johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,034
Tanzania tumekuwa na hamu sana ya kutengeneza Katiba mpya bila kujali kama Wananchi wanajua maana ya Katiba ama la
Kenya Wana Katiba mpya lakini Rais Ruto amesema Mahakama inamuhujumu hivyo hataisikiliza bali ataendelea na KAZI zake kama alivyopanga
Ruto amesema Mahakama ni kakikundi la Watu Wachache sana hivyo Yeye anawasikiliza Wananchi walio Wengi
Nadhani kwa Africa Rais ndio kila Kitu mambo ya Katiba ni formality tu
Happy New Year 😄