kelele

  1. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tunapoteza mwelekeo: Kwa nini kelele nyingi kwenye michango ya Tonetone, lakini kimya kwenye fedha za umma?

    Kuna jambo ambalo Watanzania tunapaswa kulitafakari kwa kina. Katika kipindi hiki, mjadala mkubwa umeibuka kuhusu tuhuma zinazomhusisha kiongozi wa CHADEMA, John Heche, kuhusu fedha za michango ya wananchi. Tuhuma hizo zinapaswa kuchunguzwa kwa haki na kwa kufuata taratibu za chama na sheria...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kelele za mitambo ya kiwanda cha Kerai Construction Ltd- Mbezi Jogoo (Dar) zinatutesa wakazi wa karibu

    Wakazi wa Mbezi Juu, Mtaa wa Jogoo, Jijini Dar es Salaam tunaathiriwa na kelele zinazotokana na kiwanda cha zege cha Kerai Construction Ltd, ambacho kinajihusisha na uzalishaji wa bidhaa za ujenzi. Kiwanda hicho, ambacho kipo karibu na maeneo ya makazi, kimekuwa kero kubwa kwa wakazi wa maeneo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania KERO Bar ya G Seven Mwanza imekuwa ikipiga muziki usiku kucha Kwa sauti ya juu Jambo ambalo limekuwa ni kero Kwa wakazi

    Habari ,naomba kufichua uovu kuhusu Bar inayoitwa G Seven iliyopo mkoani Mwanza sehemu inaitwa Darajani Kata ya mkolani , Bar hiyo imekuwa ikipiga muziki usiku kucha Kwa sauti ya juu Jambo ambalo limekuwa ni kero Kwa wakazi wanaoishi maeneo Jirani, Jambo ambalo limekuwa likileta makelele na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO UCHAFUZI WA KELELE ILEMELA NYAGUNGURO: Ni lini mamlaka za Mwanza zitazinduka?

    Tumechoka, tumenyanyasika, na tunapuuzwa kabisa! Kwa miezi kadhaa sasa, wakazi wa Ilemela Nyagunguro tumekuwa tukiteseka kwa kukosa usingizi usiku kucha kutokana na uchafuzi uliokithiri wa kelele. Muziki unaopigwa kwa sauti ya juu ya juu sana kutoka Kwa Tunza na Mamboleo umekuwa kero...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serengeti imekuwa ikiinufaisha Arusha kwa miaka mingi, Ujenzi wa uwanja wa ndege unawapa hofu kubwa sana ndio maana hoja haikauki bungeni

    Baadhi ya watu wanadhani fursa za huu utalii tena wa mikoa mingine unatakiwa kunufaisha kwao tu Ni vita kubwa sana hii, kwa sasa tunasikia milio kila muda panaposikika habari za ujenzi wa uwanja na imeonyesha haijaanza leo bali ni ya muda mrefu sana kupiga sabotage uwanja huu, ila kwa sasa...
  6. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu wengi tunaopigia kelele ufisadi, wizi , rushwa. Ni kwamba hatuko kwenye hizo position ndo maana kelele ni Nyingi.

    Huu ndo ukweli mchungu watanzania 90% tuna toka kwenye familia zilizo jaa umaskini wa kupindukia. Ndugu zetu vijijini wanaogelea kwenye umaskini wa kutisha ndo maana zikitokea chance watu wanazitumia vizuri hakuna tuzo ya Utesekaji bora ...
  7. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Huwa nachukia sana 'Kelele' wakati wa Usiku na Asubuhi

    Nahisi nitakua nina tatizo la phonophobia. Ninachukia sana sauti sana sana wakati wa asubuhi na nyakati za usiku yaan sipendi kabisa makelele mida hio. Napenda sana sehemu yenye ukimya. Napenda sana utulivu na kukaa sehemu iliyotulia muda mwingi nikiwa mwenyewe. Sauti pekee inayonipa furaha...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano Gani ya kuchukia kelele na umri kwa Wanaume?

    Moja ya tabia wanaume wengi huijenga ni kuchukia kelele na purukushani nyingi as umri unaenda. Ni kawaida kukuta mwanaume ulikuwa unaishi kwenye mazingira yenye kelele, nyumbani kelele ,(mke) ulikuwa mtu wa kwenda club nk , nyumba za ibada zenye kelele lakini as time goes unajikuta hupendi...
  9. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Ukifanikiwa punguza kelele kula kimya kimya, Dogo mmoja wa Twitter huko X sasa hivi wamemfelisha

    Ukifanikiwa punguza kelele kula kimya kimya. Watu wasijue chimbuko la pesa zako. Dogo mmoja wa twitter huko (x) alikuwa na maneno ya shombo sana kwa watu sahv wamemfelisha ananyea debe . Hushpupi pesa zote alizopata asingekuwa na kelele yasingemkuta maswahibu yaliyompata
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ni muda nazama JF bila VPN. Kelele za US zimefanywa iachiwe nini?

