kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Jinsi Akili Mnemba(AI) inavyofanya kazi

    Akili mnemba (AI) inafanya kazi kwa kutumia mifumo ya kihisabati na michakato ya kompyuta inayoweza kufuatilia na kuchambua data nyingi kwa haraka. Hapa kuna vipengele vya msingi vinavyofanya akili mnemba iweze kufanya kazi: 1. Mafunzo ya Awali (Training): AI inafundishwa kwa kutumia data...
  2. G

    Wakati Tanzania ipo busy na masuala ya Simba na Yanga, Wakenya wanazidi kutupiga gap. Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000

    Natumaini mu wazima humu, ni siku nyingine tukiwa bado tunasubiri muafaka wa mchezaji Kagoma kama atabaki Simba au atarudi Yanga, Mzee wetu magoma na yeye ni mpaka kieleweke !!, Anyway tukirudi kwenye kichwa cha habari, Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000 na kuwapa nafasi za kufanya...
  3. Gueteres aliponda baraza la usalama la umoja wa mataifa. Aliambia limeshindwa kazi na limepitwa na wakati.Kigezo ni kushindwa kuzuia vita vya Gaza n,k

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena amesimama kidete kusimamia maadili ya baraza hilo kwa kukosoa jinsi linavyoshindwa kutekeleza majukumu yake. Bwana Gueteres amerudia kwa kusema muunda wa baraza la usalama ambalo lina wajumbe wanaotumia kura ya veto ndio umekuwa kikwazo kwa...
  4. Wakuu angalieni kazi ya mwana jf mwenzenu mnipe kazi

    Wakuu mimi ni zao la hapa JF mara kadhaa Jf imekuwa kimbilio langu pale nilipo yumba kiuchumi nika kimbilia hapa niliweza kusaidiwa vya kutosha wachache wanaweza kukumbuka jina Mkongoro mwaka 2015. kwa muda mrefu nimejifua katika decoration za mawe na sasa nathubutu kusema nimeiva...
  5. Ingiza $1 kila siku kirahisi kabisa bila kufanya kazi

    Habari za mchana wakuu, mimi kazi yangu ni kuwasogezea michongo ya online ya kuingiza pesa. Kuna huu mchongo rahisi kabisa unaokupa $1 kila siku kwa simu yako na internet yako bila hata ya kuhangaika kufanya kazi. Kuna hii App inalipa kwa kushare internet yako tu. Ikifika $5 unaweza kuitoa...
  6. Hussein Bashe acha kufokea na kutishia raia walipa kodi kwa sababu ya kutopendezwa na ukosoaji wao

    Bashe fanya kazi yako na timiza wajibu wako, unalipwa kuleta masuluhisho katika sekta ya kilimo. Acha kufokea raia kwamba watu wanakosoa tu bila kuletea masuluhisho kwa hiyo unawanyima huduma za serikali kwa mamlaka yako uliyo nayo. Kwanza huna mamlaka ya kuwanyima huduma raia walipa kodi...
  7. Nafasi Ya Kazi

    Naitwa Salehe nimemaliza elimu ya Bachelor of Engineering in Civil 2024 (DIT). Pia ni Civil Technician mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya mitatu katika kazi za ujenzi hususan ni Majengo. Kwa yeyote atakayehitaji mtu wa usimamizi wa kazi zake naomba tuwasiliane 0654224037.... Makazi ni Dar es Salaam.
  8. Kama mna dada wa kazi nyumbani kuna shida gani akifua na kupika chakula anachokula mume?

