kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Kazi kazi kazi

    UTAFUTAPO KAZI. ACHA KUWAZA UTAPATA MSHAHARA KIASI GANI. TAFUTA KAZI KWA SABABU UNATAKA KAZI. NA SI MSHAHARA. ✍️
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali. Napatikana Dar es Salaam

    Habari za wakati huu ndugu zangu. Naombeni mnisaide kazi, mahali pa kujitolea au hata ushauri, Nina Shahada ya Uchumi na Takwimu na nipo vizuri hasa kwenye masuala ya hesabu. Iwe ndani ya fani au nje ya fani muhimu ya halali tu. Napatkana Dar es Salaam Mawasiliano yangu ni; 0784990919...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kazi zenye laana Tanzania

    Jamani hebu tujaribu kuorodhesha kazi zenye laana hapa Tanzania kutokana na majukumu ya kazi husika. Tusiweke kazi haramu kama uchangudoa, ujambazi, n.k. Tutaje zile ambazo ni halali.
  4. OfficilaNdurotz

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji kazi, nina ujuzi wa IT

    Ndugu wa JF, Nina uhitaji wa kazi nina ujuzi wa IT, namba 0744968695
  5. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Kivuko cha MV Chato II Hapa Kazi Tu chakwama majini baada ya Mashine kunasa kwenye Nyavu

    Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unawataarifu watumiaji wa kivuko MV. CHATO II HAPA KAZI TU kinachotoa huduma katika maeneo ya Chato, Mharamba, Izumacheli na visiwa vya jirani kuwa, kivuko hicho kimesimama kutoa huduma kuanzia majira ya saa nne na nusu asubuhi kutokana na kunasa kwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya alivyouawa mwenyekiti wa UVCCM huko Chunya yana ukakaksi sana, Polisi fanyeni kazi yenu kwa umakini

    Nimesoma maelezo ya msichana aliekuwa nae alipouwawa, yana ukakasi sana. Kuna coincidence ambazo labda ni polisi wetu tu waliozoea kutunga kesi dhidi ya wapizani wataikubali. Inaripotiwa kuwa huyu UVCCM, mwenye biashara ya kuchoma chama klabu moja, alipigiwa simu kuwa kuna mbuzi wanauzwa aende...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi

    Habari, Natafuta kazi ya nimemaliza degree ya uhasibu chuo kikuu cha Dar es Salaam, kazi mahali au mkoa wowote. Nipo mbeya Mawasiliano: 0672876887
  8. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Wakuu nina uhitaji mkubwa sana wa kazi angalau 300K tu kwa mwezi

    Habari zenu wakuu. Nipo katika nyakati ambazo hazielezeki wala kusimulika , nimekuwa nafatilia kazi huu mwezi sasa wa tatu. Mpaka nikasema ngoja nijaribu kutembelea na JF the home of great thinkers kuona Kama kuna MTU atakuwa na opportunity anipatie ili niwe busy and productive. Sifa zangu ni...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baadhi ya Watumishi KKKT kufanya kazi bila mikataba ya ajira

    Je, ni sawa kwa baadhi ya watumishi wa KKKT kufanya kazi na kupokea mishaara bila mikataba ?
  10. I

    JamiiForums Tanzania Heavy machine operator natafuta kazi

    Natumaini ni wazima wote. Ndugu jamaa na marafiki embu angalieni mnanisaidiaje na hii fani na uzuefu nilionao kwa nguvu zangu nimekwama. EXCAVATOR OPERATOR uzoefu miaka 5 WHEEL LOADER uzoefu mwaka1 pia naoperate LLOLER NABIDII NIWAPO KAZINI NATAMANI SANA KUPATA MASHINE YA MTU BINAFSI...
  11. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Huu Utekaji wa Abdul Nondo unaleta maswali kadhaa ya kufikiria

    Utekaji huu ni kama maigizo flani yenye lengo flani. Sidhani kama ni kama ule utekaji wa Mzee Kibao. 1. Mtekaji anadondosha Simu ambayo inachukuliwa na kupelekwa Police. 2. Gari ya watekaji na namba zake za usajili zipo tu uchi uchi hivi za Deogratias Beda Minja. 3. Police haraka wametoa tamko...
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania Hii Kazi ni ngumu binafsi siwezi kufanya

