kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Wanaodaiwa kuwa Watanzania wakamatwa nchini Kenya wakijaribu kumteka Mwanaharakati Mshabaha Hamza

    Law Society of Kenya na Amnesty International Kenya wametoa taarifa kuhusu kuokolewa kwa mwanaharakati wa Tanzania, Mshabaha Mshabaha Hamza, aliyedaiwa kutekwa nchini Kenya. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Hamza aliokolewa Februari 22, 2026 baada ya polisi kuingilia kati. Watu watatu walikamatwa...
  2. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania World Rally Championship Returns to Kenya in March

    The third round of the 2026 World Rally Championship returns to Kenya, and this time the spotlight shifts fully to Naivasha for four straight days of adrenaline from March 12 to 15. For years, the rally has balanced an urban ceremonial start in Nairobi with the rugged action in Naivasha. But the...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwenye List ya Africa : Kenya sasa namba 6 kutoka 7 na Tanzania imeshuka namba 11 kutoka 10

    Kwenye List ya Africa : Kenya sasa namba 6 kutoka 7 na tanzania imeshuka namba 11 kutoka 10. Kujilingalisha ni sawa na kusema muuza genge Tanzania hata tukukuwa kwa 6% kwa mwaka ni ndogo kuliko 4% ya mwenye. M super market . Mama Samia anafikia zanzibar , familia na rushwa kila siku...
  4. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Will The Russian Man Be Extradited to Africa To Stand Trial?

    The passport of the Russian man who was accused of filming African women without their consent was released by Ghana. They identified him as Vladislav Liulkov, 36, following discussions with the Russian ambassador as it attempts to extradite him to prosecute him. The government of Kenya on its...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania PrEP ya Miezi 6 Yawasili Kenya – No More Daily Pills!

    Kenya imeanzisha rasmi sindano mpya ya PrEP inayokulinda dhidi ya HIV kwa miezi sita mfululizo. Dawa hii, inayojulikana kama Lenacapavir, inachomwa mara mbili tu kwa mwaka – no more kumeza vidonge kila siku. Tofauti na PrEP ya vidonge kama Truvada, hii ni rahisi, discreet na inafaa kwa watu...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Jamani hiki kisanga cha Russian kuwahonondomoa wake za watu Kenya na kusambaza video..embu wake zetu ikimbien zinaa kabla aibu

    Eee mungu tusaidie tanzania Aibu hii isitukutute maana n shida Kuna sakata la amrussia kukula wake za watu 400 kenya Yaan toka majuzi ndoa zinazidi kuparqnganyika na leo wanasehria 10 wamejitolea rasmi kusaidia wanaume wanaotaka kuachana na wake zai walionyongoreshwa na mrussia wawezw...
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania The Russian Baltazar's Saga

    The Russian Baltazar checked into the hotel where she works as a manager. He flirted with her briefly at the front desk before she returned to her duties. Later, he called down to complain about a faulty microwave. She went up to check it — and within minutes, GUESS WHAT?..... they were already...
  8. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lela Said Idi Becomes First Woman in Kenya and East Africa To Earn IBA Star 3 Boxing Referee Certification

    Lela Said Idi became the first woman in Kenya and East Africa to earn International Boxing Association Star 3 Refereree Certification, the highest certification in amateur boxing refereeing course.
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huduma Kenya Announces Plans to Contact Driving Licence, ID, and Birth Certificate Applicants

    The government has issued a fresh announcement, revealing how applicants will be contacted once their driving licences, national identity cards (IDs), and birth certificates are ready. In a brief notice on Thursday, February 12, Huduma Kenya disclosed that members of the public who applied for...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SHA Approves Coverage for Medical Treatment Outside Kenya

    After weeks of uncertainty, the Social Health Authority (SHA) has announced it will begin paying for patients seeking treatment abroad by the end of February. SHA CEO Mercy Mwangangi told Parliament that the delay was caused by procurement requirements under the new law, which demands formal...
  11. O

    JamiiForums Kenya Alcohol, Drugs and GBV in Kenya – Are We Addressing the Real Trigger?

    This week, as the world focuses on matters of drug abuse and substance use prevention, Kenya cannot ignore the silent link between alcohol, drugs, and Gender-Based Violence (GBV). Behind many closed doors in our estates, villages, and even gated communities, substance abuse is fueling violence...
  12. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania How Many Times Can An Eligible Voter Register?

    An individual may only register to vote once in the constituency or registration location of their choice. Making multiple registrations is illegal.
  13. Yesha

    JamiiForums Tanzania Kenya to Challenge Russia Over Use of Kenyan Nationals in Combat

    Kenya has announced plans to confront Russia over what it calls the “unacceptable” involvement of Kenyan nationals in armed conflicts abroad. Nairobi condemned reports that its citizens are being used as combatants, warning that such actions violate international norms and could strain...
  14. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Mining Indaba Capetown, Kenya wasio na madini wana banda, Tanzania wenye madini hawana banda

    Mkutano wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Afrika (Mining Indaba) ni tukio kubwa zaidi duniani la uwekezaji wa madini barani Afrika, linalofanyika kila mwaka katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Cape Town (CTICC) nchini Afrika Kusini. Tukio la Sasa: Mining Indaba 2026 Tarehe: Februari...
  15. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania When can someone be denied registration as a voter in Kenya?

    When you're younger than eighteen. When you don't have a valid Kenyan passport or the original ID card. When, over the previous five years, you were alleged to have committed any election offence or found guilty by an election court. If you are deemed mentally incompetent by a competent court.
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mradi wa maji uliojengwa na China wafufua mashamba ya Kenya

    Kando ya kingo za Mto Nzoia magharibi mwa Kenya, mabadiliko ya kimya kimya yanaendelea kuonekana na kukita mizizi. Mashamba ambayo hapo awali yalikuwa matupu, yakikauka kwa ukame na kuathiriwa na mafuriko yasiyotabirika, sasa yamenawiri huku yakiwa yamesheheni safu zilizostawi za mazao, kutokana...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wakati Taasisi za Intelejensia Kenya, Marekani na Uingereza zikijikita kuyaimarisha Mataifa yao kiuchumi, huku TISS inapambana CCM ibaki madarakani

    Mashirika ya Ujasusi ya Mataifa ya Rwanda, Kenya, Marekani na Uingereza sasa yanapambana kuyafanya Mataifa yao kama maeneo ya msingi ya kukamata Uchumi wa kikanda na Kidunia. Kwenye vyombo mbalimbali vya habari sasahivi, habari zinazotrend ni namna wakuu wa mashirika ya kujasusi ya Mataifa ya...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo katiba mpya: Lazima kuwe na Bunge la Senate kama Kenya na USA

    Mapendekezo katiba mpya: Lazima kuwe na Bunge la Senate kama Kenya na USA. Idadi ya wabunge ipunguzwe na iendane na idadi ya watu. Kila mkoa uwe na maseta wawili tu. Senate vilevile itasaidia kwa wale watakao laumu wana wabunge wachache.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Siku tukija kupata kiongozi kama huyu hata kama ni mtata basi Tanzania itafika mbli sana kiuchumi, Kenya hawataweza kusogea kabisa.

  20. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marekani wanajenga Base ya kijeshi Kenya!

    Haya Sasa wale wa Who are you na wale wakutaka kuishambulia Kenya ili waweze ku access bahari ya Hindi kazi kwenu. https://youtu.be/PyRCz88qKio?si=efd4OUPBTT9cv64d
Back
Top Bottom