Habari wakubwa mbele yenu ni mdogo wenu fresh graduate wa degree ya sheria Niko mkoa wa Mwanza lakini niko tayari kwenda sehemu yoyote muhitimu wa shahada ya sheria
Naomba ajira au nafasi ya internship sehemu yoyote
Nina ujuzi wa na ninaweza yafuatayo
i/ legal research and writing skills,
ii/...
Sasa hivi natamani nipate ata kazi ambayo nitalipwa ata laki na nusu ila sipati
Kweli MAISHA yana ramani na aliyemchorea masikini pen ili mgomea njiani
Napata makapi vinono navitamani
Haya mambo nimekuja kuyajulia Dar, kwetu Bulongwa Makete Uislam hauko.
Ndugu zanguni naomba kujulishwa jinsi albadil inavyofanya kazi. Kuna MTU kaniibia kiasi kikubwa sana cha hazina yangu, sitaki afe ila nataka arudishe mwenyewe na wala asipatwe na wazimu maana najua karma ita ni haunt kama...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso, amemsimamisha kazi, Meneja wa usambazaji maji Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) Eng Thomas Ngulika kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo.
Waziri Aweso ametangaza uamuazi huo leo Jumanne tarehe 23 Julai 2024 akiwa kwenye ziara ya...
Kama una ofisi yako au biashara, usimuajiri mtu kwa kumuonea huruma. Ajiri kwa kuwa ana uwezo wa kukuzalishia na kukuingizia faida, katika biashara yako.
Wako vijana wengi wanaomba kazi kwa kigezo cha kuonewa huruma, atasema nategemewa na familia, mara mke, mara watoto nasomesha; sasa hayo yote...
Mimi binafsi nimekuwa nikikerwa na utendaji kazi wa Nape,Makamba,Makonda na Slaa kwa kushindwa kuzielewa 4R za Rais kwa vitendo. Rais anataka utendaji kama ifuatavyo:
1. utendaji wenye kuzingatia sheria,kanuni,taratibu na miongozo.Mara nyingi hawa vijana wameonekana kukiuka hizi taratibu...
Habirini wana JF, kwa mwenye uhitaji wa mtu wa kuuza duka la dawa au pharmacy mwenye cheti cha ADO anicheki 0672498183, nina uzoefu mkubwa wa kazi hii pia duka liwe DAR ES SALAAM, asanteni
Habirini wana JF,kwa mwenye uhitaji wa mtu wa kuuza duka la dawa au pharmacy mwenye cheti cha ADO anicheki 0672498183, nina uzoefu mkubwa wa kazi hii pia duka liwe DAR ES SALAAM
Asanteni
Habari wanajamii, mimi ni kijana wa kike natafuta kaz za ndani mshahara angalau uwe laki, naweza kufanya kaz zote za ndani na kutunza watoto pia. Ni mchapakaz na mwaminifu napatikana dar es salaam...
Sasa ni dhahiri kwamba kasi ya kuchafuana kwa makada wa chama cha mapinduzi Katika Jimbo la moshi mjini inazidi kushika kasi kadri siku zinavyozidi kuyoyoma kuelekea uchaguzi mkuu hapo mwakani.
Wapo vijana wanaoendesha harakati hizo kupitia magroup ya WhatsApp wakiwalenga makada wa CCM...
Wanaukumbi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Eilat Port: "Operesheni zimesimama kabisa katika Bandari ya Eilat kutokana na meli kushindwa kupita upande wowote kufika bandarini."
https://x.com/suppressednws/status/1815004127891423470?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Yani huu mfumo unachanganya sana watu kwa mfano kwenye kujaza sehemu ya kujaza Professional qualifications kwa watu wa fani ya ualimu hususani Bachelor Degree
Tunashida na ajira lakini mifumo yenyewe ya kuombea ajira ni changamoto sana
Eeh Mungu baba tusaidie wanao wasaka tonge
Tunakosa tena...
Maandamano yanayoendelea kumshinikiza Rais William Ruto kuondoka ofisini yana tija kubwa kwa Kenya na fundisho kwa Serikali ya CCM kuelekea 2025.
Wanachokiandamia ni kukithiri kwa ufisadi na maisha ya anasa ya viongozi wao hasa wanasiasa.
Vijana hao wakiwa katika lindi la umasikini lakini...
Habari wakuu vipi wazima?
Mimi mzima nina swali naomba nikuulize.
Hivi kuna Sheria ya kumshitaki mwajiri kama alikuwa haweki hela za NSSF na loan board ukamshitaki, na lingine kama bima yangu haifanyi kazi.
Natakiwa nifanye nini na pia zile hela za helsb ambazo zimekatwa kwangu hazijaenda...
Ndugu zangu ninaomba msaada au connection ya kazi yoyote halali, Mimi ni me(29) elimu yangu Kidato Cha sita ninapatikana Dar es salaam ninaujuzi wa computer, Uhasibu, stocktaking, warehouse supervisor, import and export preparation documents.
Mawasiliano yangu ni 0693414477.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.