kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Mjomba Fujo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha zinatisha: Maasai watwangana na jamii ya Kipsigis Narok nchini Kenya, wanne wapoteza maisha

    Mgogoro wa mifugo umeleta mapigano ya jamii hizi mbili zenye uhasama wa muda mrefu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania How Tanzania is Overtaking Kenya as Regional Economic Powerhouse..

    It is no doubt Tanzania is strongly coming up as a real competitor and perhaps an emerging producer of the East African community. It is also true that the ease and cost of doing business in Tanzania is cheaper than it is in Kenya. Periodic electoral chaos in Kenya associated with ethnic...
  3. Symonjerry

    JamiiForums Tanzania Kupiga chabo

    SIASA Sent using Jamii Forums mobile app
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania IMF: Tanzania Rapidly Closing its Economy gap with Kenya

    Kenya’s status as East Africa’s economic powerhouse is at stake as Tanzania races closely behind, with a higher growth rate that is increasingly narrowing the gap between the two economies. Tanzania has added impetus to its economic firepower, growing by an impressive seven per cent over the...
  5. Sinister

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya most integrated country in COMESA, AU report

    Rwanda and Zambia came second and third respectively; with Eswatini, and Sudan scoring being the least integrated into the region. Overall, the Index shows that levels of integration on the continent are relatively low with an average score of 0.327 out of 1. The report observed that although...
  6. Hata Sina kinyongo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamiliki wa maroli nchini Kenya wazuia maroli yao kuvuka kwenda Uganda kwa hoja ya madereva wa Kenya kunyanyapaliwa

    Ukistaajabu ya Musa... Kile Tanzania ilichokipinga kwa unyanyasaji walio kuwa wanafanyiwa madereva wa Tanzania kwenye mipaka ya na Kenya ndicho Kenya imekifanya huko Malaba mpaka baina ya Kenya na Uganda. Wamiliki wa maroli Kenya wamezuia maroli yao kuvuka upande wa Uganda hadi pale...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta: Hatuwezi kuendelea na lockdown

    - Rais alisema serikali imeafikia uamuzi wa kuwa haiwezi kuendelea kuwafungia watu - Alisema sasa itafikia wakati wa watu wenyewe kujilinda dhidi ya maambukizi ya coronavirus - Nchi jirani ya Tanzania ni mojawapo wa zile ambazo hazikufunga shughuli zake za kuchapa...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Onions Suppliers from Tanzania

    Natokea Kenya nataka kuanza biashara ya vitunguu natafuta mtu atakaye nisaidia kupata supplier wa vitunguu kutoka Tanzania kwa bei nafuu. Asante
  9. The Boss

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyans love gossiping than football...

    Mpaka wanaume wanapenda gossiping than football. Sijasema mimi, Mkenya huyu anasema..
  10. Magonjwa Mtambuka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu laki mbili wakabiliwa na njaa huko Kilifi, Kenya

    Yaani huku virusi vya corona huku njaa. Wakenya mtakoma safari hii. Acheni kujifanya wajuaji.
  11. Trubarg

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya watamani kuiga Tanzania: Wachoshwa na daily briefings za corona

    Muendelezo wakutaja positive cases kila siku saa tisa alasiri bila kutoa solutions kumeonekana kuwakera Sana Wakenya kiasi kwamba kuomba huo utaratibu usitishwe Kama Tanzania ilivyofanya. Nimeambatanisha screen shorts na video ambayo ukiangalia comments zake asilimia zaidi ya 90 wanataka...
  12. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya itahitaji miaka 336 kuwapima Wakenya millioni 50+; kwanini wapigane na adui wasiyemuweza?

