OfficilaNdurotz
Member
- Sep 13, 2019
- 26
- 38
Habari, natafuta kazi nimesoma IT,
Iwe mikoa yoyote kasoro Dar es Salaam
Iwe mikoa yoyote kasoro Dar es Salaam
Bachelor of computer engineeringElimu yako ni ya ngazi gan na unaweza kufanya vitu gani? Au umebase Kwenye vitu gani katika IT?
Siku hizi watu wanatajaga professional certificate au diploma tu. Ili kuepuka kuogopwa na waajiri.Bachelor of computer engineering
Tunahitaji Mwl wa computer lakini pia awe na uwezo wa kazi za technician (Installation, networking graphics,support and computer services) Tuwaliane---0717157640 /0754469894Habari, natafuta kazi nimesoma IT,
Iwe mikoa yoyote kasoro Dar es Salaam