Kelele zimepungua redioni. Elimu haitaki kelele

Mingendeu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
293
Reaction score
572
Leo nimefungulia ile redio ambayo jina lake linafanana na sabuni, nikitaka kusikiliza habari za magazetini.

Kiukweli nimeenjoy sana, kelele zile za Nipasheee🗣️🗣️🗣️ mwanga wa jamiii🗣️🗣️ hazikuwepo kabisa. Habari zilikuwa kwenye mtiririko mzuri sanaaa.

Nilichojifunza ni kuwa :- makelele mengi yanasababishwa na elimu ndogo. Watu wasio na elimu ili wahisi wanaeleweka lazima wapayuke.😂😂😂
 
Leo nimefungulia ile redio ambayo jina lake linafanana na sabuni, nikitaka kusikiliza habari za magazetini. Kiukweli nimeenjoy sana, kelele zile za Nipasheee🗣️🗣️🗣️ mwanga wa jamiii🗣️🗣️ hazikuwepo kabisa. Habari zilikuwa kwenye mtiririko mzuri sanaaa.

Nilichojifunza ni kuwa :- makelele mengi yanasababishwa na elimu ndogo. Watu wasio na elimu ili wahisi wanaeleweka lazima wapayuke.😂😂😂
Watangazaji nguli hawapo tena yaani!
 
Leo nimefungulia ile redio ambayo jina lake linafanana na sabuni, nikitaka kusikiliza habari za magazetini.

Kiukweli nimeenjoy sana, kelele zile za Nipasheee🗣️🗣️🗣️ mwanga wa jamiii🗣️🗣️ hazikuwepo kabisa. Habari zilikuwa kwenye mtiririko mzuri sanaaa.

Nilichojifunza ni kuwa :- makelele mengi yanasababishwa na elimu ndogo. Watu wasio na elimu ili wahisi wanaeleweka lazima wapayuke.😂😂😂
Sasa Media zitaanza kuongozwa KISOMI wanajazajaza wabwatukaji redioni jitu linabwatuka tu kwani umesikia hatukusikiii Mzee vipi?
 
Leo nimefungulia ile redio ambayo jina lake linafanana na sabuni, nikitaka kusikiliza habari za magazetini.

Kiukweli nimeenjoy sana, kelele zile za Nipasheee🗣️🗣️🗣️ mwanga wa jamiii🗣️🗣️ hazikuwepo kabisa. Habari zilikuwa kwenye mtiririko mzuri sanaaa.

Nilichojifunza ni kuwa :- makelele mengi yanasababishwa na elimu ndogo. Watu wasio na elimu ili wahisi wanaeleweka lazima wapayuke.😂😂😂
Basi nitaanza kuwasikiliza tena, maana usomaji wao wa magazeti plus uchawa ulinifanya nijipe likizo ya kusikiliza redio. Hasa nilipogundua ni watu mapoyoyo.
 
Profession ina heshima yake bana. Yaani mtu aliyeingia darasani tofauti kabisa na ambaye hajaingia. Tukubali tukatae huo ndio ukweli
Mimi nilikuwa nawalaumu sana, wanisamehe tu kwa kweli. Kumbe hawakuingia darasani. Kila taaluma ina miiko yake. Isingekuwa rahisi kwao kuijua na ukizingatia wameajiriwa kwaajili ya umaarufu na sauti zao
 
We ni mpuuzi na huijui taaluma ya habari na utangazaji. Hii dhana ya kudhani kuwa msomi ndio utafanya kazi kwa weledi na ubunifu mnaitoa wapi? Ungesikitika kwa kuondolewa magwiji hao wa utangazaji ungeonekana wa maana. Watu walibuni vipindi murua mpaka vikawa vinafuatiliwa na watu wengi wameondoka huku majina ya vipindi waliovianzisha yakitumika bila kubadilishwa na maudhui yake nayo yabadilishwe. Ingekuwa nchi zilizoendelea hao watangazaji wangedai fidia kwa kile walichokianzisha na kuki brand wanaondoka huku vipindi vyao vikitangazwa na wengine. Hawa wanaonekana wana sifa na ithibati nao wanzishe na kubuni vipindi vyao tena wasiige maudhui tuone tofauti na ubora wao, shame on you
 
Back
Top Bottom