kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. berylyn

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Nafasi za kazi

  2. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Magaidi wanaisha huko Lebanon. Hongera sana Israel kwa kazi nzuri

    Aisee huyu myahudi anatembeza kichapo mpaka Raha nimetoka kufuatilia hapa BBC News aisee magaidi yanaondolewa sio mchezo Mungu ibariki San Israel iendelee kutoa kichapo kwa haya magaidi na uzao wao wote Israel ni taifa teule viva Benjamin Netanyau wavaa kobazi hoi huko lebanon
  3. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Maji Dar es Salaam na Pwani

    Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), inahitajika kufanya innovation katika idara ya manager watu hatuwezi kuwa na viongozi ambao hawajitambui katika wajibu wao uliowafanya wawe hapo! You can imagine maji hayatoki takribani siku 4 sasa na this later imetolewa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mdada wa kazi anahitajika

    Habari Wana jukwaa. Mdada wa kazi anahitajika mshaara 50000 kwa mwezi Majukumu 1 kukaa na mtoto , kumuhudumia , kimpa chakula nb mtoto ana mwaka na miez 2 Sasa 2. Kupika 3. Kufanya usafi ndani na nje ya nyumba nuyumb ni chumba sebure na choo ndani Mahali ni dsm temeke SIFA ZA MWOMBAJI umri...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kongole nyingi sana kwa Dr. Nchimbi kazi yako inaonekana baba

    Chama kimetulia, chama kina kubalika, chama kinaaminika, chama kimeimarika mno. Ruvuma na Songea wamedhihirisha kwamba wewe Dr Emmanuel Nchimbi katibu mkuu CCM Taifa, ni agenda ya Taifa na karata muhimu ya chama, wanainchi na serikali baada ya Dr. Samia Suluhu Hassan kuhitimisha majukumu yake...
  6. Dodo86

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Wonderwell Daycare and Nursery School

    Uongozi wa Wonderwell Daycare and Nursery School Daycare iliyopo Mikocheni unawatangazia nafasi za kazi kwa walimu wakike waliobobea kwenye taaluma ya makuzi ya watoto. Shule ni mpya na Usaili utafanyika kuazia jumatatu, mwalimu afike shuleni akiwa na nakala za vyeti vya kitaaluma na wasifu...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania TBC mnampaje mtangazaji kama huyu kazi ya kutangaza tukio la ngazi ya kitaifa?

    UWT ni jumuiya ya chama, lakini mtangazaji mara kadhaa anarudia kuiita chama cha UWT, ina maana hawa watangazaji hawana usimamizi? Hata huko TBC nani anasikiliza wanachotangaza? Hivi watangazaji wanapangiwa majukumu kulingana na seniority na ukubwa wa tukio?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Special thread kwa ajili ya wakemia waliopo kazini ,wanaosoma na wanaotafuta kazi tupeane connection

    Uzi maalum wa wakemia karibuni
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nina GPA kubwa 4.1 ya Rasilimali watu(HR) ila kazi sipati

    Wakuu natumaini mko poa. Mimi ni graduate, jinsi Ke, nimemaliza mwaka 2022 degree ya Human Resource Management kwa ufaulu wa GPA ya 4.1. Kabla ya kuhitimu nilishawahi kufanya practical training (field) kwenye taasisi ya serikali, hivyo nina ujuzi wa karibia miezi mitano. Pia mwaka 2023...
  10. Bemendazole

    JamiiForums Tanzania Kutamani Pombe muda wa kazi

    Wakuu, Baada ya kugombana na bosi wangu na kumtukana, kazi ikaisha. Ghafla nikajikuta niko mtaani bila mchongo. Ili kubuy time ikawa ni kushinda baa na kupiga visungura tangu saa mbili asubuhi hadi jioni. Sasa bana nimepata kazi. Najizuia nisinywe mda wa kazi maana nimeshakuwa addicted napata...
  11. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Hacker yoyote ambaye yupo vizuri aje nimpe kazi

    Kuna Kazi njoo pm
  12. Mrs Gudman

    JamiiForums Tanzania Dodoma kuna shida gani mbona kupata kazi kwenye Private Sector ni ngumu sana?

