Tuige mfano toka Kenya

Hata mimi mwenyewe naona Serikali yetu ni dhaifu na nyonge inaruhusu ujinga mwingi sana, watu kama Zito Kabwe, Tundu Lisu & Co. wangekuwa Kenya sasa hivi wangeshafilisiwa na kufungiliwa mbali zamani sana, Wakenya ni Mafia huyo Ruto ni Makamu wa Raisi kama mama Samia, lkn yuko upande wa pili sasa wanakula naye sahani moja dadadeki, hapa tunacheka na Nyani, watu wanatusaliti kama nchi mpaka ndege yetu inashikwa na tunawajua lkn bado tunawachekea tena na kuwalipa mishahara, kwa nini tusiwalipue?
 
Hata mimi mwenyewe naona Serikali yetu ni dhaifu na nyonge inaruhusu ujinga mwingi sana, watu kama Zito Kabwe, Tundu Lisu & Co. wangekuwa Kenya sasa hivi wangeshafilisiwa na kufungiliwa mbali zamani sana, Wakenya ni Mafia huyo Ruto ni Makamu wa Raisi kama mama Samia, lkn yuko upande wa pili sasa wanakula naye sahani moja, dadadeki.
Halafu hawa akina Tundu Lisu eti wanakimbilia Kenya.
 
Mimi nakuambia tuige wakenya wanavyomaliza mambo kimafia mafia wewe unaanza oh nasubiri sijui nini. Huoni demokrasia ya wakenya inavyofanya kazi yake?
Huo ni uhuni ambao bado unachunguzwa. Na ndipo nikakuuliza. Fafanua vile uhalifu wa mtu binafsi uko na mahusiano na ujio wa katiba ya Kenya?. Bado nasubiri!.
 
Back
Top Bottom