kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Naomba Kazi ya online

    Natumaini mu wazima wa afya. Natafuta kazi ya online. Si kwamba hata ya kufika eneo la kazi siiwezi,bali jukumu limetaiti sana. Kwa sasa nipo na watoto wawili wadogo,na kila kitu kuhusu wao ni mimi tu. Hapo nyuma kidogo mambo yalienda ovyo, mama yao akaamuwa kuwaacha. Ni bado wadogo,miaka...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Treni ya SGR Haifanyi Kazi Masaa 24?

    Kipindi cha nyuma, mabasi yalikuwa yanazuiwa kufanya safari usiku. Sababu za alinacha zilitolewa na baadae kupinduliwa bila juhudi zozote za kuondoa sababu hizo za alinacha tulizokuwa tunaaminishwa. Hivi Sasa mabasi yanasafiri 24 hours na safari za usiku ndio zenye mwitikio mkubwa wa wateja...
  3. milele amina

    JamiiForums Tanzania Wachina wasio na vibali vya kufanya kazi nchini,wazidi wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya.

    Uhamiaji na Changamoto za Kijamii Wilaya ya Chunya Katika kipindi hiki, tumeweza kushuhudia mabadiliko makubwa katika hali ya uhamiaji nchini Tanzania, hasa katika maeneo ya vijijini kama Kijiji cha Itumbi, Kata ya Matundasi, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya. Katika muktadha huu, ni muhimu...
  4. Tman900

    JamiiForums Tanzania SGR: Vifaa Vya Kazi( Mafundi Umeme+ Mgari)

    Katika usafiri wa Sgr, umelenga watu wanafanya kazi maofisini tu. Kwa mfano mtu kama fundi Umeme au Fundi makenika Hawa watu wanavifaa vya chuma au Mafundi Bomba. Ukifika katika ukaguzi wanazuia Vifaa. swali Je wanaopanda Sgr ni watu wa Ofisini peke, pia katika mabehewa Kuna Abiria na...
  5. Fundi manyumba 01

    JamiiForums Tanzania Serikali mnataka tufanye kazi gani?

    Salamu wakuu. Kwanza kabla ya yote napenda kusema samahani sana kwa wale ambao nilikua nawaona hawana akili timamu wanapo iponda serikali yetu. Ni kweli kabisa kwa mambo yanayofanyika ni too sad. KiJana anapambana kujiajili. Anajinyima kula sometimes anakula.hata mlo mara mbili ili awekeze...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi WhyNot In Lounge and Kitchen (Kazi za Jikoni na vinywaji)

    Tangazo la Kazi - Jiunge na Timu ya WhyNot In Lounge and Kitchen! Tunakukaribisha kujiunga na timu yetu yenye ari na ubunifu hapa WhyNot In Lounge and Kitchen, iliyopo Goba, Dar es Salaam. Tunatafuta watu wenye vipaji na uzoefu kwa nafasi zifuatazo: 📌 Mpishi Msaidizi 📌 Bartender/Counter Staff...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Influencer/brand ambassadors huwa wana ushawishi wa maana kwa watu kununua au kubadilisha bidhaa au huduma fulani?

    Mimi maji ninayopendelea kunywa tangu nafika Dar es Salaam ni maji brand ya Uhai, yalipokuja Hill water niliyapenda kwa sababu ya muonekano wa chupa yake na portability yake. Nimeona matangazo ya maji mengi lakini sijawahi kufikria kununua maji kwa sababu ya kushawishiwa na influencer...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Uhuru na Kazi: Uanzishwaji wa "Mtiro High School" Kijijini Busekera

    UHURU NA KAZI: UANZISHWAJI WA "MTIRO HIGH SCHOOL" KIJIJINI BUSEKERA Jimbo la Musoma Vijijini limeamua kuongeza idadi ya "High Schools" hasa za masomo ya sayansi kwa kujenga na kuboresha miundombinu ya elimu kwa baadhi ya sekondari zake za Kata. Idadi ya "High Schools" Jimboni mwetu: (i)...
  9. Kv-london

    JamiiForums Tanzania Binti 24yrs anatafuta kazi yupo Moshi

    Bint wa miaka 24 yupo Moshi anatafuta kazi yeyote halali Elimu yake Kidato cha Nne Certificate ya tourism Mchapakaz na mchangamfu Anaweza kufanya Kazi yeyote ambayo haidhalilishi utu wake Kama unamuhitaji naomba unicheki Pm Ahsante Kwa msaada wako
  10. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Simamia mwenyewe kazi zako muhimu na epuka kufanya kazi kwa simu

