kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. L

    JamiiForums Tanzania Gusa Achia Twende Kwako imeanza kufanya kazi, kazi ipo

    Mashine ya Mjerumani imeanza kazi huko DRC ambapo ile falsafa ya Gusa Achia Twende Kwao imeanza kufanya kazi ambapo mkongo kakimbizwa isivyo kawaida kipindi cha pili hadi akaamua kuachia, ilikuwa Gusa Achia Twende Kwao mwanzo mwisho na kama refa angaliongeza dakika 10, Gusa Achia Twende Kwao...
  2. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi: Vijana 30 wa kubandika Poster DSM

    CLOSED
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Rasmi, Bunge la South Korea lapiga kura kumuondoa Rais Yoon Suk Yeol madarakani baada ya kutangaza utawala wa kijeshi

    Wakuu, Wabunge wa Korea Kusini wamepiga kura Jumamosi kumuondoa madarakani Rais Yoon Suk Yeol kufuatia jaribio lake lililoshindikana la kutangaza hali ya kijeshi, hatua ambayo ilisababisha machafuko katika taifa hilo. Kura hiyo ilipigwa na wabunge wote 300ambapo 204 walikubali, 85 walipinga...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hayawihayawi hatimaye yamekuwa: Mliokuwa mnasubiri Ajira za Ualimu nafasi zimetangazwa

    Hayawihayawi hatimaye yamekuwa, mliokuwa mnasubiri Ajira za Ualimu nafasi zimetangazwa. Kazi hizo hapo chini zimeambatishwa
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 2025 watanzania watakuwa na kazi ya kulinda hadhi ya "mama", katika kila hotuba zake, Lissu amekuwa akiongea kwa dhihaka kubwa kuwahusu

    Katika historia ya nchi hii, sijawahi kuona mtu anayekebehi, kudharau, na kutoheshimu hadhi ya mama kama Tundu Antipas Mughwai Lissu. Ukimdharau mama mmoja, umedharau mama wote nchini na duniani. Shime, uchaguzi wa 2025 uwe wa kuwaheshimiaha mama zetu dhidi ya ubaradhuli huo
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nchi za Africa ili ziendelee, futa dini zote wote tuwe wapagani. Sisitiza kazi tu.

    Hizi dini ni ushamba na umbumbumbu wa hali ya juu na zinatufanya maskini wa kutupwa. Imagine unatafita pesa kwa jasho halafu unaenda kumtajirisha let say mwamposa au padre anaye shinda bar na malaya na we unaaninj kabisa kwamba pesa yako imeliwa na Mungu.
  7. USSR

    JamiiForums Tanzania Haka kakitu nakaona mahotelini na nyumba za wageni kazi yake nini mwenye kujua matumizi

    Na mitaani naona vimekuwa vikiongezeka maradufu matumizi yake ni gani ? USSR
  8. G

    JamiiForums Tanzania Walimu ombeni kazi.

    Walimu wa Biashara
  9. milele amina

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Ulaya umeachia orodha iliyoimarishwa ya mashirika ya ndege yanayodhaniwa kuwa hatari, na kuyakataza kufanya kazi ndani ya anga la EU

    Muungano wa Ulaya umeachia orodha iliyoimarishwa ya mashirika ya ndege yanayodhaniwa kuwa hatari, na kuyakataza kufanya kazi ndani ya anga la EU. Sasisho hili la hivi karibuni linajumuisha Air Tanzania, ambayo imeongezwa kwenye orodha kufuatia wasiwasi wa usalama ulioangaziwa na Shirika la...
  10. G Sam

    JamiiForums Tanzania Wanachadema tuungane tumwambie Mwamba inatosha, asante kwa kazi nzuri mzee

    Kusema kweli katika siku ambayo nitachafukwa basi ni siku ambayo Mwamba ataamua tena kurudi ulingoni na kugombea muhula wa tano. Nitachafukwa sana niwe mkweli. Kama kuna siku nitampa Mwamba heshima yake basi ni ile siku atakayosema kuwa this time inatosha naomba nipishe damu mpya nibakie kuwa...
  11. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Nakubali Tundu Lissu awe Mwenyekiti na Mgombea Urais wa kambi yote ya Upinzani. Anza na kazi hii. Rudisha kundini kina Mdee na Wenzake.

