kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. S

    SoC04 Mpenzi na kazi

    Moja Kati mambo yanayoongeza ufanisi wa maendeleo ni kuongezeka kwa vijana wasioathirika na mpenzi katika kazi zao za kiuchumi,, hivyo inasemekana kufikia miaka kumi tangu 2024 vijana wengi watakuwa mchango mkubwa wa uchumi WA taifa kwa jumla
  2. N

    Faida za kutoka jasho kwa mazoezi au kazi ngumu

    Ukitoka jasho furahia Kazi yake kuu ni kudhibiti joto la mwili. Maji katika jasho yanapovukiza, uso wa ngozi hupoa. Kutokwa na jasho huondoa uchafu katika michakato ya metabolic na sumu kutoka kwa mwili wa binadamu, na kukuza afya. Jasho hutolewa kupitia pores ndogo sana kwenye uso wa ngozi...
  3. cold water

    Natafuta kazi ya udereva mkoa wa Ruvuma

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,ninaomba kazi ya udereva,mkoa wa Ruvuma kwenye mashirika binafsi.Nina vigezo na uzoefu wa kazi wa miaka mitano, nawasilisha nakala hii kwenu kwaajili ya kupata fursa,Asante na Mungu awabariki.
  4. H

    Jason Derulo akubali kufanya kazi na diamond baada ya kupost kupitia insta story yake

    Komasava ya diamond inazidi kumpa mashavu zaidi baada tu ya chriss brown kuucheza wimbo wake na kuwa gumzo duniani kutokana na ukubwa wa breezy. Jason derulo amekubali kufanya wimbo na diamond kwenye kipindi hiki ambacho ngoma yake ya kovasava ikishika chart kila kona. Ukiachana na Derulo...
  5. R

    Natafuta kazi

    Habarini wanajukwaa nipo mbele yenu natufuta kazi yeyote ambayo itaniingizia kipato au kama kuna mtu mwenye connection akaniunga kazi zilipo naomba anisaidie. Nina diploma ya procurement and logistics location nipo dar es salaam.
  6. M

    Jaji mstaafu, kanieleza Ufisadi awamu hii unatisha kuliko wakati wowote toka tupate Uhuru,

    Leo hii Nimepata wasaa wa kupata chai asubuhi kwenye kijiwe chetu mtaani, Jaji kaongea Kwa uchungu anasema ni kweli sisi majaji maslahi yetu ni kama tuko peponj na hatuna shida hata moja, Akaendelea kusema ile kufungua nchi uliingia pia uchafu wa kutosha, Akasema hivi unakumbuka ziara za...
  7. Zee la madawa

    Nyie Viongozi wa Tanga nimeshindwa kukaa na wananchi wenu? Enyi watu wa Tanga kudanga sio kazi ebu fanyeni kazi Bwana

    Watu wa Tanga mnanishangaza aisee sie Wanawake wala wanaume Wote ni mwendo wa kudanga tu ili wapate pesa Za kula ila kufanya kazi hapana wananishikitisha Sana hawa watu wanaudhalilisha uislamu na kuonekana ni dini ya watu wasiopenda kufanya kazi kumbe Hapana ni watu tu wenyewe aisee Tanga...
  8. Iddizahoro

    Habari wana jamii Naomba gari ndogo ya kufanya kazi ya kuleta hesabu nipo DSM

    Waungwana habari za majukumu. Naitwa xx natokea maeneo ya mikwambe kibada kigamboni mkoa wa Da es Salaam. Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari ndogo aina ya IST,SIENTA,n.k naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi hapa mjini Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo madogo kwangu...
  9. Iddizahoro

    Habari nahitaji gari ndogo ya kufanya kazi ya kuleta hesabu nipo DSM

    Waungwana habari za majukumu. Naitwa xx natokea maeneo ya mikwambe kibada kigamboni mkoa wa Da es Salaam. Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari ndogo aina ya IST,SIENTA,n.k naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi hapa mjini Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo madogo kwangu...
  10. Equation x

    Ni bora kusali sana au kufanya kazi sana?

    Huwa napenda kujiuliza hili swali mara kwa mara, ni bora kusali sana au kufanya kazi sana? Kama jibu unalo, naomba utusaidie ili tuweze kupata ufahamu zaidi.
  11. D

    Tunajenga flow 22 za gorofa Kenya ?! What for ?? ! Kazi ya minister of foreign affairs 🚮

    Hatuna Barabara , shule zetu mbovu sana . Bima za afya ni majanga . Maji hatuna ,umeme hatuna wa uwakika . We are very poor Kwa nini tunajenga flow 22 za gorofa Kenya Kama barozi !!??? Tunaenda wapi ?! Tanzania is dead
  12. GENTAMYCINE

