Covid 19: Raia wa Kenya apokea majibu ya positive na negative

naona wamem-handle huyo mzee vizuri cz hela anazo, angekua mlala hoi na rungu zingetembea.
Kuna tatizo kubwa la kiutendaji, inatakiwa Hiyo maabara ichunguzwe na kama hawana papai na fenesi wafungue mipaka tuwaletee
 
Tulishasema hili janga limegubikwa na siasa. Sarakasi hazitaisha.
 
Back
Top Bottom