kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kenya inachezewa kamchezo kadogo sana na Tanzania, Viongozi wanajua wananchi hawaelewi

    Katika diplomasia ya kiuchumi, thamani ya fedha ni kama sumaku. Inaposhuka, inavuta wateja na watalii kuja ndani ya nchi, na inapopanda sana, inawafukuza na kuwapeleka kwa majirani. Kwa kutumia mfano wa Tanzania na Kenya, hivi ndivyo mantiki hii inavyofanya kazi katika biashara na utalii: Katika...
  2. Mhaya

    JamiiForums Tanzania RUTO: Tanzania na Uchumi wao mdogo, wananunua shamba hapa Upper Hill Kenya kujenga ghorofa na sisi tumelala

    Williams Ruto hawapelekea moto wakenya baada ya kuona hawajitumi katika kujenga Nchi, huku akitolea mfano wa Watanzania wameenda kununua ardhi maeneo ya Upper Hill jijini Nairobi sawa na maeneo ya Masaki Osterbay na kisha kujenga Ghorofa kali. Huku wakenya wengi wakiwa wamelala bila ya kujituma...
  3. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania China na Kenya zafikia makubaliano kuhusu biashara

    Wizari ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda ya Kenya hivi karibuni ilitangaza kuwa, nchi hiyo na China zimefikia makubaliano ya awali ya biashara, ambapo China itasamehe ushuru wa asilimia 98.2 ya bidhaa za Kenya. Waziri wa wizara hiyo Lee Kinyanjui, ameyataja makubaliano hayo kama “zawadi ya...
  4. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Polisi Kenya wakamata bus kutoka Tanzania likisafirisha bangi

    Police nab Tanzanian bus company ferrying bhang worth Sh2.5 million to Nairobi in Namanga Poleni watoto wa mama, mama atawatetea msilie ee
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania AFCON 2027: Tanzania, Kenya na Uganda wakabidhiwa bendera na CAF

    Afrika Mashariki PAMOJA AFCON 2027 tayari imekabidhiwa kwa viongozi wa Tanzania, Kenya na Uganda tayari kwa Kombe la Mataifa 2027. Upande wa Tanzania umewakilishwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda akiambatana na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), Wallace Karia.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tukubali tumezidiwa tujifunze kutoka Kenya

    Tukubali tumeziwa tujifunze kutoka Kenya. Badala ya kuweka ushindani usio na sababu na majirani zetu na ndugu zetu wa Kenya kama taifa tungenufaika kwa kujifunza mazuri na kuacha mabaya badala ya kijidanganya kwamba tumewazidi. kuna mambo machache ya kujifunza 1. Katiba Mpya: Kenya pamoja na...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nahofia kuchafuliwa kwa uhusiano wetu na Kenya

    Tangu kuja kwa Serikali ya Samia inaonekana kana kwamba kuna juhudi za makusudi za kuharibu uhusiano wetu na Kenya na Wakenya. Machafuko yaliyotokea Tanzania tangu Oktoba 29 mwaka jana, yamezidisha 'chachu' ya majaribio hayo ya makusudi ya kuharibu uhusiano uliojengwa kwa juhudi kubwa. Kisa ni...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yasitisha vibali kwa madaktari wageni wenye vigezo sawa na wazawa

    Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Afya imetangaza kusitisha utoaji wa vibali vya kazi kwa madaktari wa kigeni wenye vigezo sawa na madaktari wazawa ikisema vibali vitatolewa tu kwa madaktari bingwa wa kigeni wenye ujuzi maalum usiopatikana nchini humo ambapo hatua hiyo imelenga kulinda ajira...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tujiulize Kwanini ndugu zetu wa Kenya hawapo kwenye kuzuiwa na USA!!

    Hapo chini hakuna majirani na ndugu zetu wa Kenya kwasababu wenyewe wana katiba, HAKI, demokrasia hivyo pamoja na kwamba ni majirani na ndugu zetu hawamo. Vilevile Kenya walipewa $1.6B kwenye Afya Nigeria, Angola, Senegal, Tanzania, Gabon, Benin, Mali, Burkina Faso, Niger, South Sudan, Chad...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha minazi [dwarf] nchini Kenya. Mnazi 1 matunda 200+

    ..Kenya wameanza kuachana na Minazi ya kienyeji East African Tall. ..wamekuja na minazi ya kisasa, mifupi, toka India ambayo ina uzalishaji mkubwa. ..Kuna umuhimu wa Tanzania kutafuta mbegu mbadala ya minazi yetu ya asili ili kuongeza tija ktk kilimo cha minazi. ..fuatilia hapa chini...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kiswahili sio lugha ya taifa la Tanzania ni lugha ya taifa la Kenya- Prof Safari