    Kenya yenye watu millioni 50+ inayopima wastani wa watu 1000+ kila almaarufu kama mass testing itahitaji siku 50000 sawa na miaka 336 kuwapima wakenya waliopo leo. Mass testing ya nini kwenye nchi yenye madeni makubwa kama Tanzania japo yenyewe inatuzidi ukubwa wa deni? Kwani Kenya na nchi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai awataka wabunge wajenge nyumba Dodoma kwani hata wabunge wa Kenya wote wana nyumba Nairobi

    Spika Ndugai amewataka wabunge wafikirie kujenga nyumba jijini Dodoma badala ya kutegemea nyumba za kupanga. Ndugai amesema hayo baada ya wabunge kudai TBA inawasumbua kuhusiana na mikataba yao ya upangaji na kuliomba bunge liwasaidie. Spika Ndugai amewaambia wabunge wanapaswa kujenga nyumba...
  14. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Kenya inaipenda Tanzania dhaifu haiwezi kamwe ikaipenda Tanzania madhubuti chini ya Rais Magufuli

    WATANZANIA, WAKENYA WASIWASUMBUE Wiki hii toka jumatatu joto la kidiplomasia Kati yetu na Kenya limepanda Kiasi. Joto hili linasababishwa na vurugu za ugonjwa wa Corona. Nimejaribu kwa kiasi kuwaonyesha Watanzania sababu za kuendelea kukataa mchezo wa Kenya katika Uchumi wetu. Naelewa Sana...
  15. Cicadulina

    JamiiForums Tanzania Video: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alihutubia Bunge la Kenya na mustakabari wa uhusiano wetu

  16. mimitungi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madereva Watanzania wana Corona zaidi ya Kenya? Siasa au Ukweli?

    Inawezekana vipi Tanzania kuwa na maambukizi mengi kiasi hiki na bado watu wakawa wazima? Je, no mbinu za kibiashara? Au mabeberu wapo kazini?
  17. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyotokea mpakani na Kenya, Zambia na Rwanda yanaonyesha haja ya umakini kwa Magufuli kuteua wakuu wa mikoa ya mipakani wenye uwezo wa kidiplomasia

    Nakumbuka katika kuteua wakuu wa mikoa muda fulani uliopita, Raisi Magufuli alisema kwamba alikuwa akiteua wakuu wa mikoa ya mipakani wengi wakiwa wanajeshi ili kusaidia katika suala la ulinzi mipakani. Lakini sasa, migongano na nchi jirani za Kenya, Zambia, Rwanda na hata Uganda zimetufundisha...
  18. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Balozi wa Kenya nchini Tanzania: Hatuiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu. Sisi sio maadui, adui yetu ni Corona

    Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Balozi Kazungu amezungumza na vyombo vya habari ili kuweka mambo sawa. Balozi kazungu amesema... Rais Kenyatta amenituma hapa, anasema Kenya haiiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu, sisi sio maadui, adui yetu ni corona, ndio maana alikuwa Rais wa kwanza...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Bajeti yetu iko tayari, kwanini tuwasubiri Kenya na Uganda tusome pamoja tarehe 11 Juni? Wabunge watalipwa posho bila kufanya kazi?

    Jana Spika Ndugai amesema pamoja na kwamba bajeti yetu imewahi kukamilika bado itatulazimu kuwasubiri " Wenzetu" wa Kenya, Rwanda na Uganda ili tuzisome kwa pamoja tarehe 11 June. Maana yake ni kwamba wabunge wataendelea kuwepo Dodoma wakiisubiri hiyo tarehe ya " pamoja " kisha wataendelea...
  20. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuamke tulitetee Taifa letu

    Na Thadei Ole Mushi. Leo Nchi yetu imefunga mipaka yake na Kenya kwa baadhi ya Mikoa. Habari kubwa Kenya Ni hatua hiyo ya Tanzania... Yaani huko Kenya wamechachawa haswa. Ipo hivi Kenya walikuwa Wana deal na Corona kwa mission kubwa mbili. Moja kuua kabisa Utalii wa Tanzania kwa kusema kuwa...
Back
Top Bottom