kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaosemekana kufukuzwa kazi TBS iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine

    Hawa vijana iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine. Vijana Hawa wanaosemekana kufukuzwa wana kampuni yao ya CALIBRATIONS, TESTING pamoja na Automations watu tuliopo kwenye constructions industry tunawaona sana. Na bahati nzurii kampuni yao ipo accredited inaruhusiwa kufanya kazi nchi yeyote...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hongera Waandishi wa Habari kwa Kukataa Kuyumbishwa na Kusimamia Misingi ya Kazi Yenu Dhidi ya Wenye Nia za Kisiasa

    Infact, Mnafanya kazi nzuri sana na inaonekana dunia nzima. Kamwe msikubali kuyumbishwa wala kuzingatia matakwa ya wenye nia binafsi, bali zingatieni misingi ya taaluma yenu. Fanyeni majukumu na kazi zenu kwa uhuru, haki na usawa bila mbambamba za mzee au kijana yeyote. Mmefanya vizuri sana...
  3. shuka chini

    JamiiForums Tanzania Jamani huku makazini mwetu kuna kazi

    Aise wadau salama kabisa. Aise nimeishiwa pozi jamani. kazini huku kuna kazi aise ni balaa ipo hivi hapa ofisi kwetu mm ni mtu wa tatu kiutawala sasa yupo mkuu wa idara na msaidizi wake halafu nafuata mimi. Sasa kuna jambo fulani lilifanyika hapa ofisini ikabidi nishirikishwe sasa baada ya...
  4. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kunan wary kazi yao n kuombwa tu wao hawaombi...

    Ukiona uko lwenye mahusiano ya aina hii amsha akili zako Kuna watu kwenye ndoa hawajui kuomba tendo la ndoa yaan mpaka useme wewe naomba Kamwe hutaona wakisema can I make lve Hawa wao n kuombwa tu na ktk kuombwa mara wakupe ama wakunyime Ukiona uko kwenye mahusiano ya aina hii...
  5. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa producers na studio wanazofanya kazi

    PRODUCERS NA STUDIO.. 1. Kumthamini Producer Master J na Hermy B waliamua kujiweka kando kiasi na kuleta maproducer wengine kusimamia studio hizo. Master Jay alimchukua Marco Chali kutoka Kama Kawa Records takriban miaka 7 iliyopita, huku Hermy B akimtoa Pancho Latino kutoka Dhahabu Records na...
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania Napinga kodi yangu kitumika kulipia vyama vyenye kazi ya kuleta taharuki na vurugu kwenye jamii.

    Ni ombi langu kubwa kuona ruzuku ya vyama vya siasa ifutwe na badala yake fedha hiyo ikasomeshe watoto yatima
  7. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa msanii 50 Cent kutoka nchini Marekani hataki kufanya kazi

    MSANII 50 CENT "Mwanangu, Marquise Jackson ana umri wa miaka 25 na bado anaomba msaada wa mtoto. Bado nampa $6800 kila mwezi lakini anasema hazitoshi." 50 Cent "Mafanikio yalinigharimu uhusiano wangu na mwanangu wa kwanza, Marquise. Lakini hana akili, akiwa na umri wa miaka 25, haoni aibu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu mzoefu wa kazi la Laundry

    . Awe mkazi wa Mwanza . Uzoefu katika biashara ya laundry . Ofisi ipo Mkolani . Mshahara maelewano . Kuanza kazi 1.10.2024 . Njoo inbox pamoja na offer yako ya mshahara
  9. Mwiba1

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi truck drivers Lithuania

    Wale truck drivers wenye kauzoefu kiasi karibuni ofisini kwetu tuwaunganishe mkaendeshe trucks along europe, kampuni iko Lithuania mshahara ni kuanzia euro2300 plus bonus kutakuwa na training ya mwezi mmoja utalipwa kipindi chote cha training. Vigezo Leseni daraja CE Police clearance Mambo...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Fundi Mechanics anatafuka kazi - DAR

    Nina kijana/rafiki Fundi mzuri wa magari (mechanics), yupo Dar anatafuta kazi Ni Kijana muaminifu sana (hatumii kileo chochote), Elimu kidato cha nne; amepata ujuzi huo kwa kufundishwa katika garage (sio chuo) Uzoefu miaka nane, ila hana ofisi rasmi hivyo nimeona nichukue nafasi hii kumtafutia...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mahakama yawarudisha Askari Polisi waliotimuliwa kazi