    Kuna ndugu yangu alikuja Dodoma kutafuta pa kufanya kazi Baada ya kumaliza chuo, Ni mwaka wa pili huu kazi hapati, wala hata kuisikia zikitangazwa hamna. Kazi nyingi zinatangazwa location ni Dar, Bado naji uliza nafasi za kazi kwa Dodoma zinatangaziwa wapi?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ni kitengo / role gani ambayo kazini/ofisini kwenu mnahangaika sana au mlihangaika kumpata mtu wa kuijaza ambaye ana weledi wa kutenda kazi???

    Sisi ofisini kwetu tulihangaika sana kumpata IT aliyebobea ,kila aliyekua anakuja aligundulika kuwa kiazi. Wewe/nyie je???
  14. nover

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya ajira; Kazi ya kuuza mabegi

    Habari wadau. Nina ofisi inayoshughulika na uuzaji mabegi ya nguo pamoja na mgongoni jijini Mwanza. Naitaji kijana wakusaidiana nae majukukumu ya dukani Sifa; 1) awe anajua kusoma, kuandika na hesabu za hapa na pale 2) Umri asizidi miaka 25 3) jinsia awe wakiume 4) Awe...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote ya halali

    Mimi ni mwanaume wa miaka 28 , nina mke na mtoto mmoja ninaujuzi wa hotel management pia naweza kuendesha gari (sijasomea). Mwanzo nilikuwa na biashara ya M- pesa lakini nikadhurumiwa na matapeli, nikapata kazi kwenye restaurant ya bungeni mshahara laki 2 kwa mwezi lakini si kazi ya kudumu...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua ofisi unayotaka kufanya kazi, wafanyakazi wana hali gani, wewe tazama "parking"

    Hello! Ofisi yoyote iwe ya serikali au binafsi kama tu iko hapa Tanzania wewe tazama parking. Halafu uliza idadi ya wafanyakazi wote. Ofisi ina wafanyakazi 50 parking kuna gari binafsi 3 tu ya mwasibu, Afisa manunuzi na ya meneja tu hapo pamejaa ufukara. Nawewe unakwenda kuambukizwa ufukara...
  17. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Epuka kuwambia watu huna kazi au huna mchongo! Hutapata wa kukukopesha wala kukusaidia

    Wakuu Ukiulizwa unapiga mishe gani we wambie watu unapga kazi fulani. Usiwambie sina kazi wanaanza kukuepuka Kumbuka kua 1.Kila mtu anahitaji mchongo 2.Kila mtu anahitaji connection 3.kila mtu anajisogeza kwa mwenye uafadhari 4.Kila mtu anataka ajuane na mtu mwenye msaada hata kwa baadae 5.Kila...
  18. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Penzi la Mwanamke wa Kimakonde ni habari ya Dunia tumejifungia week na hatuboi yaani kazi kazi.

    Ebana wanawake wa Kimakonde ni habari ya Dunia, Niko nae ndani yapata wiki sasa yaani ni kazi kazi, nimesahau shida zangu zote. Yukoje? Ni maji ya kunde, kitunguu cha malolo wazaganza na chuchu Dodo , urefu 170sentimita Kuna makabila ni tunu ya Taifa la Tanzania kwenye anga ya mapenzi, mimi...
  19. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati naona sijawahi kukutana au kusikiliza kazi za msanii smart kama TID

    Kuna wakati naona sijawahi kukutana au kusikiliza kazi za msanii smart kama TID. Huyu jamaa kama utakurupuka hutaelewa..he is the smartest artist on earth
  20. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaosemekana kufukuzwa kazi TBS iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine

    Hawa vijana iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine. Vijana Hawa wanaosemekana kufukuzwa wana kampuni yao ya CALIBRATIONS, TESTING pamoja na Automations watu tuliopo kwenye constructions industry tunawaona sana. Na bahati nzurii kampuni yao ipo accredited inaruhusiwa kufanya kazi nchi yeyote...
Back
Top Bottom