CRDB kupitia SIMBANKING imefeli kabisa kufanya kazi vizuri

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
28,929
40,504
Habarini Wadau,

CRDB benki kongwe na yenye Qateja lukuki hapa nchini inakera sana na sasa haiaminiki tena katika huduma yake ya SIMBANKING

Wiki mbili zilizopita nilienda kwa Wakala ili kutoa kiasi flan cha pesa, ilikuwa ni asubuhi saa 3, ila kila ukijaribu kufanya transaction kwa njia ya kawaida inagoma na kuleta ujumbe kuwa

"Huduma hii haipatikani kwa sasa"

Wakuu, hiyo message ilinirudia kila baada ya muda kidg nikijaribu tena kufanya muamala...nilikuja kufanikiwa saa 8 mchana halafu jioni huduma ikapotea tena

Wiki iliyopita hali kadhalika huduma hii ilisuasua sana zaidi ya siku moja

Leo sasa, najaribu kutoa kiasi kidogo tu cha pesa message yenye maandishi mekundu inakuja kwa Mtoa huduma ikimtaka aniambie mimi mteja

"niupdate app yangu ya SIMBANKING" wakati jana niliupdate Apps zote katika simu yangu...nikasema ngoja nika uodate tena, kwakuwa nilikuwa eneo lenye wireless basi kuingia Appstore na kutafuta Simbanking wala haihitaji Updates 🤣🤣🤣🤣

Nikajaribu kutoa kwa njia ya ATM ikaniletea ujumbe kuwa

"Huduma haipatikani"

CRDB, we are fed up....Mnatukera na kutuchosha kupita kiasi
 
Kwa upande wangu mim haijawai kunizingua hata leo jioni nimefanya muamala kwa njia simubanking
 
Juzi nilienda kutoa hela tawi moja la benki kwa njia ya simbanking waliniambia simbanking ina tatizo.
Baada ya hapo nilizitoa kwa njia nyingine.
 
Back
Top Bottom