    1. Kazi yako ni kutii amri za watawala Unaamka asubuhi unamuga mkeo na wanao unaenda kazini Kazi yako ni kuteka na kuuwa Watanganyika wenzako, mtu mweusi kama wewe, tena unamnyonga na kamba akikwambia Fulani nisamehe Bado Nina mke na watoto wadogo lakini wewe unaamua kumwaga damu yake...
  13. ward41

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kazi za ubunifu cha wa Israel ni hiki hapa

    Hawa watu wamekuwa wabunifu tangu zamani na Walipewa hiyo roho na Mungu MWENYEWE
  14. haszu

    JamiiForums Tanzania Kua handsome ni kazi ngumu sana, nawapangawisha sana mashemeji zangu

    Ndugu wa mke wangu wamekua na wakati mgumu snaa kila ninapokutana nao, wanashindwa hadi kujizuia, kuna huyu mmoja ametokea kunipenda sana, yani kavurugwa kabisa. Imekua usumbufu sana, sitaki kumueleza mke wangu isije ikavunja undugu. Kila nikiwaza ninapata jibu kua moja, kua handsome ni kazi...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Sean Paul imewashtua wengi baada yakusema hamjui Diamond wala Alikiba alipotua Tanzania, ila anatamani kufanya nao kazi

    Wakuu Mwanamuziki maarufu wa dancehall kutoka Jamaica, Sean Paul, aliwasili Tanzania jana (Novemba 29) kwa ajili ya show yake inayotarajiwa kufanyika leo. Katika mahojiano na Bongo 5, alipoulizwa kuhusu Diamond Platnumz, Sean Paul alikiri kwamba hamfahamu msanii huyo lakini yuko tayari kukutana...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wenyeji/Wakazi wa TANGA MJINI nipeni uelekeo wapi naweza nikapata kazi...

    Aminia sana wakuu. Moja kwa Moja kwenye Mada, Wakuu Naomba mnipe uelekeo nahitaji kujua sehemu gani TANGA MJINI ambayo naweza nikapata kazi zile nzito nzito za ujenzi au kubeba zege au kwenye viwanda vya nondo vya wahindi kama vipo, Viwanda vya cement, Kushusha mizigo nk. Ili nikatafute kazi...
  17. kingphisher

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nafasi ya Kujifunza na Kufanya Mazoezi ya Kazi katika Fani ya Business IT

    Husika na mada tajwa hapo juu. Mimi ni mhitimu mwenye shahada ya Business Information Technology. Natafuta nafasi yoyote ambapo naweza kujifunza kazi kutokana na taaluma yangu. Ingawa nimejifunza mambo mengi nikiwa chuoni, natamani kupata sehemu ya kufanya mazoezi ya kazi, hasa katika upande wa...
  18. kingito

    JamiiForums Tanzania Uzi maaluumu wa kupeana hints za hii kazi wanayoenda kufanya interview "Editor II" Taasisi ya elimu (TIE))

    Wakuu kwema?? Naomba nilete huu uzi hapa ili tuweze kupeana hints za hii job Ukwl kwamba hii job imechukua watu wa fani tufauti tofauti kupiga hii interview Naijiuliza ili uweze kudufua hii job unahitaji kujikita kwenye nini hasa? Common predictable question zinaweza kuwa kama zipi? Hii...
  19. snipa

    JamiiForums Tanzania FCC yaipa kibali Space X kulink starlink na Smartphone, ISP wa bongo mnasubili nini na kazi imewashinda Vijijini?

    FCC sasa imeipa kibali Space X kulink smartphone na StarLink (Direct to Cell) yaani bila kutumia madish yao ya starlink kama tunavyosubili hapa bongo, hii feature ipo kwenye Generation ya pili ya Starlink lakini ilikuwa ikisubili vibali kwasabu ilihitaji kufanya satellite ziwe zina orbit kwenye...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote, nipo Tanga

    Habari wakuu nimekuja mbele yenu kuomba kazi yoyote ile. Kwa sasa nipo Mkoani Tanga lakini nipo tayari kufanya kazi kwenye mkoa wowote ule na kazi yoyote ile. Atayeguswa naomba anipe msaada kwenye Jambo hili. Asanteni
Back
Top Bottom