kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. U

    Inamaana vyombo husika vimeshindwa kumshughulikia Mpina?! Kweli kabisa? Naomba Mimi nipewe kazi hiyo!

    Wadau hamjamboni nyote? Hivi luhaga mpina inakuaje hadi leo hii hajashughulikiwa? Yaani vyombo vyote husika vyenye weledi vimeshindwa kumshugulikia kwa kuiabisha mamlaka iliyopo kuu? Shida ni nini hasa? au bado mchakato inaendelea? Naomba Mimi mzalendo nipewe kazi hiyo, nipewe rasilimali...
  2. A

    Natafuta kazi, nipo Tabora. Nimemaliz Kidato cha Sita (PCB)

    Mimi ni kijana wa kiume mkakamavu na mtii mwenye umri wa miaka 22 naishi tabora, nina elimu ya kidato cha 6 PCB. Naandika andiko nikiwa nina uhitaji wa kazi yoyote ya halali kwamfano:kuuza duka, shamba boy pia kama nikipata nafasi ya kujifunza fani za ufundi au uendeshaji wa magari na mitambo...
  3. Raghmo

    Msaada wa kupata kazi nimesomea mazingira

    Habari, Mimi ni kijana Nina miaka 24, Nina degree ya Sanaa ya geografia na mazingira, nipo Zanzibar. Mwenye connection ya ajira ya kada hio tafadhali.
  4. O

    Mitandaoni wanatazama urembo badala ya kazi yangu'- Balozi wa vijana AU

    CHANZO CHA PICHA,DIANA CHANDO Maelezo ya picha,Balozi wa vijana Umoja wa Afrika -AUMaelezo kuhusu taarifa Author,Na Esther Namuhisa Nafasi,BBC News, Dar es Salaam Saa 7 zilizopita "Unajua mimi nina macho makubwa, mara nyingi nikiweka kazi zangu watu wanaanza kuuliza kuhusu muonekano wangu...
  5. stakehigh

    Kua kiongozi wa simba ni kazi ngumu sana

    https://x.com/FKihamu/status/1800621196662206811
  6. Tuo Tuo

    Tangazo la kazi: Project/ Program Management

    Location:Mbeya, Tanzania Category:project/Program Management NGO: HJF Job Description Overview Join the HJF Team! The Henry M. Jackson Foundation for the Advancement of Military Medicine (HJF) is a nonprofit organization dedicated to advancing military medicine. We serve military, medical...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ndaisaba Ruhoro Ataka Vituo vya Forodha Kufanya Kazi saa 24, Ngara

    Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amemshauri Mbunge wa Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro kushirikiana na Mamlaka husika ili kuangalia uwezekano wa ujenzi wa Kituo cha Forodha cha Mugoma, mkoani Kagera baada ya kujiridhisha pasipo shaka iwapo eneo hilo linafaa kwa ujenzi wa Kituo...
  8. L

    Hongera sana kocha Hemed Morocco na msaidizi wako Juma Mgunda kwa kazi nzuri nchini Zambia

    Stars imeifunga Zambia ikiwa nyumbani kwake, narudia nyumbani kwake.Binafsi, sikuwa na shaka na uwezo wa makocha hao isipokuwa shaka yangu kubwa ilikuwa kwa wachezaji, kwamba wachezaji tuliokuwa nao hasa wale walioanza sikudhania kabisa baadhi yao kama wanaweza kupambana kiasi kile hasa kutokana...
  9. GENTAMYCINE

    Waziri wa Michezo Dkt. Ndumbaru kama sasa TFF wameamua Makocha wa Taifa Stars watakuwa ni Wazawa Kocha Amrouche Mshahara anapewa wa kazi ipi?

    Najua unanisoma sana GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo nasubiria Jibu lako kwani Wewe ulivyo na Kiherehere baada ya Kocha Amrouche Kutukera Watanzania kule AFCON ulisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Kocha Amrouche bado ni Mwalimu Mkuu wa Taifa Stars ila hivi karibuni / majuzi tu Rais wa TFF...
  10. D

    SoC04 Mifumo ya kielektroniki iboreshwe ili ifanye kazi kwa ufanisi

    Matumizi ya mifumo ya kielekroniki katika taasisi mbalimbali za serikali yamekua na matokeo mazuri hasa kwa upande wa kupunguza msongamanokupunguza rushwa na hata pia kwenye suala la ukusanyaji wa mapato imerahisisha. Lakini pamoja na mafanikio hayo mifumo hii ya kielektroniki Kuna muda...
  11. Mturutumbi255

    Njia 7 za Kuongeza Kipato Chako Bila Kuacha Kazi Yako ya Sasa.