    KISWAHILI SIO LUGHA YA TAIFA LA TANZANIA NI LUGHA YA TAIFA LA KENYA- PROF SAFARI
  12. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kusikia hawa wanaharakati wetu kikinuka wanakimbilia Uganda, wote ni Kenya tu

    Nachoka mimi babu yake mwandambo! Kuna kikundi gan kenya kila sku wanakimbilia uko
  13. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Show ya jana ya Marioo nchini kenya

    https://x.com/Ulimwengu01/status/2003003287298326658?s=20
  14. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatemwa kwenye Tour za IShowSpeed Africa Tour, Rwanda na Kenya zala Shavu

    Darren Jason Watkins Jr. (aliyezaliwa tarehe 21 Januari 2005), anayejulikana pia kwa jina la kisanii IShowSpeed au kwa kifupi Speed, ni YouTuber na mtiririshaji wa maudhui mtandaoni kutoka Marekani. Yeye ni miongoni mwa watiririshaji wa maudhui yya mtandaoni na miongoni mwa watu mashuhuri wa...
  15. Arya Stark

    JamiiForums Tanzania Kama Ruto must go ilifeli Kenya, kwetu Tanzania Samia must go itafaulu kwa njia zipi?

    Wakenya walitoka kwa wingi na kuandamana, Wakenya walipata sapoti ya Media, Wakenya walipata sapoti kubwa ya wasanii na watu mashuhuri, Wakenya walifanikiwa kuandamana mpaka kuingia Bungeni, wakalishikilia Bunge, Wakenya walitengeneza movement kubwa iliyoongelewa duniani kote. Japo wakenya...
  16. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto wa Kenya wakumbatia Kungfu huku uhusiano wa kitamaduni ukiongezeka na China

    Licha ya umbo lake dogo, Peter Murigi mwenye umri wa miaka minane aliwavutia watazamaji huko Kiambu, katikati mwa Kenya, alipopanda jukwaani kuonesha weledi wake wa Kungfu. Murigi alikuwa miongoni mwa washiriki mashuhuri katika Mashindano ya nne ya Kitaifa ya Wushu ya Kenya, ambayo...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tuseme Kenya imewafanyia watanzania kama Boniface Mwangi na Agatha Atuhaire, Mamlaka za Tanzania zingemtoa yeyote kwa Kenya?

    Tunaposema Mwanasheria Mkuu wa Serikali anapaswa kuwa mtu mwenye weredi ya hali ya juu katika masuala ya kisheria ziwe za madai au jinai au za kitaifa au kimataifa hatutanii, tuna maanisha kweli. Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni cheo nyeti sana katika nchi yoyote ile duniani. Ni kielelezo kikuu...
  18. Superbug

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikukuu ya Jamhuri Kenya; Je, William Ruto anasoma au anatoa kichwani hii hotuba?

    Wenzetu mpaka nawaonea wivu Yani anaongea mambo ya msingi mno Kwa taifa utadhani anasoma au anatumia teleprompter lakini wapi jamaa anatoa kichwani kweli wenzetu wamebarikiwa kuwa na viongozi wenye akili.
  19. USSR

    JamiiForums Tanzania Kuna kila namna muziki/wasanii wa Kenya wanatumia mbinu za kushusha wasanii wa bongo ili kukuza mziki wao ulio mbilikimo

    Ni kweli kuwa kwa miaka Mingi Tanzania ndio grant wa muziki kwa Afrika mashariki, muziki wetu na wasanii wetu umekuwa mkubwa na kushika soko la Afrika Mashariki kwa kasi,wasanii wa hapa nyumbani kwa sasa hulipwa pesa nyingi na kupata mialiko kwenye matamasha makubwa nchini Kenya na kuzua maneno...
  20. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Ligi Ya Tanzania ni Bora kuliko Kenya, kwenye mapato kuna vitu tunafichwa!

    Gor Mahia FC kwenye Derby waliocheza hii week na AFC Leopards wanasema wamekusanya jumla ya Tsh Bil 14. Mechi ilichezwa Nyayo Stadium, upo Nairobi una capacity ya watu 18,000 tu. Sasa nikiwaza kwa Mkapa na ile capacity ya 60,000 waliokaa bado waliosimama kwenye Derby si inamaana inaingia...
Back
Top Bottom