mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,441
- 431,885
Wana bodi ndugu zangu wa JF naomba mwenye uelewa wowote kuhusu kifo cha huyu aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Kenya wakati wa utawala wa Rais Daniel Arap Moi hatujuze kuhusu kifo chake kilikuwaje maana mpka wapelelezi kutoka UK Scotland Yard walikuja kufanya upepelezi juu ya tukio hilo