Habar wakuu nataka kusajili company niwe naomba tender za kusuply material katika miradi ya hamashauri mashule,zahanati..vip wakuu Kuna ukiritimba wowote wakupata au ndo Hadi uwe na connection na afsa manunuzi,na vip katika malipo
Naskia Kuna mfumo mpya wa nest wanadai kuwa hauna urasimu kupata...
Wakuu habari za majukumu ya hapa na pale.Naomba kama Kuna mwenye kazi au connection za kazi,mahali popote professional nimesoma ualimu,“Diploma for secondary education ”masomo ya phizikia,pamoja biologia.Pia ambazo siyo professional Kama
—⟩Ufugaji wa kuku aina ya broiler.
—⟩kilimo Cha bustani...
Rais Samia, amesema haiwezekani wageni kuingia nchini na kufanya biashara za machinga, huku akieleza kuwa vijana wetu (Kitanzania) watafanya nini? na kuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo kuhakikisha suala hilo linasimamiwa ipasavyo ili kulinda fursa za ajira kwa wananchi wa...
Watu wengi hawafuatilii takwimu na hawa ndio wanapiga kelele kuwa Tanzania sii nchi maskini inayohitaji misaada na mikopo. Je unajua kati ya watanzania Milion 65, ni watanzania milion 25.7 pekee ndio wenye uwezo wa kufanya kazi ya kujiingizia kipato? Nikiwa na maana hao wengine wanaobaki...
Ila watu wa humu, aiseeee🙌🙌🙌🙌
Anyway, turejee uzi wangu huu
https://www.jamiiforums.com/threads/ninapitia-msongo-mkali-wa-mawazo-baada-ya-kusimamishwa-kazi-kisa-vyeti-feki-naomba-ushauri-niweze-kujikwamua.2296429/
Kiufupi wengi walikuwa pamoja nami katika kipindi kifupi kilichopita cha msoto wa...
Tunatafuta mtaalamu mwenye ujuzi katika Graphic Design na Digital Marketing kwa ajili ya kujiunga na timu yetu. Mtu anayefaa kwa nafasi hii anatakiwa kuwa mbunifu, mwenye uelewa mzuri wa masoko ya kidijitali, na uwezo wa kuandaa maudhui yanayovutia.
Majukumu:
Kubuni na kutengeneza nyenzo za...
Huko Marekani hakupoi wala hakuboi. Trump kila kukicha anakuja na jipya.
Wizara ya Sheria ya Marekani imewafukuza kazi zaidi ya maafisa muhimu kumi na mbili waliokuwa wakifanya kazi katika timu ya Mwendesha Mashtaka Maalum Jack Smith, iliyokuwa ikimshitaki Rais Donald Trump.
Uamuzi huo...
https://www.instagram.com/p/DFScSN8C6Ko/?igsh=dmNjZ21lb2tscnJj
Wangesema tu kusiwe na kazi kwa siku 2 kuepusha purukushani. Maana kiuhalisia itakuwa ni mateso tu katika swala zima la usafiri.
Kufuatia Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati utakaofanyika Januari 27 na 28 hapa nchini, Serikali imeelekeza watumishi wa umma katika Mkoa wa Dar es Salaam wafanyie kazi nyumbani isipokuwa watumishi ambao mazingira ya kazi yanawataka kuwepo katika vituo vya...
Kwa sie watu wa pwani ukiona mwanaume mwenzio anakupa asset au kitu cha thamani juana yeyekuna siku atakuja kukuomba kitu.
Yaani mwanaume mwenzio akupe gari ya mamilioni???utaolewa
Sasa bodaboda au Bajaj hawaruhusiwi hata kuonyesha pua mjini maeneo maalumu yaliyotengwa.
Ukipenyapenya kwa ujanja ujanja ukidakwa utajuta kwanini ulizaliwa.
Oyaa tafuteni kazi nyingine.
Kufa kama nzi mnakufa
Bima ya afya hamna
Michango kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii hamna .
Amkeni.
Katika hatua iliyoshangaza wengi, Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa agizo maalum la kuwekwa hadharani kwa taarifa za siri zilizofichwa kwa miongo kadhaa.
Kuhusu mauaji ya Rais John F. Kennedy (JFK), mdogo wake Robert F. Kennedy (RFK), na kiongozi mashuhuri wa haki za binadamu, Martin...
Watanzania wengi hawapendi kujua ukweli. Nadhani hulka hii inatokana na wananchi kufungiwa nchini mwao na hivyo kukosa nafasi ya kuona jinsi nchi zingine zilivyoendelea.
Kuna siku Lema alisema bodaboda sio ajira, watu walikuja juu na kusema kuwa kawakosea watu na ni kama anadharau ajira za...
Mimi ni mgonga ulimbo mwenye matumaini tele wakati wagonga ulimbo wenzangu wakiwa addicted na porn na betting.
Basi mimi niko addicted na page & website za sekretarieti ya ajira maana nina imani nao sana tu baada ya mgonga ulimbo mwenzangu kutoka kule Inyalikungu kulamba shavu kwenye moja ya...
Na Mwandishi Wetu
-Asema Tanzania inaingia kwenye historia nyingine ya kuwa mwenyeji wa Mkutano mkubwa wa Marais wa Afrika
-Atoa taarifa ya kufungwa kwa baadhi ya barabara siku chache ambazo ugeni utakuwa katika Mkoa huo
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Januari 25, 2025...
Sitaki salamu, naingia kwenye mada moja kwa moja. Wahenga walisema akutukanaye hakuchagulii tusi na asiyekutaka hakuambii toka bali atakutoa kwa visa ovu dhidi yako.
Kabla ya kwenda mbali kwanza naomba ku declare intrerst kuwa mm ni mwanaCCM kindakindaki na juzi nilikuwepo ndani ya ukumbi kule...
Habari mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu UDSM natafuta kazi ya kufundisha majumbani (tuition), kuanzia shule ya msingi mpaka kidato cha sita masomo ni English, kiswahili na History kwa mawasiliano zaidi 0785935414, ahsante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.