kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania "Yani mimi, mtu bila gari, bila kazi ya maana halafu asiwe mrefu mweusi hawezi kunipeleka kwake tukaishi nae. I am not cheap!"

  2. JamiiForums Tanzania Waziri Chana Apongeza Utendaji Kazi TANAPA, Asisitiza Uadilifu Kufikia Malengo

    WAZIRI CHANA APONGEZA UTENDAJI KAZI TANAPA, ASISITIZA UADILIFU KUFIKIA MALENGO WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana(Mb) ameipongeza Menejimenti na Watumishi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA),kwa kazi nzuri ya uhifadhi pamoja na ukusanyaji wa mapato...
  3. JamiiForums Tanzania Elon Musk Anakuja na Usafiri wa Kuzunguka Duniani Kote Ndani ya Saa Moja! Unaweza kufanya Kazi Marekani Ukitokea na Kurudi Da es Salaam Kila Siku!

    Soma hapa: "Elon Musk wants to change the way we fly. The billionaire tech mogul is pushing forward with SpaceX’s plans to launch “Earth to Earth” space travel, offering intercontinental flights that take off like a rocket and land just minutes later across the globe. Musk says his dream of...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania kazi ya upolisi ni kazi yenye changamoto sana

    May all souls find enlightenment, Kama unaupenda uzao wako na ungependa kuwaepusha na hekaheka kamwe usimpeleke mtoto wako upolisi. Kwa uzoefu wetu sote tunajua jinsi baadhi ya Polisi kuwa ni watu wa dhuluma, uonevu na unyama wa kutisha unaweza kusema mtu fulani mtoto wako au ndugu ni mwema...
  5. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: Logistics Project Development Manager

    TRADESAFE LIMITED LOCATION: DAR ES SALAAM, TANZANIA POSITION: LOGISTICS PROJECT DEVELOPMENT MANAGER CONTRACT TYPE: 1-3 YEARS CONTRACT --- ROLE OVERVIEW TradeSafe Limited is seeking a Logistics Project Development Manager to lead the development, creation, and introduction of innovative...
  6. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: senior business and market intelligence officer

    TRADESAFE LIMITED LOCATION: DAR ES SALAAM, TANZANIA POSITION: SENIOR BUSINESS AND MARKET INTELLIGENCE OFFICER CONTRACT TYPE: FULL-TIME / PROJECT BASED --- ROLE OVERVIEW TradeSafe Limited is seeking an experienced Senior Business and Market Intelligence or Analyst Officer who will also serve...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu anafanya kazi za Tanzania ama za Tanganyika?

    Wazanzibari wakati fulani wakisema kuwa Tanganyika imevaa koti la Muungano huwa nawaelewa. Hivi Waziri Mkuu huwa anafanya kazi za Tanzania ama huwa anafanya kazi za Tanganyika ndani ya Tanzania? Protokali inasemaje kuhusu Rais wa Zanzibar na Waziri Mkuu. Jee Waziri Mkuu anawajibika kwa Rais wa...
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 TAMISEMI: Ujasiriamali ni kazi halali, si sahihi kuwaengua Wagombea kwa kigezo hicho

    Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imesema ujasiriamali ni kazi halali inayotambulika kiserikali, si sawa kutumika kuwaengua wagombea kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa. Hayo yamesemwa leo Jumanne, Novemba 12, 2024 na Mwanasheria wa Tamisemi, Mihayo Kadete wakati...
  9. JamiiForums Tanzania RC Simiyu aagiza Afisa Kilimo wa Wilaya Meatu ahamishwe kwa kushindwa kutekeleza majukumu kikamilifu

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi amemuagiza katibu Tawala Mkoa wa Simiyu kumhamisha mara moja kituo cha Kazi Afisa Kilimo wa Wilaya ya Meatu, Thomas Shilabu kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake kikamilifu. Aidha, Kihongosi amemuagiza katibu Tawala Mkoani Simiyu kuwabadilishia vituo...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Green Guard ni nini, mbona hivi vikundi vilishapigwa marufuku?

