kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Je, Website za Serikali na mashirika ya umma hazifanyi kazi muda huu au ni kwangu tu? "This site can’t be reached"

    Habari wana jukwaa, Nimejaribu kuingia Website za serikali na za mashirika ya umma ila naona zote zinasema "This site can’t be reached". je kuna shida? na zote zinatumia server moja? Nimejaribu web zifuatazo; 1. IKULU 2. EGA 3. PSRS 4. NSSF 5. WIZARA KADHAA Jaribu na wewe mdau tujue.
  2. M

    SoC04 Kazi iendelee kwa kufanya kazi masaa ishirini na nne katika siku saba za wiki kwa kuukuza uchumi wa kila Mtanzania

    Yamkini tukiweza kuruhusu na kufungua sehemu nyingi za kiuchumi kufanya kazi usiku na mchana tutaongeza wigo kubwa la kuwapatia nafasi wasiokuwa na ajira kupata ajira. Tukiachilia hivi karibuni baadhi ya mabasi yaliyoachiwa kufanya kazi ya usafirishaji wa abiria usiku na baadhi ya makampuni...
  3. Natafuta kazi wasifu wangu upo hapo

    Name: XX Age: 23 gender: MALE Academy: CERTIFICATE,GRAPHIC DESIGN Professional: DRIVER/VETA, NIT, RFC, JKT, PREPARATION OF AGRICULTURAL SEEDS. Experience : PASTA INDUSTRY, NIDA, SUMA JKT, MAGAMBA GOLD MINE'S, T, MARK SALES region : DAR ES SALAAM Contact : 0695581138 or 0613 654 307 Ila...
  4. RPC Mara: Kama kuna Mgambo wanaodai wanafanya kazi ya Polisi hao ni Wahalifu tu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara limetoa ufafanuzi juu ya madai ya Polisi kuwatumia Mgambo katika shughuli zao Awali, Mwanachama wa JamiiForums.com alidai Mgambo hao wamekuwa wakitumiwa usaidia shughuli za Kipolisi wamekuwa hawatendi haki kwa baadhi ya Wananchi pia akadai wanashirikiana na Whalifu...
  5. O

    Natafuta kazi Medical Laboratory scientist

    Mimi ni kijana wa Kitanzania nahitaji kazi kwa hiyo fani niliyosomea ..uzoefu miaka 3 ...kazi temporary au parmanent. Popote Tanzania
  6. L

    Kwa kijana mwenye uhitaji wa kazi isiyohitaji vyeti

    Mimi ninatafuta kijana wa kazi ya kuuza na kusambaza bidhaa Kwa wateja.kazi ni ya dukani,nafasi moja (1) eneo la kazi ni Arusha Tanzania Sifa zake 1. jinsia yoyote ilimradi awe tayari kukubali mazingira ya kazi. 2. Umri wake awe na angalau miaka 18+ na asizidi miaka 20.( Awe kijana). 3...
  7. Natafuta kazi ya IT mkoa wowote kasoro Dar es Salaam

    Habari, natafuta kazi nimesoma IT, Iwe mikoa yoyote kasoro Dar es Salaam
  8. Rais Samia kuanza kusafiri na Wasanii kwenye ziara zake nje ya nchi

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mara nyingi anapokwenda nje ya Nchi huwa anafuatana na jopo la Wafanyabiashara lakini kwa sasa anataka kugeuka kidogo na atakuwa anasafiri pia na Wasanii ili kuwapa nafasi ya kujifunza zaidi kutoka nje ya Nchi na kutanua wigo wa kazi zao. Rais...
  9. K

    Naomba Ajira/ kazi ya aina yoyote

    Wakuu habari za Leo. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, ni kijana wa kiume , ninapatakana Dar es salaam. Naomba kazi, kibarua cha aina yoyote cha mkataba, cha day Yani kazi yoyote Ile, kwa malipo yoyote Yale ya halali natanguliza shukurani wakuu.
  10. Mbunge Edwar Lekaita aweka msisitizo maliasili na utalii kufanya kazi kwa karibu na WMA