    Tonombe Mukoko akisajiliwa Simba SC kwa mwaka Mmoja tu nitafurahi na atatusaidia kwani anacheza ile Midfield yangu enzi hizo ya Kazi Kazi daima

    Kama tulithubutu Kumsajili Babu Ntibazokiza mwenye Miaka 51 sasa kwanini tushindwe kwa Mukoko mwenye 19 sasa?
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Kula kwa jasho ni kuhangaika kutafuta riziki sio lazima utoe jasho la mwili au ufanye kazi za nguvu ya mwili

    KULA KWA JASHO NI KUHANGAIKA KUTAFUTA RIZIKI SIO LAZIMA UTOE JASHO LA MWILI AU UFANYE KAZI ZA NGUVU YA MWILI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna kasumba ambayo inatesa baadhi ya vijana wa kiume ndani ya jamii huku wakinukuu maandiko ya kwenye Biblia Kuwa "Mwanaume atakula kwa jasho"...
  14. GENTAMYCINE

    Acha Unafiki ni Nguvu Kazi ipi unayoitetea hapa wakati walipokulilia na Kodi Kero na Kodi Komoa zako uliwajibu Kidharau wahame wakaishi Burundi?

    Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema jinamizi la ajali nchini limezidi kuwa kero huku kutofuata sheria akitaja mojawapo wa chanzo kikuu, huku akiwataka maofisa usalama barabarani kutoangalia namba za gari ni la Serikali au binafsi sheria itumike sawa kwa wote. “Madhara yake tunapoteza...
  15. R

    HAKI ya kuchagua, iende sambamba na HAKI ya kumfuta KAZI kiongozi niliyemchagua, nawezaje kumfuta KAZI mbunge wangu?

    Salaam, Shalom!! Tulipoitwa katika mikutano ya Kutoa maoni kuhusu Katiba mpya Awamu ya nne, Ndugu Samia SH, alikuwa mjumbe wa Tume hiyo. Moja kati ya maoni muhimu ya wananchi ,tulitaka ipatikane namna ya kuwafuta KAZI wabunge wetu wasio na uwezo kuongoza, tulitaka pia uwepo ukomo wa ubunge iwe...
  16. haszu

    Mtu mzima ambae bado una “ungaunga” unaweza kataa kazi kwa kigezo unakula sikukuu?

    Sikukuu ni watoto, mtu mzima siku yoyote ukiwa vizuri unaenjoi tu. Kama kuswali ushaswali, kilichobakia ni kula, na kula ni hadi mchana. Unakataa kufanya kazi et “ mi leo nakula sikukuu”. Mambo ya ajabu sana. Mi napendaga kazi kazi. Watu wa pwani na Tanga mbadilike, wengine tunaenda kwa ratiba.
  17. C

    SoC04 Raia wenye afya bora ndio nguvu kazi wa taifa la kesho

    Watu husema afya ni mtaji kwaio ili shughuli binafsi na taifa kwa ujumla zifanyike ipasavyo yahitaji raia wenye nguvu na afya njema.Katika Sekta ya afya changamoto zimekua nyingi ambazo tungetamani zifanyiwe utatuzi ili kupunguza athari kubwa kwa miaka 5-25 ijayo. Changamoto hizo ni kama...
  18. Jackal

    Urusi Yapeleka Mfumo wa Ulinzi wa Anga Chapa S-500 Huko Crimea Baada Ya Mifumo Ya S-300&400 Kushindwa Kazi

    Urusi Baada Ya Mifumo yake Ya ulinzi wa Anga Chapa S-300&400 Kushindwa kufua dafu mbele ya makombora ya ballistic ya Kimarekani Chapa ATACMS,yanatumika na vikosi vya Ukraine, imeamua kupeleka Mfumo wao wa Kisasa na ghali zaidi huko Crimea. Mytake :Tusubiri tuone matokeo ya hayo machumachuma...
  19. Kabende Msakila

    PreGE2025 CHADEMA walitumia saa 6 toka Kigoma hadi Kakonko. Kazi ya CCM katika ujenzi wa barabara sasa CHADEMA hutumia masaa 2 tu

    Ni kazi kuamini:- * Kelele za CHADEMA kuhusu barabara ya Nyakanazi - Kigoma CCM imezimaliza. Sasa hii si hoja tena kwao; * Umeme si hoja tena. REA imefanya kazi kubwa kuleta maendeleo ya nishati mkoani Kigoma. * Mawasiliano ya simu ktk rural areas siyo hoja tena. Ni CCM chini ya Rais Samia...
  20. JOHNGERVAS

    Mwenyekiti UVCCM asimamishwa kazi.

    Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Shinyanga, imemsimamisha kazi Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Bw.Jonathan Agustino Madete ,kwa tuhuma za makosa mbalimbali ikiwemo utovu wa nidhamu. Maamuzi ya Kikao hicho yametolewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi, mkoa wa...
Back
Top Bottom