    Hivi vikundi vilipigwa marufuku na serikali lakini CCM bado inavitumia, ukifuatilia kwa undani zaidi unaweza kuta ndivyo vinavyotumika kwenye matukio mengi ya utekaji na uhalifu nchini na kulindwa na vyombo vya dola.
  11. JamiiForums Tanzania Naombeni connection ya kazi ya kupush hashtag

    Wakuu habari zenu Kama Title inavyojieleza naombeni mwenye connection ya kazi ya kupush hashtag au kusukuma reli anisaidie Hali ni ngumu sana tunapigana but nothing kwahiyo kama una connection na hiko kitu hapo juu nisaidie PM iko wazi Elimu kidato cha 6 Now niko chuo Nina akaunti...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za miradi mikubwa ya Serikali

    Jf habari za humu Uzi wangu huu hauna mambo mengi, mimi n kijana wa kiume umri miaka 25 kwa sasa sina kazi yeyote na ninatamani sana kuhama mkoa niliopo. Ombi langu kwenu najua humu kuna watu tofauti natamani kama ningeweza angalau kufanya vibarua kwenye mradi wowote wa ujenzi wa serikali...
  13. JamiiForums Tanzania Thabit Zaka za Kazi: Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango na nawadharau hata Mashabiki wao Wanaomumini

    "Nadhani Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango. Anasema Mchezaji wao Dube huwa akitaka Kufunga Goli anapunguziwa mwanga wa Taa na Wafanyakazi wa Uwanja wa Azam Complex ila mbona hatujasikia lawama za Makipa wa Timu pinzani wakilalamika kuwa na Wao Dube akitaka tu Kuwafunga nao...
  14. JamiiForums Tanzania Umechoka Kuajiriwa? Hizi Ndo Njia za Kuingiza Pesa Ukiacha Kazi

    Watu wengi wanapata changamoto kubwa kwenye kazi zao za kuajiriwa — presha nyingi, malipo yasiyokidhi mahitaji, au kukosa muda wa kufurahia maisha yao. Umefikia hatua ambapo kila siku ya Jumatatu unahisi uzito wa kuamka, unaishi kwa kusubiri weekend, na unaota kuhusu siku moja kuacha kazi na...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kufundisha

    Natafuta kazi ya kufundisha Mathematics na ICT,dar es salaam Shukran 0621594478 napatikana kiwalani.
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri: Napendekeza Mabasi ya Mwendokasi wafanye kazi saa 24

    Leo nimesafiri na bus usiku nikapata mawazo hivi kwanini mabus ya mwendokasi wasifanye huduma zao masaa 24
  17. JamiiForums Tanzania Kwa kizazi cha Sasa. Ukishakuwa single mother tafuta tuu Pesa. Hakuna Mwanaume atakayehitaji single mother Maskini asiye na kazi

    KWA KIZAZI CHA SASA. UKISHAKUWA SINGLE MOTHER TAFUTA TUU PESA. HAKUNA MWANAUME ATAKAYEHITAJI SINGLE MOTHER MASKINI ASIYE NA KAZI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mambo ya ûkipenda Boga penda na ua lake ni Misemo ya kipigaji waliopigwa Wazee wa Miaka ya Uhuru Huko. Mambo mengi...
  18. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kazi za serikali za mitaa ni kazi za kujitolea chadema waambiwe ukweli kiwa kama huna kazi huwezi pata

    Unaambiwa kigezo kikuu cha kazi za serkali za mitaa ni kujitolea kama huna kazi isiombe utakuwa huna vigezo wao ndio wakiomba walikataliwa ukosa vigezo wanaanza kulia lia tu. Chama kisichofuata hata ishu ndogo kama hizi kitaweza kweli kusimamia mambo ya maana ya siri na nyeti kitaifa na...
  19. JamiiForums Tanzania LGE2024 Wagombea wasio na kazi wanaenguliwa! Huu ni ujinga. Wapiga kura wasio na ajira wasishiriki, huu ni werevu.

    Utata wa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa, utata huu unatokana na kutotumia ubongo kuweka sawa kanuni huku wahusika wataka wasioridhika wakate rufaa! upotezaji muda.
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, naombeni mnishike mkono

    Wadau naombini mnishike mkono kama kuna kazi yoyote ya kueleweka kidogo ambayo ni ya halali naombeni mnisaidie na Mimi nipate chochote kitu hata kidogo basi Nipo Dar es Salaam jinsia wakiume miaka 25 elimu kidato Cha nne kama Kuna kazi ya duka stoo viwandani kufanya usafi ofisini nk
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…