Chief God Love kachangia shingapi, hamnaga hela hapo kelele tupu

bro alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2025
Posts
1,889
Reaction score
2,294
HUYU JAMAA HELA hanayo, ila haitoshi kuleta fujo MJINI, ambapo Kuna GSM na kina lugumi wanaishi. haitoshi hio HELA kaka tuliaaaaaa weweeeeeeeewwww kijanaaaaaaaaaaa
 
WAKUU msukumieni huu Uzi basi chief ILI atukomoe, amuige GSM afilisike na kufilisika

Kwishaaaaaa
 
Usha niona natambia WATU, jiandaeni kuumbuka

Kwishaas
 
HUYU JAMAA HELA hanayo, ila haitoshi kuleta fujo MJINI, ambapo Kuna GSM na kina lugumi wanaishi. haitoshi hio HELA kaka tuliaaaaaa weweeeeeeeewwww kijanaaaaaaaaaaa
Chief Godilavu ni TAPELI tu ,CHifu GodiLavu ni DALALI pia.
 
Ukiitwa KWENYE fursa we ndio fursa, tajiri GANI aombe LAKI LAKI ILI akuunge KWENYE group, nilipigwa chale tangu HAPO. WATU wanashangaa ETI ana HELA HUYO hawezi vunga SIKU zote HIZO nikawaambia HAPO PESA imetegwa mlio utasikika TU punde

Full stop, kwishaaa
 
Kwa mtu ambaye hamfahamu atajuwa kweli ni TAJIRI kwa maigizo yake ila jamaa ni TAPELI na pia ni Dalali wa Nyumba/Magari ,bahati nzuri mimi nakutana naye sana.

Nilishawahi kusema nyumba aliyokuwa anaishi ile yenye mbwa kibao si ya kwake ni ya Jamaa anafanya kazi Airtel ,kwasasa kashatimuliwa hayupo ,ukitaka kuamini mwambie huko instagram/facebook aonyeshe latest clip akitoka mule ndani na ataje siku kwa tarehe au aonyeshe na gazeti la siku hiyo akiwa ndani ya hiyo nyumba....Ndiyo maana kwasasa anapiga picha kwenye majumba mengine na si ile ya mwanzo ,kwasasa amepanga maeneo ya Kilongawima Mwamunyange Road.

Magari anayotembelea ni ya wenye yard ,wanampa kwa ajili ya kuyapa Promo ,akiwa anatangaza kwamba amenunua milioni 700 then washamba wengine watataka na wao kununua so ikirudishwa ukiambiwa hii gari kama ya chifu godilavu inauzwa milioni 200 lazima utaingia kichwa kununua kumbe bei halisi ni 120m.
 
DAH

Full stop, kwishaaaaa
 
Huu ndo ukweli chief good love hajawahi piga picha akiwa mule ndani na wale mbwa anaowalisha nyama nasikia amepewa kazi ya kuwahudumia
 
Yule jamaa hana hela na inaonekana kuna watu anawatapeli kwa lengo la kuwapa utajiri kama mjuavyo watanzania na uzwazwa wetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom