Kenya rules EAC in trade (Uchumi wa makaratasi)

Don YF

JF-Expert Member
May 24, 2014
10,168
9,536
Kenya’s trade in EAC up despite tensions

Kenya’s trade with the six-nation East African Community improved by 57.7 percent

Kenya’s trade with the six-nation East African Community improved by 57.7 percent in the first quarter compared to a similar period last year despite the long-standing trade tension with some of the member states. FILE PHOTO | NMG

Kenya’s trade with the six-nation East African Community improved by 57.7 percent in the first quarter compared to a similar period last year despite the long-standing trade tension with some of the member states.

The Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) data shows that balance of payments — net exports less net imports — with Burundi, Rwanda, Tanzania, Uganda and South Sudan rose to Sh30.86 billion in the three months to March from Sh19.67 billion in a similar period in 2019.

The volume of trade was recorded at Sh54.94 billion during the period up from Sh46.28 billion last year.

The community represented the leading regional trade with inflows in favour of Kenya, followed by the Common Market for Eastern and Southern Africa, which also recorded a positive balance of trade of Sh25.31 billion.

Other trading regions, including the European Union (EU), which excludes the United Kingdom that exited the bloc in February, recorded balance of payments to Sh14.79 billion in favour of the EU.

Far East Asia and other trading categories recorded balance of trade to Sh196.07 billion and Sh61.02 billion on the negative.
Kenya’s exports to the EAC were worth Sh42.90 billion, representing 19.3 per cent of Sh222.72 billion worth of total Kenya’s exports in the quarter.

This also represented 30.3 per cent increase from Sh32.92 billion exported to the neighbouring countries in the last year period, signalling the improved business activity during the period.

On the other hand, the Kenyan market purchased products worth Sh12.04 billion, representing a 9.8 per cent drop from Sh13.36 billion during the period.

UGANDA
During the quarter, Uganda was Kenya’s leading regional market having purchased Kenyan goods worth Sh18.88 billion, an increase from Sh16.33 billion exported in 2019.

“Uganda remained the leading export destination contributing 28.4 per cent of the total export earnings from Africa,” KNBS stated.
Kenyan exports to the landlocked neighbour include pharmaceutical products, sugar, confectionary, cement, alcohol, vehicles and iron and steel products.

Imports include milk and dairy products, beans, animal feeds, eggs, maize and other cereals. Ugandan exports to Kenya were Sh6.10 billion, a drop from Sh7.84 billion in Q1 2019.

The decline was due to a decline in imports bill of processed milk and tobacco products. This came amid proposed regulations, Dairy Regulations 2020, which are still awaiting national validation, to introduce a 10 per cent tax on imports from EAC to protect local farmers from dumping of milk.

The decline in import bill, according to KNBS, also helped to ease import expenditure from the rest of Africa by 13.1 per cent to Sh46.9 billion during the review period.

TANZANIA
Kenya’s exports to Dar es Salaam were Sh7.99 billion, a 7.8 per cent growth from Sh7.41 billion in Q1 2019. Imports from Tanzania increased to Sh5.61 billion from Sh5.04billion over the period under review.

“The value of imports from Tanzania increased by 11.4 per cent, largely driven by an increase in imports of pinewood and butane petroleum gas,” the report added.

Recently, the countries renewed the long-running trade dispute due to disagreements over procedures of testing truck drivers for Covid-19 disease at the common borders.

The trade disputes between Kenya, Tanzania and Uganda have been due to tariff and non-tariff barriers.

Early this month, local traders protested that Kenya-made cigarettes entering Tanzania are charged 80 per cent higher tax despite an agreement that such taxes do not apply on products made from raw materials sourced locally.

Local firms have also been for long objected that Ugandan illegally introduced a 12 per cent inspection fee in 2017 for Kenya’s pharmaceutical exports while it zero-rated Uganda- made drugs.

RWANDA, BURUNDI AND SOUTH SUDAN
Exports to Rwanda rose by 44 per cent to Sh6.09 billion, while imports to Kenya dropped to Sh296.8 million from Sh457.7 million over the period under review.

Goods to Burundi and South Sudan were valued at Sh1.37 billion and Sh8.57 billion, respectively, with the national data agency failing to record the imported goods into Kenya.

“Exports earnings from Rwanda, Uganda, Sudan and South Sudan jointly increased by Sh11.5 billion from the corresponding quarter of 2019 representing a 45.9 per cent increase.

“These countries jointly accounted for 55 per cent of the total exports to Africa during the period under review,” the report showed. The long-standing disputes between Kampala, Nairobi and Dar es Salaam amid the Covid-19 pandemic would disrupt the trade activities in the coming quarters.

A Central Bank of Kenya report on leading trade indicators shows earnings from goods sold to Uganda, Tanzania and Rwanda amounted to Sh5.61 billion in April, a drop of 38.47 per cent or Sh3.51 billion compared to a similar period in 2019.

