Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,782
Siku kama ya Leo Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka Ronaldo de assis Moreirra aliezaliwa Port Aregre Nchini Brazil alikubali kujiunga na klabu ya AC Milan ya Nchini Italia.
Kuanzia Siku hio Mpaka tarehe alioshuka kwa Ndege Binafsi katika Uwanja wa Ndege wa Malpensa umati mkubwa wa Watu ulikuwa ukishinda na kukesha huku wakiimba Nyimbo za kumsifu na kumtukuza Mwamba huyu katika Uwanja huo.
Siku ilipo wadia na Ndege kuzima injini hapo Malpensa huku taratiiibu Mlango ukifunguliwa takriban Watu 70 walipoteza fahamu na kuwahishwa katika Hospital za West Tennesse na wengine walikimbizwa katika kituo cha Afya cha Policlinicco kwa ajili ya Matibabu…
Wengine walipiga Magoti na wengine walinyoosha Mikono juu, kundi la washangiliaji la AC Milan likiongozwa na Luca Lucci wao walikuwa busy kuimba nyimbo za kumsifu na kumkaribisha Gaucho Klabuni hapo.
Unajuwa Gaucho alipotokea kwenye Mlango wa Ndege kilitokea nini?!
@acmilan_swahili🔴⚫️