    Katika dunia ya sasa, ambapo gharama za maisha zinapanda kila siku, ni muhimu kutafuta njia za ziada za kuingiza kipato bila kuacha kazi yako ya sasa. Hapa kuna njia 7 rahisi ambazo unaweza kujaribu: 1. Kufanya Kazi za Freelance: Ikiwa una ujuzi kama vile kuandika, kutafsiri, kubuni tovuti, au...
  12. Amba Samedi

    Changamkia fursa za kazi mtandaoni. Lakini kuna haja ya hili kwanza...

    Habari wanajamvi, natumaini mmeamka salama. Mimi pia, nipo kwenye computer yangu nachapisha haya maneno. Katika pitapita zangu, nilikutana na hili swali leo asubuhi, kwenye X account ya rafiki yangu mafolebaraka Nkatamani kulijibu kwa post kadhaa, kuanzia hili la leo. Binafsi, sijaajiriwa...
  13. Singasinga

    Msaada wakuu, binti anaomba kazi yuko Mwanza

    Habari wakuu Naomba kwa mwenye mchongo wa kazi kwa binti. Anaishi na bibi yake na bahati mbaya kapunguzwa kazin kwenye kampuni ya usafi na yeye ndio tegemeo kwa bibi yake. Yuko Mwanza Igoma ana miaka 23 elimu yake kidato cha nne. Namba yangu ni 0764 339 400 kwa ataeguswa kumsaidia. Asanteni...
  14. G

    Interview kwa walimu walio wahi kuomba kazi ajira PORTAL sector ya curriculm na assistasistant lecturer

    Habri Aliye wahi kuomba Tutor grade ii of english for NTA level 6 pale ajira PORTAL au curriculum developer ii pale TIE kupitia ajira PORTAL Naomba anisaidie nondo na jinsi maswali yanavyo toka au kama ana maswali na notes zilizopita naomba ani save 🙏
  15. Sigonella Island

    Wagner Group watangaza nafasi ya kazi -🇷🇺

    Kundi la Kijeshi la Wagner Group limetangaza nafai ya kazi huku likitoa maslahi makubwa kwa waajiriwa ikiwa ni mshahara mnono, nyumba, bonus kubwa ya uhakika, silaha ya kisasa ya kupigania, bima ya afya, malipo ya ulemavu kifo au majeruhi.. Ni maamdalizi ya kazi kubwa ‼️Join Orchestra‼️...
  16. Miss Zomboko

    Kitu gani ulikutana nacho au kukifanya kwenye Interview ukajua ushakosa Kazi

    Ulishawahi kuona yale Mazingira ya kushindwa jambo au kukosa fursa kabla hata hujaipata, basi kuna wakati unaweza kujikuta umefeli Interview hata kabla ya kupewa Majibu na Kampuni husika Umeshawahi kupatwa na hali hii? Nini kilitokea?
  17. Roving Journalist

    Mhandisi Innocent Luoga: Serikali inajiandaa kuzindua Mkakati na Mpango Kazi wa Kitaifa wa Nishati Jadidifu

    Wizara ya Nishati imeshiriki Kongamano la Kitaifa la Nishati Jadidifu kwa mafanikio ambapo imetumia kongamano hilo kueleza juhudi zinazofanywa na Serikali katika uendelezaji wa Nishati Jadidifu nchini na hii ikijumuisha utekelezaji wa Mkakati wa Kitaifa wa Nishati Safi ya Kupikia. Akifungua...
  18. Jamii Opportunities

    TCRA watangaza nafasi mbalimbali za kazi

    VACANCY ANNOUNCEMENT On behalf of Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) invites high caliber, results oriented, self-driven professionals with integrity, dynamic and suitable qualified Tanzanians to fill thirty- eight (38) vacant posts...
  19. Suley2019

    Huduma za Uvushaji wa MV Kigamboni zasitishwa

    KUSITISHA UTOAJI HUDUMA YA UVUSHAJI KWA KIVUKO MV. KIGAMBONI Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unawataarifu watumiaji wa kivuko Magogoni Kigamboni na wananchi kwa ujumla kuwa, Kivuko MV. KIGAMBONI kinachotoa huduma eneo hilo, kitasimama kutoa huduma kuanzia alfajiri ya siku ya Ijumaa...
  20. N

    Kazi ambazo lazima uwe mtu wa mambo mengi

    1.sekta ya Madini - ukikutana na mwekezaji wa Madini huko machimboni wanakuwaga na wasiwas muda wote sijui wa kuibiwa yaani rahisi sana kuchanganyikiwa ukiwa sekta hio 2.sekta ya ufugaji - hawa wachunga ng'ombe wanakuwa na akili zinazowaza ng'ombe tu muda wote.
Back
Top Bottom