    Miaka fulani uko nyuma nikiwa mkoani kwangu nilishuhudia uwanja mkubwa ulio jirani yetu ukisafishwa na bdae palifanyika ujenzi matata kabisa mahala pale. Kwa harakati zilizokuwa zinaonekana pale ni wazi walikuwa wanajenga kitu kikubwa sana km hoteli kubwa au kitu kinachofanana na hicho. Kwa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nakodisha Line za uwakala wa mitandao ya simu

    Nilikuwa na ofisi yangu ya Uwakala wa fedha kwa mitandao ya simu lakin bahati mbaya nimefulia na line zipo ila sizifanyii kazi. Kiukweli sina mpango wa kuzitumia hizi line tena. Kama unazihitaji tunaweza kuingia makubaliano/Mkataba ili kuwe na usalama kwako na kwangu pia. Line nilizonazo ni...
  12. Magical power

    JamiiForums Tanzania Does my husband really love me?

    Kwa wenye mnajua ngeli twende kazi. Mr magical power, post and hide id. I want you guys to tell me if my husband really loves me. Immediately I was married my hubby and his mother brought me two young kids of theirs to stay with us.. I got pregnant and went to the village to give birth and...
  13. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Kugawa vishikwambi kisiwe kigezo cha kunyima waalimu ajira

    Toka Sensa ipite serikali ikagawa VISHIKWAMBI imekuwa na kigugumizi sana Cha kuajiri waalimu wapya Toeni ajira vijana wanataka kulifanyia kazi taifa sio kupewa VISHIKWAMBI TAMISEMI na serikali toei ajira kweli!
  14. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Kwenye Bar

    Wakuu habarini za wakati huu kama kichwa cha habari kinavojieleza nahitaji wahudumu wakike watano,Kaunta wawili na mtu wa jikoni mmoja.Mshahara mhudumu ni laki moja,Kaunta ni laki na nusu na jikoni ni laki moja kwa kuanza.Kulala ni hapo hapo kazini.Ofisi zipo Tanga wilaya ya Pangani Kwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kurujuan ya mzee MAGOMA inaendelea kufanya kazi ndani ya mtaa wa Jangwani. Lini hii slow pacha itazibwa?

    Eng Hersi na boss wake GSM wakae chini wayamalize na mwanachama kindakindaki wa Yanga,maarufu kama mzee Magoma. Mzee huyu alisikika katika vyombo vya habari akitoa kauli ya kuwa yanga ina slow pacha na haya ni matokeo ya Kurujuan yake aliyoisoma kwa kila ambaye ana mpango wa kuidhulumu Yanga...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Karibuni Wabunifu na Watengenezaji wa Multimedia - Tunapenda Kufahamu na Kutambua Kazi Zenu

    Habari za siku, wabunifu na watengenezaji wa multimedia! Huu uzi ni maalumu kwa kuwakaribisha nyote wenye ujuzi na ubunifu katika usanifu na utengenezaji wa michoro ya kidijitali (digital graphics), video fupi, na sauti (audio) kwa ajili ya utambulisho (branding) na utangazaji wa biashara...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi ya uuguzi

    Naombeni kazi ya uuguzi Mimi ni msichana wa miaka 25 muuguzi ngazi ya degree mwenye valid licensure Nina uzoefu wa kutosha natafuta kazi iwe hospital au kwenye shirika au chuoni kufundisha Mawasiliano 0620686518
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Ibrahim Traore, amfuta kazi Waziri Mkuu na kuvunja Serikali

    Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Ibrahim Traore, amemfuta kazi Waziri Mkuu Apollinaire de Tambela na kuvunja serikali ya nchi hiyo. Tamko lililotolewa na ofisi ya Rais Traore jana, Disemba 6 limesema kuwa wadhifa wa Waziri Mkuu umefutwa, lakini hakuna sababu maalum iliyotolewa kwa uamuzi...
  19. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Kazi kazi kazi

    UTAFUTAPO KAZI. ACHA KUWAZA UTAPATA MSHAHARA KIASI GANI. TAFUTA KAZI KWA SABABU UNATAKA KAZI. NA SI MSHAHARA. ✍️
  20. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali. Napatikana Dar es Salaam

    Habari za wakati huu ndugu zangu. Naombeni mnisaide kazi, mahali pa kujitolea au hata ushauri, Nina Shahada ya Uchumi na Takwimu na nipo vizuri hasa kwenye masuala ya hesabu. Iwe ndani ya fani au nje ya fani muhimu ya halali tu. Napatkana Dar es Salaam Mawasiliano yangu ni; 0784990919...
Back
Top Bottom