kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Rjx

    JamiiForums Tanzania Karibu kwa Ufahamu na Ushauri kuhusu Ramani na Ujenzi...kisha tufanye kazi🤝

    Mambo ya kuzingatia kabla ya kuanza ujenzi. Hakikisha unakiwanja ambacho kimepimwa na kinatambulika na manispaa ya mji...kuepuka migogoro. Katika kiwanja unachotaka kuanza ujenzi Hakikisha unatambua upitaji wa barabara(access roads) na mpango mji , kwa mfn kuna maeneo ambayo ni maalum kwa ajiri...
  2. sangaone98

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, kibarua au ajira

    Heshima yenu wana JF popote mlipo, I hope mko sawa, mimi ni kijana wa kiume umri wa miaka 26. Naombeni kwa yeyote anayeweza nisaidia kupata kazi, kibarua, Ajira mwenye connection ya mchongo wowote halali naomba anisaidie naamini kwenye uwezo wenu wana JF. Kwa sasa niko iringa ila naweza kuja...
  3. L

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu nakushauri wewe ndio ukamzuie Mkuu wa Mkoa wa Simiyu na sio kuwatafutia matatizo wananchi

    Unawatangazia wananchi kuwa wakimuona Mkuu wa Mkoa wamzuie, ebo.Mkuu wa Mkoa ambaye ametajwa kikatiba, ametajwa kwenye sheria ya Tawala za Mikoa Na.19 ya mwaka 1997, ametajwa kwenye kanuni za kudumu za utumishi wa umma, mwenyekiti wa kamati ya usalama mkoa, wananchi wazingire gari lake...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI ili la kuacha Halmashauri ziwapangie Ajira Mpya vituo vya kazi, limezalisha Rushwa ,hususan Rushwa ya Ngono !!

    Sijui Hilo wazo alilitoa nani, ni wazo la kijinga kupindukia. Nani asiyejua Halmashauri zetu zilivyo?. Mdogo wangu ananipigia simu, Brother Kuna MTU hapa ananilazimisha mapenzi ndio Sasa anipangie Kituo kilicho Maeneo ya Mjini. Mdogo wangu anaenda mbali anadai, Kuna Rafiki yake katembea na...
  5. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kazi ngumu aliyonayo Marekani kwa sasa ni kupambana kwa kila hali na China

    Moja ya kazi ngumu inayomkabili marekani sasa ni kupambana kila awezavyo ili kumdhibiti China. Hii ni kazi ngumu sana kwa sababu inahusu maeneo mengi yakiwemo - Ushindani wa kiuchumi, marekani anahitaji kufanya kila namna kudhibiti ukuaji wa uchumi wa kwa miaka mingi ijayo ili isizidi kuwa...
  6. YETU MOTORS CO LTD

    JamiiForums Tanzania Elimu picha:Kazi ya defroster button

    KAZI YA DEFROSTER BUTTON kwenye gari ni kukausha au kuongeza joto ili kukausha vioo vya gari wakati wa hali ya mvua au unyevunyevu unaosababisha vioo kuwa na ukungu au majimaji na kukuziba kuona vizuri nje. HIZI BUTTON HUWA KWENYE DASHBOARD YA GARI MFANO Namba 1. Ukibonyeza hiyo button...
  7. Magical power

    JamiiForums Tanzania Pole Baba angu mzuri na kazi

    Pole Baba angu mzuri na kazi, asante Mungu Baba kunirejeshea salama furaha hii ya moyo wangu akiwa salama. Nakupenda sana baba angu mzuri, nimefurahi sana kukuona ukiwa mwenye tabasamu 💕. Nikuondolee hizi uoge
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya afisa mauzo na masoko

    Habari, Tafadhali pokea kiambatishi chenye tangazo la nafasi ya kazi tajwa.
  9. Inside10

    JamiiForums Tanzania Bondia Mwakinyo ashiriki zoezi la uokoaji Kariakoo

    Wakati zoezi la uokoaji likiwa linaendelea eneo la Kariakoo jengo lilipoanguka, Bondia wa Kimataifa wa Tanzania Hassan Mwakinyo ameshiriki katika zoezi hilo. My take: serikali isimamie hili jambo kwa weledi tupunguze chip popularities, professionals waachwe wafanya uokozi. Sio hawa wasanii...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi, nina Shahada ya Uchumi

