobi should be compensated by Sudan, which at that time harbored the attack’s plotters, Osama bin Laden and other al Qaeda members. In a session scheduled for Monday...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Baba amuoa mwanae wa kufikia na kumuacha mkewe

    Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Grace, aliolewa zaidi ya miaka 18 iliyopita. Kama wanawake wengine, aliwaza kua na ndoa yenye Amani na furaha, lakini ndoa yake iliharibika baada ya mumewe kumuoa mtoto wao wa kwanza Grace alipata manyanyaso mengi. Baada ya changamoto nyingi mumewe...
  18. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya still baba lao East-Central Africa

    Kenya regains position as region’s biggest economy  Dominic Omondi  23rd Feb 2020 07:00:00 GMT +0300 From left: President Uhuru Kenyatta, Rwanda’s Paul Kagame and Uganda’s Yoweri Museveni at last year’s East Africa Community Heads of State Summit in Arusha, Tanzania. [File, Standard] Kenya...
  19. pingli-nywee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shujaa wazidi kupeperusha bendera ya Kenya: 'Pools' za Los Angeles 7s zatangazwa

    Kenya tupo kwenye Pool B, pamoja na S.Africa, Ireland na Canada. Sheria zimerejea kama zilivokuwa hapo awali, baada ya malalamishi kutoka kwa mashabiki kote duniani. Timu mbili zitakazo ongoza kwenye pool zao zitaingia moja kwa moja kwenye nane bora. Shujaa, timu ya Kenya Raga7s ilitua Kenya...
  20. Sinister

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Construction plans for US $841m Isiolo-Mandera road project in Kenya released.

    Construction of the Isiolo-Mandera road is set to commence soon after the Kenya National Highways Authority (KeNHA) released the building plans. The project represents the government’s plan to open up north eastern Kenya which has remained isolated economically from the rest of the country due...
Back
Top Bottom