    Ukweli usemwe. Kilichowaponza kina Mdee ni ule utawala wa mabavu wa awamu ileee. Ulishapita, Chadema ni muhimu ijengwe kuanzia ilikoishia kabla ya awamu hii.
  12. Mrfreddy

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Prime Zone limited deadline - 20 Dec 2024 (Driver, sales and markerting, graphic designer and social media manager) DSM

    Prime Zone is looking for Marketing & Logistic personnel in: 01. Sales And Marketing Officer– Dar es salaam (03 Positions) WORKING STATION: DAR ES SALAAM Job Type: Full-time. Key responsibilities: · To prepare marketing and sales strategies. · Ensuring the company meets the sales targets. ·...
  13. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Mheshimu Kila Mtu Ambaye Anafanya Kazi Ya Kumuingizia Kipata Hata Kama Kazi Hiyo Inaonekana Ni Dhalili Machoni Mwako

    Hakuna jambo jema kama kufanya kazi ya halali hapa duniani na haijalishi iwe na hadhi gani, bali kikubwa ni halali na inakidhi mahitaji yako hata kwa kiasi fulani Na kamwe usijisikie mnyonge kwa hiyo kazi ambayo unayo sasa kwani ndio kazi yako,endelea kupambana mpaka pale utakapo fikia katika...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata pesa zangu kutoka mfuko wa jamii baada ya kutoka taasisi binafsi na kuhamia Serikalini?

    Habari zenu, Naomba kufahamu kwa mtu alekuwa akifanya kazi shirika zisizo za Kiserikali kisha akahamia taasisi za umma, akiwa shirika binafsi alikuwa akichangia kwenye mfuko wa jamii la NSSSF. Je, akihamia Serikalini huyu mtu ataweza kutoa mafao yake NSSSF?
  15. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu mwenye koneksheni za migodini nahitaji kazi huko

    Salam ndugu zangu natanguliza shukrani kwa Muumba wetu. Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 22, Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu ninahitaji mtu mwenye koneksheni ya kazi za migodini,migodi za wachimbaji wadogo pia hata wakubwa. Natafuta maisha ndugu zangu kwa atakaeguswa au kwa...
  16. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi Hawa Vidmate ndio wameshashindwa kazi

    Hii kampuni ya kudownload music naona Kila nikidownload inaishia nusu tatizo nini wadau naombeni msaada wenu maana usiku vanny boy anaachia album nataka niamke nayo halafu wananiletea habari nyeusi
  17. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kibarua chochote Dar es Salaam

    Habari, Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es Salaam. Level yangu ya elimu nina degree ya Information systems Management. Npo hapa kuomba kazi yoyote kama vile barista cafe, kuuza duka, kuuza Supermaket, na kazi nyingine yoyote mnayoweza nisaidia. Asante
  18. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa hajapongezwa kwa kazi nzuri aliyoifanya?

    Alipokuwa akiwaapisha viongozi "wapya" tarehe 10/12/2024, Rais wa JMT, Mh. Samia Suluhu Hassan, alisikika akimpongeza Masauni kwa kazi nzuri aliyoifanya akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani! 1. Mchengerwa naye alipongezwa kwa kazi nzuri iliyofanywa na TAMISEMI? 2. Kati ya Mchengerwa na Masauni nani...
  19. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 20 natafuta ajira au kazi

    Naitwa Yusuph , umri miaka 20 natafuta Ajira au kazi yoyote ile ya halali. Elimu yangu kidato cha nne. Aina ya kazi , naweza kufanya Kazi mbali mbali , zakutumia akili pamoja na nguvu Napatikana DSM wilaya ya TEMEKE Mawasiliano +255696993834
  20. infor

    JamiiForums Tanzania Msimamizi wa ofisi anahitajika

    Anahitajika kijana mwenye ujuzi na elimu ya masuala ya biashara hususani kwenye sekta ya miamala ya benki na simu. MAJUKUMU -Kusimamia ofisi inayojishughulisha na masuala ya huduma za fedha (Financial services) -Kuandaa ripoti na hesabu za ofisi -Kubuni na kuteleza mikakati ya kuipanua na...
Back
Top Bottom