    Habari Mimi ni Mhitimu wa chuo ngazi ya shahada (Uchumi) naomba mwenye kujua taasisi zinazohitaji mchumi, au connection ya kazi zinazoendana. Nipo tayari kufanya kazi taasisi yoyote , naweza kufanya kazi za planning and management , research, consulting nk. Napatikana DSM #0688165156...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kazi

    Wakubwa zangu i hope mko fine, Nilikua naomba ushauri wenu mimi ni kijana nilie maliza chuo mwaka huu. Nimepata option mbili za kazi: 1. Kujitolea serikalini 2. Kuuza duka ambapo mshahara wake laki 3 kwa mwezi Ipi ni option nzuri?
  12. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha shule za technical na vyuo vya ufundi

    Habari: Mimi ni mhitimu wa degree ya ualimu wa civil engineering,, Natafuta kazi ya kufundisha shule za technical na vyuo vya ufundi, kwa mawasiliano 0747541717.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mwenye utaalam wa kazi za kupaka rangi kucha aje tuongee, Vifaa na kijiwe cha kazi kipo

    Kama una uzoefu wa kazi za pedicure na manicure njoo tufanye kazi, Ni biashara ambayo ndiyo kwanza tunaanza, vifaa vyote vipo, kila tunapofunga hesabu jioni, tutagawana ikiwezekana 50/50, Eneo ni Survey, Opposite na Mlimani city, Dar es salaam.
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Picha: Pongeze zenu Mawaziri mmefika Kariakoo kufanya kazi. Hongereni sana

    Mawaziri wakiwa eneo la tukio kuendelea kuokoa wahanga
  15. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kupiga msasa/finishing mbao

    Ndugu zangu natafuta kazi ya kupiga msasa/finishing mbao na mdf bord.... Ni mzaliwa wa Tanga ila kwa sasa nipo Dodoma. Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote. kikubwa maelewano
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Tume ya Lowasa kuhisu Majengo ilifanyiwa kazi?

    Mwaka 2006 Jengo la Chang'ombe Inn liliporomoka pale Keko! Wakati huo Serikali ya Awamu ya nne ilikiwa ndio kwanza ya moto. Chini ya Waziri Mkuu Edward Lowasa iliundwa Tume ! Tume ilifanya kazi na kuwasilisha ripoti yake! Nakumbuka mojawapo ya taarifa ya Tume hiyo ilibainisha kuwa majengo...
  17. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kamati ya kudumu ya bunge ya uwezeshaji taasisi za umma yaridhishwa na utendaji kazi wa benki ya TCB

    KAMATI ya kudumu ya Bunge ya uwezeshaji Taasisi za umma imeridhishwa na utendaji kazi wa Benki ya Biashara Tanzania -TCB, huku ikiielekeza benki hiyo kuendelea kutoa gawio kwa serikali kuu ili fedha hizo zitekeleze miradi mingine ya kimkakati. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es salaam Leo na...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Kuwe na mkakati maalumu wa kupunguza idadi ya Wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam

    Serikali kupitia mamlaka husika hasa mipango miji, ingepunguza au kuweka idadi kamili ya wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam. Dar es Salaam watu wamerundikana sehemu moja kuanzia makazi hadi vyombo vya usafiri. Sasa kwa nia njema kwanini kusiwe na mpango wa ku zuwia ongezeko la idadi ya watu...
  19. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Hawa watu wanastahili wamefanya kazi kubwa na ngumu kweli kweli

    Hawa watu wameacha alama isiyofutika katika mataifa yao. Maana kazi waliyofanya ilikuwa ngumu na kubwa haswa. Vita ya kupambana dhidi ya umasikini ni vita ngumu inahitaji viongozi wenye akili ya kuwaonea huruma watu wake na kuwatoa walipo pasipo kujali njia gani kutumika bali matokeo ya njia...
  20. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania BARAZA la Madiwani la halmashauri ya Nkasi mkoani Rukwa limewafukuza kazi watumishi wawili wa idara ya afya kwa utoro kazini

    Akitoa taarifa ya kufukuzwa kwa watumishi hao baada ya baraza hilo kujigeuza na kuwa kamati mwenyekiti wa halmashauri Pankrasi Maliyatabu aliwataja Watumishi hao kuwa ni Atanasi Ignas Mgunda Mteknolojia msaidizi na Japhet Masud Kimondo ambaye ni tabibu msaidizi. Amesema kuwa Watumishi hao...
Back
Top Bottom