    MBUNGE EDWAR LEKAITA Aweka Msisitizo Maliasili na Utalii Kufanya Kazi kwa Karibu na WMA Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita wakati akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka mpya wq fedha 2024/2025 amesema WMA inasaidia wananchi...
  11. Naomba msaada wa kazi ya kupanda mlimani

    Naomba msaada kuunganishwa na kazi ya porter kupanda mlima Kilimanjaro
  12. Natafuta kazi ya editor na cinematography

    Naitwa Rama Pepe naishi dar natafuta kazi ya kuedit na kushuti muvi mimi ni Editor na pia ni Cinematography mwenye uzoefu wa miaka 7 nafanya kazi mahali popote napatikana kwa namba 0699524998 Na hizi ni baadhi ya kazi nilizofanya zipo youtube https://youtu.be/78ZpRG10crc
  13. Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl)

    Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl) Sehemu ya kazi -Dar es Salaam Majukumu yake -Kufanya usafi wa nyumba ya wastani -Kufua nguo za watu wawili tu -Kupika chakula cha watu wawili Mapendekezo -Napendekeza awe Mkristo ili aishi ndani ya familia pasipo kukinzana katika imani ya...
  14. B

    Paul Makonda anafanya kazi kama ambavyo Ma-DC wa Mkoloni walivyokuwa makini Tanganyika

    Ukipitia diary / shajara za waliokuwa ma DC wakati wa serikali ya mkoloni utaona walipewa majukumu mengi ya jinsi ya kuendesha tawala za mikoa na serikali za mitaa. Ambapo DC hakutakiwa kukaa ofisini bali alifunga safari kupitia maeneo waliyopangiwa kuangalia masuala ya utoaji haki, makusanyo...
  15. Baba Levo: Huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya Ualimu

    Mtangazaji wa kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Fm, Baba Levo amenukuliwa akisema huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya ualimu kwasababu kazi hiyo ni ya kipato cha chini sana kwenye mishahara na posho zao ni ndogo. Kujenga hata nyumba ya kisasa kwa kazi ya ualimu ni changamoto sana sahau kuhusu...
  16. M

    Mkoa wa Arusha akisajiliwa na Lengai Ole Sabaya kazi mpira umekwisha

    Timu ya mkoa wa Arusha ina kikosi cha maangamizi, mshambuliaji Mrisho Gambo, huku mkabaji ni Paulo Makonda. Timu imekamilika haswa, wadudu wote wa Arusha wametulia.Sasa kuna sehemu moja tu inahitaji marekebisho ambayo ni sehemu ya mshambuliaji, inamhitaji Lengai Ole Sabaya akasimame pale juu...
  17. Msaada: SSD 1080 PRO NGFF M.2 4TB Haifanyi Kazi Kwenye Laptop Yangu

    Habari wanajamvi, Nimenunua kifaa cha kuhifadhi data aina ya 1080 PRO NGFF M.2 SSD 4TB Kwa ajili ya kuongeza uwezo wa laptop yangu. Hata hivyo, baada ya kukifunga kwenye laptop yangu, haisomi ingawa inaonyesha kuwaka kama kawaida. SSD iliyokuwepo awali ni ya 128GB M.2 NGFF ambayo niliinunulia...
  18. Narudia tena akili ya mbantu haiwezi kufanya biashara. Graphic designer kadengua kazi ya zaidi ya laki 5 then baadae anaitaka tena

    Sista angu alikuwa na project yake anatakiwa kuisubmit mahali. Hiyo project ilikuwa na picha kama mia na ushee hivi ambazo yeye aliona zinafaa kufanyiwa graphics zote. Bajeti ya sista kwa picha ni sh. Elfu 5 kwa kila picha. Mimi huyo nikaenda mpaka kwa ofisi ya brother mmoja anafanyaga...
  19. V

    Walisema Sadio Mane amebaguliwa Bayern Munich ila leo Bayern Munich wamempa kazi kubwa ya ukocha Vicent Company

    I'm proudly black man Ila waafrica wengi tuna matatizo sana Sadio mane alienda Bayern Munich tena akawa miongoni mwa wachezaji watatu wanaokula mshahara mkubwa Bayern Lkn tunaofatilia mpira toka liverpool ni kwamba sadio mane alishajichokea mpira ulishaisha km mnavyojua waafrica kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…