    Mahakama Kuu Tanzania imewarudisha kazini askari polisi watatu waliokuwa wakifanya kazi uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Kesi hiyo namba 9432 ya mwaka 2024 iliyokuwa mbele ya Jaji Mtembwa, Mahakama Kuu Tanzania masijala ndogo ya Dar es Salaam ambayo inahusisha maaskari...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Ubalozi Malaysia, Wizara mambo ya nje na mambo ya ndani Tanzania fanyeni kazi zenu badala ya kula raha ofisini

    Naomba wizara hizi turekebishane. Kuna mambo ya kifilauni yantendeka ndani ya wizara. Nasikia baadhi ya mabalozi wanateuliwa ili kulea na kusomesha watoto wa waliowateua huko nje ya nchi. hii imeleta tabia ya kiburi na kutowajibika na mambo ya wa-TZ wa kawaida ktk nchi wanazowakilisha. Kuna...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya sasa Wakulima wa Mchele Tanzania Kazi Kwenu kwani Wanyarwanda wanavutiwa na Mchele wenu kuliko wa Kwao kutoka Bugarama

    Na hawajaishia tu Kuupenda bali wameenda mbali zaidi na kusema kuwa pia unapatikana kwa Gharama nafuu mno. Chanzo Taarifa: BBC Dira ya Dunia hivi punde tu. Ngoja nami sasa nipate Elimu ya Kilimo kidogo ili nijaribu hili Zao kwani nasikia Mchele wa Tanzania unapendwa EAC.
  14. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Kibongo Bongo wafanyakazi hawazijui Sheria za kazi. Wananyanyasika sana bila kujua haki na wajibu wao

    Habari, Ni ukweli usiopingika kwa ajira hizi tunazofanya bila kujua haki na wajibu wako ni kazi sana kutoboa. Wafanyakazi walio wengi hawajui haki na wajibu wao katika kazi wanazo zifanya. Mfano Sheria ya Kazi inasema mfanyakazi anatakiwa kufanya kazi masaa nane, yanayozidi baada ya hapo...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Al Ahly Tripoli ni wa kawaida lakini kazi kubwa lazima ifanyike ikiwa tunahitaji kuingia makundi

    Wengi tunajipa hopes kuwa hapa nyumbani lazima wakae. Wengi tunajipa hopes kuwa kule kwao tulicheza kimkakati ndio maana tumeambulia sare Wengi wetu tuna ushabiki sana kuliko uhalisia Guys, wale waarabu sio kama Al Ahly ya Misri, ni wa kawaida sana, hilo sibishi. Jana mechi ile haikuwa...
  16. Logikos

    JamiiForums Tanzania Gharama ya Kufanikisha Mpango Kazi wa Utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024 – 2034) Jumla Kuu 4,554,015,000,000

    Katika pitapita zangu nimekutana na hilo jarida la Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024-2034) nikaamua kuleta kwenu pia (doing my civic duty) document ni pdf ipo attached ila kwa ufupi naweka picha kwenye gharama zinazotazamiwa kutumika ili kufanikisha hilo jambo (baadhi...
  17. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Taarifa Muhimu kwa Wote walioomba kazi kada ya Ualimu

    Taarifa Muhimu kwa Wote walioomba kazi kada ya Ualimu zilizotangazwa na Sekretarieti ya Ajira, tafadhali soma kwa makini na fuata maelekezo! Muwe na siku njema
  18. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Jinsi Akili Mnemba(AI) inavyofanya kazi

    Akili mnemba (AI) inafanya kazi kwa kutumia mifumo ya kihisabati na michakato ya kompyuta inayoweza kufuatilia na kuchambua data nyingi kwa haraka. Hapa kuna vipengele vya msingi vinavyofanya akili mnemba iweze kufanya kazi: 1. Mafunzo ya Awali (Training): AI inafundishwa kwa kutumia data...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania ipo busy na masuala ya Simba na Yanga, Wakenya wanazidi kutupiga gap. Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000

    Natumaini mu wazima humu, ni siku nyingine tukiwa bado tunasubiri muafaka wa mchezaji Kagoma kama atabaki Simba au atarudi Yanga, Mzee wetu magoma na yeye ni mpaka kieleweke !!, Anyway tukirudi kwenye kichwa cha habari, Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000 na kuwapa nafasi za kufanya...
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania Gueteres aliponda baraza la usalama la umoja wa mataifa. Aliambia limeshindwa kazi na limepitwa na wakati.Kigezo ni kushindwa kuzuia vita vya Gaza n,k

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena amesimama kidete kusimamia maadili ya baraza hilo kwa kukosoa jinsi linavyoshindwa kutekeleza majukumu yake. Bwana Gueteres amerudia kwa kusema muunda wa baraza la usalama ambalo lina wajumbe wanaotumia kura ya veto ndio umekuwa kikwazo kwa...
Back
Top Bottom