Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.
Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).
Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.
Jamaa wameanza kulia "ile chakula tunapeana iko wapi"?
======
Protestors from Bahati, Kibarani, and Kwa Punda close Kibarani road demanding relief food from Mombasa County. They say for the last three months they have not received anything despite having their names being registered
South Africa is more reasonable than our immediate southern neighbours, wanajua the most important and economically strong country in East Africa as they confess; strategic for them and for the good of Africa. Hawana wivu, forward looking not backward thinking and negative like. Wanajijua...
Kenya secures UN SEAT After beating Djibouti
Kenya garnerd 129 vs Djibouti 62 votes in the second round of voting.
=======
Kenya on Thursday beat Djibouti to clinch the last African seat at the United Nations Security Council.
Backed by the African Union, Kenya garnered 129 votes against...
Vizuri sana Wakenya tunavyolishughulkia suala hili la corona, ushirikiano baina ya wanasiasa wote, hamna mikwara au matamko yenye kejeli, hakika tumeonyesha mfano wa kuigwa Afrika na duniani kote.
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga amepima corona na kuagiza matokeo yatangazwe hadharani, hivyo...
This is how a small clique of families control Kenya
- Kenya's Presidents Together Before 3 of Them Came into Power
- Jomo Kenyatta (seated) served from 1963-1978.
- Daniel Arap Moi (standing) served from 1978-2002.
- Mwai Kibaki (bending) served from 2002-2013.
- Uhuru Kenyatta (sitting...
Shirika la afya duniani who limeelezea wasiwasi wake kuhusu kasi ya maambukizi ya virusi vya corona barani afrika, huku idadi ikiendelea kuongezeka katika baadhi ya mataifa ya bara hili. Mikakati kadhaa inahitajika kuhakikisha bara hili linakwamua uchumi uliaoathirika na janga hili mbali na kuwa...
Kipeto Wind Farm (100 MW):
The final turbine was installed at Kipeto wind Farm on 8th of june 2020. Located at Esilanke area in the foothills of Ngong Hills, about 30 km southwest of Nairobi, the Kipeto wind power project is set to inject 100MW of energy into the grid by december 2020– making it...
United Nations Office for Project Services (UNOPS) has invested Kes 5 billion in building 10,000 affordable houses(Habitat heights) for middle class Kenyans in the outskirts of Nairobi.First priority will be Kenyan UN employees who have retired, followed by current Kenyan employees in the UN...
Kama ilivyo kawaida ya kenya ile tabia yao ya kwamba kila kitu kinzuri ni cha kwao, hatimaye wamefanikiwa kuwapiku wachina, kwani wanadai ugonjwa wa corona umeanzia kwao na ni mali yao, na sasa hawauiti corona virus au Wuhani virus bali unaitwa Nairobi virus.
Wachina bahada ya kugundua njama...
Hawa bado wana mambo ya kizamani sana. Eti ukabila bado unawafanya wanyukane mishale na kuuana. Halafu utawasikia oh mbona na huko Tanzania kuna fujo. Kizungu cha ugoko kingii lakini bado.
=======
Ethnic killings in Marsabit County continue to intensify as four more people are killed today...
Kuna battle nimeiona sehemu fulani kati ya Wakenya na Watanzania kila upande ukijinadi kua na warembo wazuri kumshinda mwenzake, binafsi mimi mara yangu ya kwanza kufika Kenya nilipata shida sana kutofautisha kati ya mwanaume na mwanamke kwani wanawake wengi wa Kenya hawana tofauti na wanaume...
Rais Uhuru Kenyatta ameagiza bendera ya Kenya na ya Jumuia ya Afrika kupeperushwa nusu mlingoti kwa heshima ya marehemu Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kuanzia kesho Juni 13 hadi siku ya mazishi
Rais Pierre Nkurunziza alifariki Juni 9 katika hospitali ya Karusi Fiftieth Anniversary baada ya...
90 more people have tested positive for COVID-19 in Kenya bringing the total number of positive cases in the country to 3,305.
Health CAS Rashid Aman said all the new patients are Kenyans: 62 are male while 28 are female.
The youngest of them is 14 years old while the oldest is 80 years old...
Kenya: Polisi washutumiwa kuwaua watu 15 kiholela
Mamlaka inayoangazia utendakazi wa polisi nchini Kenya IPOA, Jumatano ilisema kwamba Wakenya wapatao 15 wameuawa na polisi katika taifa hilo la Afrika Mashariki katika kipindi hiki ambacho kumewekwa marufuku ya kutoka nje usiku, kati ya masharti...
Polisi watatu wamekamatwa nchini Kenya baada ya mmoja wa polisi hao kuonekana akimchapa na kumburuza mwanamke mmoja kwa pikipiki.
Mwanamke huyo anadaiwa kuhusiana na tuhuma za wizi mjini Nakuru.
Mwanamke huyo amelazwa hospitali baada ya kuumia miguuni na mikononi.
Mwanamke huyo amekiambia...
Kenya total tarmaced roads increased by 1500km in one year to 21,000km in 2019. In 2018, Kenya had a total of 18,600km of paved roads in the entire country. This was three two times what Tanzania had the same year. Paved roads are expected to 23,000km in 2020
Salamu wa JF. Naomba matusi yasiwepo.
GDP (gross domestic product) inapatikanaje? Mpaka mashirika ya kimataifa wanatoa ripoti.
Kwa upande wangu nikichukulia neno domestic product inakuwa na maana ya mazao yatokanao na uzalishaji wa ndani.
Ninaomba kujua hao wataalamu wa mashirika ya kimataifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.