The month represented the first full month of the adoption of containment measures as announced by the government.

Source: businessdailyafrica.com
 
"Kenya’s exports to Dar es Salaam were Sh7.99 billion, a 7.8 per cent growth from Sh7.41 billion in Q1 2019. Imports from Tanzania increased to Sh5.61 billion from Sh5.04billion over the period under review." Kenya ya viwanda inailisha Tanzania. 😁 😁 😁
 
Kwa Watanzania vichwa maji ambao hawaelewi kingereza, hili ripoti linasema kuwa thamani ya bidhaa ambazo Kenya baba yao (wengine wote ni watoto) inaexport kuelekea nchi zingine za Afrika Mashariki ni kubwa kushinda thamani ya bidhaa zinazotokea nchi zingine za Afrika Mashariki kuelekea Kenya.
 
Kwa Watanzania vichwa maji ambao hawaelewi kingereza, hili ripoti linasema kuwa thamani ya bidhaa ambazo Kenya baba yao (wengine wote ni watoto) inaexport kuelekea nchi zingine za Afrika Mashariki ni kubwa kushinda thamani ya bidhaa zinazotokea nchi zingine za Afrika Mashariki kuelekea Kenya
Tumeshawazoea na makelele yenu. Kujisifu tuuu kulikopitiliza. Haya sawa!
 
Kwa Watanzania vichwa maji ambao hawaelewi kingereza, hili ripoti linasema kuwa thamani ya bidhaa ambazo Kenya baba yao (wengine wote ni watoto) inaexport kuelekea nchi zingine za Afrika Mashariki ni kubwa kushinda thamani ya bidhaa zinazotokea nchi zingine za Afrika Mashariki kuelekea Kenya
Halafu tukisema mnategemea sisi zaidi mnakaza fuvu.muuza duka hapindui kwa mteja, ndio sababu tukikasirika huwa mnarudi meza ya majadiriano mara moja.

Sababu mnatuuzia trash zenye thamani kubwa,wakati in return tunawauzia basic goods kwa pesa ndogo lakini bidhaa zenye thamani kubwa.
 
halafu tukisema mnategemea sisi zaidi mnakaza fuvu.muuza duka hapindui kwa mteja,ndio sababu tukikasirika huwa mnarudi meza ya majadiriano mara moja.

sababu mnatuuzia trash zenye thamani kubwa,wakati in return tunawauzia basic goods kwa pesa ndogo lakini bidhaa zenye thamani kubwa.
Kwnm hzo trash msi produce wenyewe mtuuzie.
 
Hili soko la EAC tulishalitia kwapani, kwa sasa tunawaza masoko ya mbali sana, hawa EAC hawana jeuri au namna, walishanasa kwetu.
Msubiri tukamilishe mkataba na Marekani ndio muhisi utamu wake.

Mijitu mnaopenda kuponda nafikiri mpaka sasa mumeanza kuelewa nini maana ya kuongozwa na rais anayefahamu maana ya diplomasia, mumekua mkituchokonoa, kutia kuku wetu viberiti, kukamata ng'ombe na mengine mengi yanayodhidhirisha chuki, ila rais wetu siku zote anawakuna mnajichekea na kuendelea kuachia soko.

Uongozi bora sio mikwara na makelele, ni unakaa na wataalam wa tasnia mbali mbali wanakupa maujanja kisha unafanya maamuzi yenye busara.
 
Unadhani ni kazi ngumu hiyo? Ukitaka kujua tuna mpango gani na hilo,angakia miaka hii 5 iliyopita,utaelewa tunaelekea wapi.

Watu wa mipango tunazidi kuongeza pengo kati yetu na nyie, endeleeni na mipango.
 
Watu wa mipango tunazidi kuongeza pengo kati yetu na nyie, endeleeni na mipango.
Kama mipango yenu ni kuongeza gape then good to you, but our mission ni kuboresha maisha ya mtz mmoja mmoja. Ndio maana mpaka sasa hata wewe uchumi wenu wa $99bln,kuna wakati huuelewi, unaishia kusingizia ufisadi kwa viongozi wenu.
 
Hili soko la EAC tulishalitia kwapani, kwa sasa tunawaza masoko ya mbali sana, hawa EAC hawana jeuri au namna, walishanasa kwetu.
Msubiri tukamilishe mkataba na Marekani ndio muhisi utamu wake.

Mijitu mnaopenda kuponda nafikiri mpaka sasa mumeanza kuelewa nini maana ya kuongozwa na rais anayefahamu maana ya diplomasia, mumekua mkituchokonoa, kutia kuku wetu viberiti, kukamata ng'ombe na mengine mengi yanayodhidhirisha chuki, ila rais wetu siku zote anawakuna mnajichekea na kuendelea kuachia soko.

