Juzi na jana palikua na habari za houthi kurusha makombora na drones israel,houthi wakidai airport ya Lod,mji wa haifa vilipigwa
Habari tulizoona ni israel kutungua hayo makombora na drones ikiwemo msaada wa saudi arabia
Leo waziri wa ulinzi israel kawakatia mikwala houthi kwamba watawashushia...
Yamesikika maneno mengi na kejeli nyingi.
Mara, ukisikia dunia tambala bovu, ndiyo hili. Wengine wanasema jezi zinauzwa kwa kilo. Wengine wanasema jezi zinavaliwa na wajumbe wa kutiki oktoba. Wengine wanasema ukiscan jezi inakupeleka Mkuranga. Wengine wanasema moto umewekwa kuunguza mapafu kama...
Hakika tunapita katika kipindi ambacho janga kubwa la kibinadamu siyo vita wala majanga ya asili ila ni janga lisilotajwa mara kwa mara ambalo nimelipa kichwa kufugwa kwa akili ya Binadamu. Hili ni janga kubwa kuwahi kufikia hatua lilipofikia.
Mifumo mikubwa ya kidunia na kijamii (Dini, Elimu...
Abadani sijawahi kuendeshwa kwa mikumbo au mihemko.
Am so smart physical and spiritual. Kila jambo lazima nilitafakari kijamii na kiroho.
Magufuli alikufa kwa kisasi cha Mungu.
Aliua watu wasio na hatia damu zao zikalia mbele za Mungu.
Mungu akatuma mapepo ya COVID-19 ardhi ya Tanzania...
Nje ya mada: Katika waliopiga kura za maoni ndani ya CCM kumteua mgombea Gwajima alikuwa miongoni mwao naye alimpa kura Rais Samia.
Maana Samia alipata 100%
Gwajima na wajumbe wengine hakuna aliyelalamika kura zao kuibiwa au kupotea. Wote walitiki.
Leo hii Watanganyika wajinga wanamwona Gwajima...
Kata ya Buyuni – Mtaa wa Nyeburu, Barabara ya Mchimbo (Maarufu Kwa Baba Esther)
Sisi wananchi wa Kata ya Buyuni, Mtaa wa Nyeburu, tunapenda kuwasilisha taarifa ya kero inayotusumbua kwa muda mrefu katika eneo letu, hususan barabara ya Mchimbo maarufu kwa jina la Kwa Baba Esther.
Eneo hili...
Sheria ni sheria hata kama ni sheria mbaya. Uchaguzi huu unaendeshwa kwa mujibu wa sheria zetu hadi hapo sheria itakaposema vinginevyo. Kelele zinazosikika za akina MWABUKUSI na wengine ni kelele za kutaka watu wapindishe sheria ili kuwaridhisha watu wasioipenda sheria husika. Katiba hii ni...
Mh Rais Leo Kuna habari mitandaoni Kuna kijana kutoka mkoa wa geita mwimba nyimbo za injili ametekwa baada ya kutoa nyimbo iliyowauzi nyinyi watawala
Je Mh Rais Hawa watanzania unao IKULU?
Tunashangazwa na kelele za jirani zenu CRDB Bank makao makuu, Ali Hassan Mwinyi. Mfano leo tangu saa 11 alfajiri wanefungulia mziki mkuubwa wakati muda huo hakukuwa na watu hata 10. Na mara zote hata wakiwa na promotion tu magari yao makubwa yenye PA system yatakuwa kupaki nje na sauti kuubwa...
HUYU JAMAA HELA hanayo, ila haitoshi kuleta fujo MJINI, ambapo Kuna GSM na kina lugumi wanaishi. haitoshi hio HELA kaka tuliaaaaaa weweeeeeeeewwww kijanaaaaaaaaaaa
Sisi majirani karibu na msikiti wa kunduchi Beach eneo la Mtakuja, tunapenda kutoa malalamiko yetu kuhusu kelele kubwa kutoka msikiti huo uliopo mtaa wa Mbudya. Ibada katika msikiti huu huanza kuanzia saa 10 alfajiri, na sauti inayotumika ni kubwa kupita kiasi cha kuwasumbua wakazi wa eneo hili...
KWAKO MKUU WA MKOA WA ARUSHA
MKURG WA HALMASHAURI
NA WENGINEOOO
NILIKUJA KWENYE SEMINA MOJA ARUSHA NIMRONDOKA LEOOPOO
ILA NILIYOYAONA ARUSHA YA ASIKITISHA SANAA SANAAAA
KUNA CLUB IKO NYUMA YA GOLDEN ROSE HOTEL....
HII SEHEMU JTATU ASBH MPAKA SAA MBILI N MAKELELE YA MZIKI FUJO ZA WANAWAKE...
Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, kauli kama “Unaweza kutengeneza mamilioni ukiwa nyumbani” zimekuwa maarufu sana kwenye mitandao ya kijamii. Lakini ukweli ni upi? Je, kila mtu anaweza kweli kutengeneza pesa mtandaoni? Je, kuna njia halali na rahisi au kila kitu ni ‘scam’? Blogpost hii...
Leo nimefungulia ile redio ambayo jina lake linafanana na sabuni, nikitaka kusikiliza habari za magazetini.
Kiukweli nimeenjoy sana, kelele zile za Nipasheee🗣️🗣️🗣️ mwanga wa jamiii🗣️🗣️ hazikuwepo kabisa. Habari zilikuwa kwenye mtiririko mzuri sanaaa.
Nilichojifunza ni kuwa :- makelele mengi...
Wanaopiga kelele sasa hivi kwasababu kuna nyomi, wajue kuwa sisi tulianza mbali sana na CHADEMA. Yaani tunaenda kujisaidia kichakani wakati tunazunguka kutafuta kura..” - Mbunge wa zamani wa Viti Maalum Hawa Bananga akifunguka kupitia One on One
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.