    Wazee wa mahaba mpo? Huwa sielewi ambavyo huwa kunakuwa na mjadala kuhusu dada wa kazi kufua nguo za baba mwenye nyumba au kupika chakula chake, yaani ishu ni nini? Kama anafanya kazi nyingine ikiwemo kufua na kupikia wengine kama mna mtoto/watoto kwanini ni ishu zikifuliwa nguo za wenye...
  9. FCS: Tumeandaa mpango kazi utakaosaidia AZAKi kiuchumi na kuziunganisha na Sekta Binafsi

    Shirika la Foundation for Civil Society (FCS), limeandaa mpango kazi utakaosaidia AZAKi kujikwamua kiuchumi kutokana na ushirikano utakaozikutanisha pamoja na Sekta Binafsi katika utekelezaji wa shughuli zao mbalimbali za maendeleo katika jamii. Afisa Oparesheni na rasilimali watu wa FCS, Karin...
  10. R

    Tangazo la Kazi: Graphics Designer & Motion Artist

    Tunatafuta Mbunifu wa Picha na Sanaa ya Mwendo kujiunga na timu yetu. Muhitaji anapaswa kuwa na ujuzi wa kudesign "mockups" kwa miradi mbalimbali, michoro ya 3D, michoro ya kawaida ya 2D, na kutengeneza picha zinazotembea za GIF kwa matumizi ya tovuti. Majukumu: 1. Kuunda michoro ya 2D na 3D...
  11. M

    GPA ya 3.0 ni nzuri kwenye fursa za kazi?

    GPA ya 3.0 ni nzuri kwenye fursa za kazi? As data analyst?
  12. Mimi ni mteknolojia wa maabara za hospitali, natafuta Kazi

    Ninatafuta kazi, Mimi ni mteknolojia wa maabara za hospitali niliyesajiliwa na baraza la HLPC nina leseni hai na nipo tayari kufanya kazi popote Tanzania. Natanguliza shukrani🙏
  13. Kazi imeanza mpaka wa Jordan na Israel.Walinzi watatu wa Israel wauawa.

    Walinzi watatu wa Israel wameuawa kwa kupigwa risasi kutokea upande wa mpaka wa Jordan kwenye kivuko pekee cha daraja linalounganisha ukingo wa magharibi wa Palestina na Jordan. Uchunguzi umeanza kubaini tukio hilo kwenye daraja lijulikanalo kama Allenby Shooting attack at the West Bank-Jordan...
  14. Nafasi ya Kazi bakery

    Habari Nahitaji wafanyakazi wa bakery Eneo: Kibaha Kwa maelezo zaidi piga : +255 762 866 652
  15. F

    Kazi za mtu wa IT

    Nisaidieni kazi ambazo mtu aliyesoma IT anazifanya kwa upana zaidi.
  16. M

    Natafuta kazi ya safety officer

    Habari wana jamii, Naomba kwa yeyeto mwenye connection ya kazi ya Health, Safety and Environment (HSE) popote aniunganishe. Nina Degree ya Environmental Planning and Management pia nina NOSHC I, OHS Risk Assessment zote kutoka OSHA pamoja na Computer Certificate. Kwa yeyeto anayeweza...
  17. Nafasi za kazi GGM

    Kazi kwenu wenye vigezo
  18. System Admin: Contact & Digital Channels at Vodacom

    System Admin: Contact & Digital Channels Posting Country: Tanzania, United Republic of Date Posted: 30 Aug 2024 Full Time / Part Time: Full Time Contract Type: Permanent At Vodacom, we’re working hard to build a better future. A more connected, inclusive and sustainable world. As a dynamic...
  19. Watumishi wa Korea Kusini kuanza majaribio ya kufanya kazi kwa Siku 4 kwa Wiki badala ya SIku 5

    Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Yonhap, Watumishi wa zaidi ya Taasisi 50 katika Jimbo la Gyeonggi wataanza jaribio hilo badala ya Siku 5 au 6 za sasa. - Majaribio hayo yanayotarajiwa kuanza mwaka 2025 yatatoa Uhuru kwa Watumishi kuchagua kati ya kufanya kazi siku 4 au kupunguza zaidi Saa za...
  20. M

    Ninahitaji kazi

    Poleni na majukumu ndugu zangu. Mimi ni kijana was kiume, nina umri wa miaka 27 na ninaishi Dar es salaam Tanzania. Ninahitaji kazi, aidha internship, nafasi ya kuanzia(entry level), kazi ya kujitolea inayolipwa au nafasi za junior. Nina shahada ya Sayansi ya Maji na Uvuvi (Bsc.Aquatic...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…