Uongozi bora sio mikwara na makelele, ni unakaa na wataalam wa tasnia mbali mbali wanakupa maujanja kisha unafanya maamuzi yenye busara.
Wewe unafaidi nini..kwanza leo unajua unakula nini?
 
Kama mipango yenu ni kuongeza gape then good to you, but our mission ni kuboresha maisha ya mtz mmoja mmoja. Ndio maana mpaka sasa hata wewe uchumi wenu wa $99bln,kuna wakati huuelewi, unaishia kusingizia ufisadi kwa viongozi wenu.

Kadiri gap inazidi kuongezeka ndivyo maisha yanaboreshwa, nyie tangu enzi za mababu zenu mumekua na mipango ya kuipita Kenya ila hadi leo sisi vitukuu na wajukuu tunaendelea kuongeza pengo baina yetu na nyie, tunawaacha kuleeee.
 
Hatujawahi kuifikiria kenya, maana nayo ni nchi duni tu.

Nyinyi mko na watu 50mln,b kwa uchumi wa 99bln, maisha bado ni taabani, unategemea yaboreke lini?

Mission ya nchi yoyote ya kijamaa huwa ni kuboresha maisha, uchumi inakuja kuwa matokeo tu, but nyinyi wafuata upepo mnajenga uchumi wa namba tu.
 
joto la jiwe leta kisogo huku.
Aah wapi usitegemee kuona kisogo chake humu. Haka kauzi kanawauma sana. Yaani baada ya ubabe wote wa Jiwe na hujuma zao dhidi ya Kenya ununuzi wa bidhaa kutoka Kenya umepanda kwa 57% hapa AM. Hawawezi wakaitunishia Kenya misuli na wakafanikiwa, sio kwa vile viwonder vyao vya kukamua juisi na kunyoa ndevu.
 
Unadhani ni kazi ngumu hiyo? Ukitaka kujua tuna mpango gani na hilo,angakia miaka hii 5 iliyopita, utaelewa tunaelekea wapi.
Km kupanga tu imewachukua miaka mitano na bado hamjamaliza. Kwhyo tuwape miaka kumi ya kumaliza mipango yenu, alafu 50years ya utekelezaji.
 
"Kenya’s exports to Dar es Salaam were Sh7.99 billion, a 7.8 per cent growth from Sh7.41 billion in Q1 2019. Imports from Tanzania increased to Sh5.61 billion from Sh5.04billion over the period under review." Kenya ya viwanda inailisha Tanzania. 😁 😁 😁
Hivi hii Kenya ya uchumi wa viwanda imekuwa hapo kwenye uchumi wa kati wa chini tangu lini? Pamoja na kutulisha tumewakuta na tutawaacha papo hapo huku wakihangaika na maeni yao ya Mchina.
 
Hatujawahi kuifikiria kenya, maana nayo ni nchi duni tu.

Nyinyi mko na watu 50mln,b kwa uchumi wa 99bln, maisha bado ni taabani, unategemea yaboreke lini?

Mission ya nchi yoyote ya kijamaa huwa ni kuboresha maisha, uchumi inakuja kuwa matokeo tu, but nyinyi wafuata upepo mnajenga uchumi wa namba tu.

Kha nusra Kenya iwe kwenye wimbo wenu wa taifa, sidhani kama kuna taifa huwapa kichaa kama Kenya, hehehehe!!! Mumepambana kutufikia ila ndio hivyo kwa mlivyo wazembe huwa tunaongeza pengo na kuendelea kuwaacha kielimu, kiuchumi, kijeshi na kila kitu, mpaka siku mtaacha uzembe ndio mtatunusia kwa nyuma.

Kipindi cha JK mlikua mnajongea, ila awamu hii ndio kwaheri kabisa maana hamna jipya zaidi ya mikwara na makelele.
 
Wabongo bana, chorus mnayoijua vizuri ni ile ya kuonewa, hadi kwenye ripoti ambayo imeandikwa kutoka kwa angle ya Kenya, sio Tz, UG wala Rwanda. :D Alafu wametaja hilo pia, hujaona? "Imports from Tanzania increased to Sh5.61 billion from Sh5.04billion" Hivi unajua kwamba kwa mara ya kwanza 2015/16 mlikuwa mmeipinduzia Kenya kwa kuiuzia bidhaa nyingi zaidi ya mlizonunua kutoka Kenya? Kabla mzee wenu wa mikwara hajaanza kutekeleza sera zake za kuihujumu Kenya na kuvuruga biashara za Kenya. :D Kisha miaka miwili baadaye mkavunja rekodi ya miaka sita ya kununua bidhaa nyingi kutoka Kenya. :D
Calculate hapo uone mwaka jana export yenu ilikuwa na thamani gani. Calculate na yetu pia. Then compare the two figures. Utaona unavyoongea pumba!
 
Back
Top Bottom