    Zaidi ya wiki nateleza tu. Tumeachiwa?
  11. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Taifa lisipoheshimu logic hutawaliwa na kelele, hofu na usanii wa uongo

    “Logic is a practical science of correct thinking.” Hii si sentensi ya darasani tu. Ni msingi wa ustaarabu wa mwanadamu. Ni tofauti kati ya jamii inayotafuta ukweli na jamii inayotafuta washangiliaji. Ni mpaka unaotenganisha dola yenye busara na dola inayotegemea jazba, propaganda na uaminifu...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wasimamizi Interview: Kelele zinatufelisha

    Napenda kutoa dukuduku langu, yaani hawa wasimamizi wa written interviews za utumishi baadhi yao wanasababisha watu wanafeli yaani mshaanza wao ni kelele.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kwa Uadilifu wa Warioba, Ikitamkwa Kuna Tume ya Kuchunguza Mauaji ya 29 OCt Itakayoongozwa na Warioba, Kelele za kutaka Tume ya Nje zitapungua Sana

    Siku zote, historia ya mtu, na anavyotenda siku zote, ndiyo hujenga mazingira ya mtu huyo kuaminika au kudharaulika. Ni jambo lililo wazi kuwa watu wengi, hasa waliopo Serikalini, hawaaminiki kutokana na kuonekana kuwa wapo kwaajili ya tamaa ya matumbo yao, hata siku moja hawapendi kuwa wakweli...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo hamuwezi kukubalika tena hata mkipiga kelele kubwabwaja ovyo

    Mlishatambulika kuwa mpo Pamoja na CCM na hata wakati wananchi wanapigwa risai ile Oktoba 29 mlikuwa pamoja na CCM mkifanya maigizo ya uchaguzi feki. Leo hii mnazunguka na kujifanya mnapinga uovu na ukandamizaji wa CCM mtandao. Hamuwezi kutoboa hata kitogo.
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Polisi wasema Dammour Nyakairo maarufu Ninja anashikiliwa kwa tuhuma za uhalifu, hii ni baada kelele mtandaoni kuhusu kupotea kwake

    Wakuu, Tarehe 02/05/2026 saa tatu asubuhi eneo la Mburahati Kinondoni alikamatwa Dammour Massoumbe Nyakairo, na kupelekwa kituo cha Polisi Chang'ombe kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kihalifu. Baadhi ya ndugu zake tangu alipokamatwa walijulishwa na kwenye mahojiano ya awali ametoa...
  16. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania Baada ya kelele nyingi juu ya Dualis nikaamua kuiuliza AI

    Ni kweli kuwa gari aina ya nissan dualis zinakawaida ya kuwaka moto? MAJIBU YA AI ni hayo: Hiyo kauli kwamba Nissan Dualis “inakawaida ya kuwaka moto” imezidi kupitishwa sana kuliko ukweli halisi. Si kwamba Dualis nyingi zina tatizo la kipekee la kuwaka moto—mara nyingi ni mchanganyiko wa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Jirani anatupigia kelele na ufundi wake wa makontena Mbezi Salasala

    Kero yangu ni jirani yangu kufanya eneo lake kuwa kiwanda cha kutengeneza nyumba za makontena ambazo zimekuwa kero kubwa sana kwa wakazi wa eneo letu na tumesha jaribu kuwasiliana na uongozi wa mtaa wetu lakini hakuna wanacho tusaidia zaidi ya kupiga danadana. Tunapata kero ya makelele wakati...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Acheni Wivu wa Kike!, Kumuonea Wivu Mwenye Kismat, Mwenye Nacho, Anaongezewa!. Huu Ubunge Tuu, Kelele Hivi!, Atakapokuwa Waziri, Mtafura Kujinyonga?.

    Wanabodi, Hili ni bandiko la kuwaomba Watanzania tuacheni kuwa na wivu wa kike!, kumuonea wivu mtu mwenye nyota yake, bahati yake, kismeti chake, ambaye pia ni mwenye nacho, anapoongezewa!. Aliyesema mwenye nacho ataongezewa sio mimi ni YEYE mwenyewe ndiye aliyesema "mwenye nacho ataongezewa"...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Bila uwajibikaji wa kweli, hizi ripoti ni kelele tu. Huu si wakati wa kusoma ripoti ya CAG na kusahau

    Ripoti ya CAG si habari mpya ni uthibitisho wa uzembe na ufisadi uliokithiri. Fedha za umma zinapotea, wananchi wanabaki na hospitali zisizo na dawa, shule duni, na miradi hewa. Bila uwajibikaji wa kweli, hizi ripoti ni kelele tu.Huu si wakati wa kusoma ripoti na kusahau.
  20. W

    JamiiForums Tanzania Pikipiki zenye Kelele na Taa kali zakamatwa Arusha

    Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Arusha imeanzisha operesheni maalum ya kukamata pikipiki zinazokiuka sheria za usalama barabarani, hususan zile zinazotoa kelele za milipuko na zilizofungwa taa zenye mwanga mkali. Hatua hiyo inalenga kuboresha usalama wa usafiri na kupunguza kero kwa watumiaji...
Back
Top Bottom